mkubwa

Bwana Mkubwa is a constituency of the National Assembly of Zambia. It covers Bwana Mkubwa, Chichele, Itawa/Ndeke, Kantolomba, Kavu/Kan'gonga, Mushili, Munkulungwe and Twashuka/Kaloko in the Ndola District of Copperbelt Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Waafrika/ Ngozi Nyeusi Hatujalaaniwa, Shida Ipo Hapa, Soma Kwa Umakini Mkubwa

    Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafiti kwanini ngozi nyeusi lawama zote tunazopewa/tunazojipa katika kufeli kwenye maswala ya kiuongozi/kiuchumi na kujisimamia. Wengi wanasema tumelaaniwa, wengine wanasema hatupo serious, wengine(wazungu na waarabu) wanasema bado tupo kwenye evolution n.k...
  2. O

    Hali ya Kusikitisha ya Misitu ya Aberdare Yazua Hofu na Mshangao Mkubwa Miongoni mwa Wakenya

    Wakenya wengi wameachwa na mshangao mkubwa baada ya video kuibuka ikionesha hali halisi na ya kusikitisha ya uharibifu wa misitu katika eneo la Aberdare. Picha na video kutoka eneo la tukio zinasambaa kwa kasi mtandaoni, zikionyesha eneo kubwa lililokatwa miti vibaya na kuacha nyufa tupu zenye...
  3. Nani mkubwa kati ya binadamu na malaika?

    Nani mkubwa na wa hadhi ya juu kati ya binadamu na Malaika ? Nani ana maisha mazuri zaidi kati ya binadamu na malaika?
  4. Kwanini Wakatoliki waliamua kumpa Maria umuhimu mkubwa zaidi tofauti na mitume wengine wa Biblia?

    Maria mama wa Yesu na mke wa Joseph ameandikwa katika vitabu vinne tu vya injili story yake ikiunganishwa na ya Yesu Kristo labda na mara moja au mbili tu zaidi katika katika kitabu cha matendo ya mitume. Katika vitabu vingine vyote vya Biblia agano jipya Maria hatajwi kabisa na wala sio...
  5. Nchi ya pili kwa uchumi mkubwa africa inashindwa kupambana na wanajihad wanaojificha vichakani na kuua wananchi wake kila siku. Uafrika ni laana!

    Haya mambo yapo connected huko nigeria na deep state inacheza mchezo wa draft na maisha ya watu huku wakitembelea ma range rover na kuishi nyumba zenye fensi ndefu za ukuta na watoto wao wakiwasomesha nje ya nchi.
  6. Sikujua kumbe ukiwa mkubwa ni hivi!

    Sikujua Kumbe Ukiwa mkubwa siyo kila simu niyakupokea Ukiwa mkubwa siyo kila sms niyakujibu Ukiwa mkubwa kumbe shida zako ni zako. Ukiwa mkubwa unajua kuwa rafiki yako wa leo ndiyo adui yako wa kesho. Ukiwa mkubwa kumbe maisha ndiyo yanaanza Ukiwa mkubwa msaada wako ni Mungu na hekima kama...
  7. Umri mkubwa (uzee)na jinsi ya kujitunza.

    Habari za asubuhi wanabodi na marafiki wa jamiiforum. Kila kitu huchakaa,huchoka yaani kutoka upya wake hadi kuona kitu ni cha kawaida mpaka kufikia kuwa hakiwezi kutumika au kufanya kazi mpaka labda kiwekewe spea,pengine hata kukitupa kabisa. Lakini tuangalie namna mwanadamu asivyo na spare...
  8. Rais Samia alishinda kihalali kwenye ulimwengu wa roho na mpinzani wake mkubwa (Lisu) alikubali huku akipokea manuizo hayo kwa bashasha!

    Ulimwengu wa roho inabidi uwe Pro active sana!, Ilikua kabla hata ya uchaguzi mkuu wa Chadema Mama yetu kipenzi aliona mbali akamaliza kile ambacho kingemsumbua sana October 29, 2025, watu wanadhani ni mauaji ila sio, August 2024, rais alitembelea Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliamuru...
  9. S

    DOKEZO Huu ni ufisadi wa kutisha! Haujawahi kutokea katika kulihujumu Taifa, na unafanywa na viongozi wakuu wa Serikali!

    Ni aina kubwa ya ufisadi mkubwa wa kutisha ambao katika historia ya Tanzania na nchi nyingine duniani labda haujawahi kutokea. Na tatizo kubwa ni kwamba unafanywa na viongozi wakuu wa serikali pamoja na ndugu zao. Ni hivi. Kuna wakuu wa serikali na ndugu zao ambao wapo katika nafasi ya kuwa na...
  10. L

    Niffer Kwa Kinywa Chake Amiminaaa Sifa na Pongezi Kwa Rais Samia Na Paul Makonda Kwa Mchango Mkubwa Walioutoa Ili Kufanikisha Ushindi Wa Jihan .

    Ndugu zangu Watanzania, Nilishasema sana Humu Jukwaani Popote Pale utakapoona Ushindi wa Jambo lolote lile katika Taifa letu nje ya Tanzania na kimataifa ama ndani ya Nchi yetu basi tambua ya Kuwa Kuna Mkono wa Rais Samia Nyuma ya Ushindi Huo. Sasa Niffer Kwa Kinywa Chake Amemiminaaa Sifa...
  11. Rafiki yangu mkubwa jf .

    Huu ushindi uende kwa rafiki yangu wa ukweli Seran 😅 Huyu mwana namuelewa mno , langu lake lake langu , one love asee💪 Simba nguvu moja🤣🤣
  12. IKULU hamna taarifa ya pole ya MSIBA mkubwa ajali MOROGORO! Je Tueleweje

    Jana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30 Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua damu za watanganyika? RAIS wa nchi hii tumueleweje? Je ingetokea makunduchi angekaa kimya?
  13. RAIS MPYA WA IPU APATIKANA: HONGERA TANZANIA KWA KUFANIKISHA MKUTANO HUU MKUBWA WA KIMATAIFA!

    Na. Mwl Udadis, Sekei-Arusha Uchaguzi wa Milton Dick kutoka Australia kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unahitimisha kipindi muhimu cha shughuli za kimataifa zilizowakutanisha wajumbe zaidi ya 2,000 kutoka zaidi ya nchi 150. Ni muhimu kutambua kuwa wajumbe hawa si watu wa kawaida tu...
  14. Ukweli ni kuwa mwaka huu ni wa shesRise, amekuwa mtengeneza maudhui bora humu JF ambayo pia inavutia uchangiaji mkubwa. Hongera ndugu.

    ShesRise_1 keep it up blood! Nasubiria comments za kuwa wewe ni mimi katika parody😁😁😁
  15. T

    Watu wa Afrika ya magharibi na ya kati wanaishi kwenye umasikini mkubwa na wako nyuma ya muda sana.

    Nimebahatika kuona maisha ya nchi mbali mbali za afrika ila niseme wazi nchi nyingi za kusini mwa afrika kuanzia kenya, Uganda na Tanzania kushuka chini mpaka south africa wana maisha mazuri ukiondoa malawi kidogo. ila balaa lipo nchi za afrika ya kati na magharibi. Nchi kama Cameroon ni nchi...
  16. Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Rais Samia Suluhu, anadaiwa kufika nchini Zimbabwe pamoja na msafara wake nyumbani kwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho (kuhani msiba)/ Kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa Zimbabwe, Hopewell Chin’ono, Rais Samia na msafara wake wamewasili katika makazi ya...
  17. Ongezeko la gharama za 'direct cost' UDSM kwa wakati mmoja ni mzigo mkubwa kwa wanafunzi

    Hoja ya Mdau baada ya tangazo hilo 👇🏻 Mmh, hili ni ongezeko kubwa sana la gharama kutoka 97,400/= hadi 255,400/=, sawa na ongezeko la zaidi ya 100%. Awali gharama za hosteli zilikuwa takribani Magufuli & CoICT 800-1,300/= na Mabibo 500-1,000/=. Ongezeko hili kwa wakati mmoja ni mzigo mkubwa...
  18. Mgogoro ni mkubwa ndani ya ndoa.

    Mzazi amesomesha watoto wake wakiume ni wrngi wasichana wwchache. Familia zikiwa nq tabia eti kwa sabab amesomeshaz ndio Madume ya miaka 34 yajazane nyumbni kwangu? Ile kuja na kusalimia sio mbaya, tatizo ni kambi. Hata kupata tunda inakuwa aibu? Kibaya ambacho ni kizuri hakuna dada...
  19. Nimekuwa mwinjiristi wa kuwashauri wanaume wenzagu wapunguze au waache kabisa kwenda makanisani Nashukuru mwitikio ni mkubwa sana

    Kwa sababu Dini mmezigeuza kuwa biashara na utapeli Mimi binafisi nimejitolea kuwa mwinjiristi wa kuwashauri wanaume wenzagu wapunguze au waache kabisa kwenda makanisani. Hizi ndio zimekuwa sababu zangu kuu. Dini za sasa ni biashara na utapeli. =>Ukubali ukatae Leo hii dini zimegeuka kuwa...
  20. Kuna viashiria na uwezekano mkubwa kwamba chadema wanaandaa, kuratibu na kupanga fujo siku ya hukumu ya Tundu Lisu.

    Hii ni kutokana na hali ilivyo, baada ya maelezo ya mwisho ya mtuhumiwa wa uhaini kuibua hisia mseto, ikiwa ni pamoja na hatima maisha yake na siasa. Kutokana na hilo, huenda Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinapanga na kuhamisha fujo na vurugu siku ya hukumu ya Tundu Lisu. Uchochezi huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…