mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. Walimu wa Mkataba (Mradi wa GPE-TSSP): Tunafanya kazi katika mazingira magumu, hakuna usawa, tunabaguliwa, hatupewi stahiki zetu

    Walimu wa Mkataba (Mradi wa GPE-TSSP): Mikataba inaonesha tumeajiriwa na Wazazi na si TAMISEMI, tuna mazingira magumu. Ujumbe wa Walimu wa Mkataba chini ya mradi wa GPE-TSSP, Juni 26, 2026: Napenda kuwasilisha kwenu baadhi ya changamoto kubwa tunazokabiliana nazo sisi walimu wa mkataba chini...
  2. Amani ndio msingi mkuu wa Taifa,tuilinde amani kwa wivu mkubwa

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, amewataka vijana wa Kitanzania kuwapuuza watu wanaochochea vurugu na machafuko kutoka nje ya nchi (MARIA SARUNGI NA GENGE LAKE) na badala yake kuelekeza nguvu zao katika shughuli za maendeleo na ujenzi wa taifa. Akizungumza Jumapili...
  3. Nimetoka. Nyumbani nikaenda kumsalimia Mkuu wa kituo cha polisi, akaishia kunishangaa.

    Nina Imani ningeenda kwa Afande Muliro kumsalimia hata chai angenipa, ila huyu OCD ndo kwanza akaishia kunishangaa. Nimefika kwake kituoni nikajitambulisha Mimi ni mgeni wa OCD, nikafika ofisini kwake, nikajitambulisha NAITWA sifi Leo ni mgeni wako, akanipokea Akachukua note book na karamu tayr...
  4. DUNIA IMEBADILIKA KUTEGEMEA MISAADA KUMEPITWA NA WAKATI WAZIRI MKUU MWIGURU NCHEMBA AMEONGEA HAYO AKIWA ZIARANI..

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa kujitegemea na kuwajibika kutatua changamoto zao wenyewe. Dk Mwigulu amesema dunia ya sasa...
  5. L

    Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Awa Mshauri wa Kanisa La Anglikana Tanzania Baada ya Kuridhishwa na Uchapakazi wake. Achangisha Zaidi ya Billion Moja.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba maarufu kama Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita . Amepata na kupewa heshima ya kipekee kabisa ya kuwa Mshauri wa Kanisa la Anglikana Tanzania Baada ya...
  6. Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Omary Sukari: Geita ina kiwango kikubwa cha uzazi hiyo inafanya uzazi wa mpango kuwa kipaumbele kikubwa

    Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita (RMO), Dkt. Omary Sukari, alieleza jinsi mradi wa Scaling up Family Planning (SuFP) ulivyosaidia mkoa huo katika kuboresha mifumo ya takwimu na utoaji wa huduma za uzazi wa mpango. Haya ndiyo mambo makuu aliyoyazungumza Juni 18, 2026 Jijini Dodoma: 1. Mafunzo na...
  7. W

    Mkuu wa Wilaya ya Siha: Vijana walioweka jeneza juu ya gari walikuwa wamelewa

    Mkuu wa Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro Christopher Timbuka, amesema kundi la vijana lililozua vurugu na kuweka jeneza lenye mwili wa kijana aliyefariki dunia juu ya gari lake la kikazi lilikuwa katika hali isiyo ya kawaida kutokana na matumizi ya vilevi. Pia Soma: Jeneza lawekwa juu ya gari...
  8. R

    Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC unaendelea Makao makuu ya Baraza hilo Kurasini

    C&p Habari ndiyo hiyo. Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) [87th Plenary Assembly - Study Session] unaendelea katika ukumbi wa Amecea uliopo ndani ya Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini DSM. Mkutano huo unaongozwa na Rais wa TEC, Mhashamu Baba...
  9. Ujumbe kwa Waziri Mkuu: Usikate Tamaa

    Mheshimiwa Waziri Mkuu, Katika uongozi kuna siku za pongezi na kuna siku za lawama. Kuna siku watu watakushangilia na kuna siku watu watakosoa kila hatua unayopiga. Hayo yote ni sehemu ya safari ya uongozi. Lakini usikate tamaa kwa sababu ya kelele za wachache wanaodharau kazi unayoifanya...
  10. Waziri Mkuu na Wananchi: Wajibu wa Kikatiba

    Kwa Nini Waziri Mkuu Lazima Awe Karibu na Wananchi? Mtazamo wa Kikatiba Anaandika Thomas Joel Kibwana, Mchambuzi wa Siasa Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya wabunge na wanasiasa wa upinzani wamejitokeza kuhoji mantiki ya ziara za Waziri Mkuu zinazolenga kusikiliza na kutatua kero...
  11. Waitara: Waziri Mkuu anasema wabadhirifu wakamatwe, Waziri wake anasema “Wanaopinga rushwa hawajakaa jikoni”

    Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, akichangia bungeni Juni 16, 2026 amesema; "Mhe. Mwenyekiti, tunapofanya mambo haya tuwe makini sana. Kila tunapoenda, malalamiko ya Watanzania hapa, sio kutenga fedha Mwenyekiti, sio kulipa kodi, wakishalipa kodi inatumikaje? Hapo ndio hoja. Watanzania...
  12. Waziri Kombo afikisha salamu za Rais Samia kwa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  13. U

    Mkuu wa jeshi la IRGC jenerali Ahmad Vahidi auawa na shambulio la jeshi la Israel

    ELIMINATED: General commander of IRGC Islamic force Ahmad Vahidi has been eliminated by the Israeli Defense Forces. He threatened to teach America a lesson that they will not forget, he said that all the American soldier in gulf will be k!lled . He is the person that wanted to arr@st the Iranian...
  14. Peter Msigwa: Taifa ni kuu kuliko Rais; Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu na Bunge ni kuu kuliko Spika. Uzalendo ni kulipenda taifa sio serikali..!

    Katika demokrasia: 👉Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu. 👉Bunge ni kubwa kuliko Spika. 👉Taifa ni kubwa kuliko Rais. 👉Katiba ni kubwa kuliko chama tawala. Hii ni kwa sababu taasisi zinapaswa kudumu, wakati viongozi ni wa muda. 1. TAIFA NI KUBWA KULIKO RAIS Rais ni kiongozi wa muda. Taifa ni la...
  15. Kesho Buddhist Temple Upanga, Dar es salaam, itakuwepo sherehe. Waziri Mkuu atahudhuria

    Sherehe ya Vesak. Ni birthday ya Buddha. Ndiyo Christmas. Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba atahudhuria.
  16. L

    CDF Jenerali Jacob Mkunda: Nchi Haijengwi Na Wahuni na Mateja

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ni Kauli nzito iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi Ya Tanzania. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob Mkunda, amesema Taifa imara halijengwi na Watu wanaojihusisha na vitendo vya utapeli, ugomvi, uhalifu na uvunjifu wa sheria, huku akisisitiza kuwa...
  17. Waziri Mkuu: Huduma kwa Wananchi Heshima na Ufanisi

    Kuwa kwenye nafasi ni huduma, Wananchi wanapofika katika ofisi za umma wanapaswa kuhudumiwa kwa heshima, haraka na kwa ufanisi-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Isimani-Iringa 🗓️Juni 5, 2026 ——————————— Amesema hayo wakati alipozungumza katika mkutano wa hadhara na wakazi wa Isimani, Mkoani...
  18. Waziri Mkuu akutana na balozi wa uingereza nchini Tanzania

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Ijumaa, Juni 5, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Marianne Young, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza...
  19. A

    KERO Kigamboni Dar: Wazazi waendelea kumsihi mmliki wa shule kumuondoa Mwalimu Mkuu anayeelezwa kuwa na historia ya maadili mabovu

    Wadau, wakiwemo baadhi ya wazazi wa wanafunzi katika shule ya sekondari ya wasichana ya 'Competence Girls' Islamic Seminary ' iliyopo Wilaya ya Kigamboni, Mkoa wa Dar es Salaam wameendelea kutoa wito kwa mmliki wa shule hiyo kumuondoa mwalimu mkuu aliyeteuliwa hivi karibuni, kwa madai ya kwamba...
  20. Dkt. Chris Cyrilo: Omar Kashera amenitafakarisha wakati akimuhoji mkuu wa Polisi wa zamani Omar Mahita

    Kwanini Ndg. Omar Kashera alikuwa anachekekea simuliza za ukatili za Omar Mahita wakati wa mahojiano? Nimemfahamu Omar Kashera mitandaoni na nimekuwa mfuatuliaji mkubwa wa masomo yake ya Diplomasia na Uongozi. Nimekuwa namkubali sana. Lakini nilipofuatilia mahojiano yake na IGP wa zamani Omar...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…