Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.
Nchi hii linapokuja suala la maslahi watu wanaanza kujipendelea, kubagua wengine. Kwanini VC ambaye ndiye mtendaji mkuu wa University inayomilikiwa na taasisi ya dini fulani lazima we aidha mchungaji au padre wa kanisa husika?
Tena nchi hii viongozi wasipoangalia itavunjika vipande vipande...
Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
For majority part of my life,
Nilikuwa najiuliza what's the point of all of this?? Sasa leo baada ya meditation na fasting ya kina.
Jibu limekuja,
Sio utambuzi wa kujua mimi ni nani, au kwa nini maishani. Bali kutambua sikupaswa hata kuuliza kabisa.
Leo ndo nimetambua kuwa mimi ni kila kitu...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Jaji Shaban Lila amewataka Wananchi wa Wilaya ya Ilala kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wa matukio ya ghasia hizo, kuanzia Jumatatu August 31 hadi Septemba 4, 2026 katika viwanja vya Karimjee Posta.
Soma pia: Tume...
Nafasi hizo ni kwaajili ya kukuza mauzo katika kanda ya Mvumi Territory ya Dodoma
Vigezo
1. Ajuwe kusoma na kuandika
2. Awe na smartphone
3. Awe na akili timamu
4. Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea
5. Upande wa Tl Awe na uwezo wa kusimamia timu Elimu zaidi ya kidato cha 4 ama sawa na...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa maelekezo kwa viongozi wa Mkoa wa Katavi na mamlaka husika kuharakisha utekelezaji wa miradi ya barabara, maji na umeme, akisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kupata huduma hizo kwa wakati.
πMpanda-Katavi
ποΈ Agosti 30, 2026
ββββββββββββββββ
Amesema hayo...
Serikali inatambua mchango wa Kanisa na baba Askofu. Kila tunapotaja maendeleo ya nchi yetu, kuanzia mwanzo mpaka hapa tulipofika, hatuwezi kuyataja kwa kina maendeleo hayo bila kutaja mchango wa Kanisa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
πMpanda - Katavi.
ποΈ Agosti 30, 2026.
ββββββββββββββββ...
askofu
baba
baba askofu
kanisa
kuanzia
maendeleo
maendeleo ya nchi
mchango
mkuu
mpaka
mwanzo
nchi
nchi yetu
serikali
waziri
waziri mkuu
waziri mkuu nchemba
Nanukuu mafungu yafuatayo toka kwenye kitabu pekee kitakatifu.
Ufunuo wa Yohana 2:20
[20]Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.
2 Wafalme...
First, You never fit in
Hujawahi kuendana na makundi au mifumo ya kawaida. Tofauti yako ndio alama ya ukuu wako.
Ukijiunga na watu kwa jambo lolote wenzio watakua hawakuelewi na wewe huwaelewi, fikra zako ziko mbele ya muda ndio sababu. wanayoyapenda wengine wewe sio habari hata kidogo...
Mbona huwa sijawahi kuwaonea wakina Majaliwa na Mwigulu wakienda kutoa maelekezo, maagizo na kufanya mikutano ya kutatua changamoto za wananchi Unguja au Pumba?
Hii nafasi ya waziri mkuu wa Tanzania mamlaka yake yakoje katika nchi ?
https://www.youtube.com/live/f0qUr8D3buA?si=9YnTGIabH5P-V7hB
LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Agosti 30, 2026 ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda.
Maadhimisho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya St. Marry...
Yule rais wao Toka aapishwe kuongoza lile taifa la Malawi na kuendelea mpaka sasa anaenda kumaliza mwaka wa kwanza wa awamu ya pili madarakani.
Kashafanya kazi na manaibu prezida watatu japokua pia yule mpya haijulikani kama atamaliza nae muhula.
Kashafanya kazi na makatibu wakuu wa chama...
Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano katika maeneo yenye uchumi mkubwa lakini yana changamoto za kimawasiliano-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
πBungeni-Dodoma
ποΈ Agosti 27, 2026.
ββββββββββββ-
Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bumbuli...
Tumejipanga kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua za Elnino - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
πBungeni-Dodoma
ποΈ Agosti 27, 2026.
ββββββββββββ-
Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Johnston Mtasingwa.
Tangu mh Nchimbi ajiudhuru mpaka sasa ni takribani siku ya nne lakini hakuna kauli yoyote ya mkuu wa nchi.
Kwa namna ya ukubwa wa jambo lenyewe ilipaswa mpaka sasa nchi iwe imesikia kauli yoyote kutoka kwa raisi lakini yuko kimya.
Kimkakati ni kama anaupima upepo kusikilizia yanayoendelea...
Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, Mhe. Mbarak Batenga, amewaahidi Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kwamba moja ya vigezo muhimu vya kupima utendaji wake ni kutatua kero ya maji katika Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi.
Amesema atahakikisha suala la upatikanaji wa maji safi...
Kitendo cha kumfukuza kazi mfanyakazi anayejiuzulu kwenye ajira ni uswahili. Mhe. Nchimbi apewe haki yake kwenye ajira ya serikali badala ya kuendeshwa na kanuni za CCM.
Jaji mstaafu Joseph Warioba, ameonesha wasiwasi wake juu ya uwezekano wa nchi kupata Katiba Mpya kabla ya kuingia kwenye mchakato wa uchaguzi wa mwaka 2029.
Akizungumza leo Agosti 28, 2026, katika mkutano wa wadau wa masuala ya kidemokrasia uliofanyika katika makao makuu ya Chama cha Wanasheria...
Mara kwa mara nimekutana na komment za watu mbalimbali wakidharau neno la Mungu kwa kigezo kwamba Mungu kama yupo kwanini hakujibu maombi yao?
Watu hao wengi wao waliwai kuwa watoto wa Mungu na waliwai kushuhudia nguvu za Mungu lakini kutokana na changamoto za hapa na pale wamejikuta wakidharau...