mkuu wa mkoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. masopakyindi

    Mkuu wa Mkoa Mbeya awapa bajaji siku tatu kuhama TANZAM highway!

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Sagini amewapiga mkwara mzito wenye bajaji. Kawaambia mwisho jumapili, jumatatu bajaji isionekane barabara Kuu ya TANZAM. TUKUMBUKE Wiki karibia nne zilizopita bajaji waligoma kwa siku karibia nne wakitaka waachiwe kuendelea kubarizi hii barabara kuu. Kwa Mbeya...
  2. T

    Shkamoo mbeya mkuu wa mkoa asalimu amri baada ya mgomo na maandamano kupinga kuondolewa mjini kiholela!

    Baada ya vuguvugu la takribani siku nne lililohusisha mgomo na maandamano ya madereva wa bajaji na wamachinga hatimae serikali imesalimu amri kwamba ilikurupuka kutoa amri ya kuhamisha watu bila kuwaandalia mazingira mbadala rafiki ya kufanyia kazi zao. Kutokana na shinikizo hilo serikali...
  3. masopakyindi

    Hongera Mkuu wa Mkoa Mbeya: Bajaji zidhibitiwe Mbeya, ni kero kubwa

    Pamoja na mandhari isiyoridhisha katikati ya mkoa wa Mbeya, bajaji zimekuwa zinaonyesha uozo mkubwa zaidi kiutawala Jiji la Mbeya, kwa upande wa usafiri wa umma. Bajaji zimeonyesha lawlessness, zinakupita kulia na kushoto na kwa hakika ni kero kubwa. Tukumbuke, toka Uyole hadi Mafiati, na...
  4. T

    Mbeya hali ni tete baada ya kuanza utekelezaji wa agizo la mkuu wa mkoa

    Nimeona mitandaoni na nikajaribu kuwapigia jamaa zangu waliopo mbeya ni kwamba kuna taharuki kubwa na kuna maandamano na migomo inafukuta kwa nguvu sana chini kwa chini kufuatia agizo la mkuu wa mkoa kuhusu hamisha hamisha ya machinga bajaji na bodaboda hasa maeneo ya mwanjelwa.
  5. U

    Ofisi ya mkuu wa mkoa Dar iboreshwe

    Salute. Naomba niende kwenye mada binafsi naishi Dar es salaam kiukweli OFISI ya mkuu wa mkoa Dar ningependekeza serikali ijaribu kuboreshea iendane na hadhi ya Jiji kiukweli ukipita pale ni aibu majengo ya kizamani ukiangalie na vile vigae hadhi inapungua ningeshauri mfanye jengo lenye...
  6. M

    Mkuu wa Mkoa, Kheri James, amezindua Daraja la Ipogolo kufuatia kukamilika kwa matengenezo yaliyolenga kukabili changamoto ya mafuriko

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amezindua rasmi Daraja la Ipogolo kufuatia kukamilika kwa matengenezo makubwa yaliyolenga kukabili changamoto ya mafuriko yanayosababishwa na Mto Ruaha wakati wa msimu wa mvua. Mradi huo uliogharimu zaidi ya shilingi milioni 600 ulihusisha upanuzi wa mtaro...
  7. masopakyindi

    Huyu Chalamila, Mkuu wa Mkoa DSM, akapimwe!

    Mapepo si mapepo! Siyo bure, akapimwe!
  8. Kaka yake shetani

    Nashindwa kuelewa viongozi wote znz na sio tanganyika mpaka mkuu wa mkoa.

    Ni kwamba nchi imefikia kujipendekeza hata kesho raisi hakitokea malawi mtaenda kushinda huko na kuendesha mambo ya nchi huko.
  9. E

    Mkuu wa mkoa wa Pwani kuja na duka la ardhi

    Stanslaus Nyongo, amesema ofisi yake imeandaa mkakati wa kuanzisha soko la ardhi litakalowawezesha wananchi kununua na kuuza ardhi. Note: Je huu ndio msumari wa migogoro ya ardhi? Source...
  10. Hismastersvoice

    Serikali iufanye mji wa Mikumi kuwa mji mkuu wa mkoa wa Morogoro ili kukuza utalii mkoani humo.

    Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa. Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
  11. peno hasegawa

    Kwa Nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Hataki Maeneo Yote ya Wazi ya Moshi Manispaa Kupatiwa Hati za Umiliki?

    Kwa nini Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Mohammed Babu, hataki kuagiza maeneo yote ya wazi (Open Spaces) yaliyopo katika Manispaa ya Moshi kupatiwa Hati za Umiliki, ili kuweka utaratibu wa kisheria wa umiliki na matumizi ya maeneo hayo?
  12. MakinikiA

    Ofisi ya mkuu wa mkoa Ruvuma haina watalaamu wa kugundua UFISADI ....

    Habari wandugu. Harufu ya UFISADI. Kweli inasikitisha sana nchi hii hivi kweli ofisi ya mkuu wa mkoa imekosa watalaamu wa kugundua ufisadi uliofanyika . Badala yake mkuu wa mkoa anasimama anabariki kilichofanyika Kama jambo hili lingefanyika china hapo naamini wachina wangeanza na mkuu wa mkoa...
  13. Hismastersvoice

    Ninalaani agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutaka familia yote ya mzee Mushi ikamatwe

    Akiongea huko Madale mkuu wa mkoa ameliagiza jeshi la polisi liikamate familia yote ya mzee Mushi na kuwaweka kolokoloni! Ni lipi kosa la mke na watoto wa mzee Mushi wanahusika na kosa ambalo huenda lilitendwa na marehemu! Sidhani hata walalamikaji watafurahia kuona mke na watoto wa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    RC Ruvuma azindua Coaster jipya lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 334

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amezindua basi jipya aina ya Coaster lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 334. Gari hilo limekabidhiwa rasmi kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ili kuboresha huduma za usafiri. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi iliyofanyika...
  15. Jidu La Mabambasi

    Mkuu wa Mkoa Chalamila, usipoe, bajaji na bodaboda waondoke katikati ya jiji na major highways.

    Kupanda bajaji na Bodaboda ni roho mkononi. Waendeshaji wa vipando hivyo hawaheshimu sheria wala watumiaji wengine wa barabara. Matokeo yake ni kama hiyo bajaji, lori na daladala "wamemfanyizia" bajaji,
  16. Mkalukungone Mwamba

    Chacha kuna mwananchi ambaye ni mwanamke alinitongoza, nikabidi nilifikishe kwa RPC

    Nimecheka sanaaa baada ya kusikia stori hiiii ============= ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha, amesimulia kisa cha mwananchi aliyemtaja kwa jina la Sophia, aliyekuwa akimtumia ujumbe mfupi wa maneno kupitia simu - akimtongoza, licha ya kuonywa mara kadhaa lakini hakuacha...
  17. R

    Madeleka: Nitakwenda Tabora kumtetea Sophia, kumtongoza Mkuu wa Mkoa siyo Jinai

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Wakili Peter Madeleka ameandika: "Nitakwenda Mahakmani kule Tabora kumtetea Sophia kwa kuwa, kwa mujibu wa sheria siy jinai kwa Sophia kumtongoza Mkuu wa Mkoa." Ikumbukwe kuwa Septemba 7, 2026, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha wakati...
  18. Mkalukungone Mwamba

    Kihongosi: Mtu anayesema Maendeleo Hayafanyiki Anapotosha, Miradi Yote ya Kimkakati Inaendelea

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kufanya kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo wananchi. Kihongosi amesema kuwa watu wanaodai kuwa...
  19. Mkalukungone Mwamba

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Afuta Zoezi la Usafi Lililokuwa Likifanyika Kila Jumamosi

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ametangaza kufutwa kwa zoezi la usafi lililokuwa likifanyika kila Jumamosi katika Mkoa wa Dodoma. Akizungumza katika tukio hilo, Mkuu huyo wa Mkoa amesema hatua hiyo imechukuliwa kutokana na sababu mbalimbali, huku akisisitiza umuhimu wa wananchi kuendelea kutunza...
  20. MSUKUMA02

    Je, hii kauli aliyotamka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ni sahihi kwa taifa?

    Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
Back
Top Bottom