mkopo

  1. V

    KYELA: Mama na Mtoto wa Miezi 10 wanashikiliwa siku ya 4 sasa bila kupelekwa Mahakamani kwa deni la Mkopo wa Halmashauri

    Ninaomba kuwasilisha suala hili zito la ukiukwaji wa haki za binadamu na sheria za nchi unaoendelea hapa Wilayani Kyela ili liweze kuwafikia viongozi wakuu wa TAKUKURU, Jeshi la Polisi, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, pamoja na watetezi wa haki za binadamu...
  2. leroy

    Mkopo wa riba ya 10% "flat" kwa kweli ni takriban 18% kwa mwaka. Hesabu yake hii hapa

    https://youtu.be/MGQpSnlHZJU Unakopa TSh milioni 10, halafu unarejesha karibu milioni 19.4? Huu ni mfano wa mkopo wa miaka mitano, wenye riba ya 30% kwa mwaka (nominal), inayokokotolewa kwa salio linalopungua. Ukiulipa kwa awamu 60 sawa za kila mwezi, riba pekee ni karibu TSh milioni 9.4, bila...
  3. byakunu

    Taasisi za mikopo bayport, platnum credit tutawashtaki mseme ni wapi mnatoa taarifa za mtu binafsi, mmezidi kupigia watu simu na kuwashawishi mkopo!.

    Nimefuatilia muda mmrefu haya mataasisi ya mikopo na sasa hadi EXIM bank na hao niliotaja wanakutumia messeji na kupiga simu, ili kushawishi watu kukopa, tena kwa msisitizo "Ewe mtumishi wa umma" mmejuaje ni mtumishi wa umma? taarifa hizo na namba za simu za watu mnapewa na nani? ina maana mna...
  4. A

    KERO Tulioambiwa tufanye marekebisho kwenye maombi yetu ya mkopo HESLB hatujui hatma yetu

    Katika mchakato wa kuomba mkopo kupitia Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), tumekutana na changamoto inayohitaji ufafanuzi. Inaonekana kuwa pale HESLB inapokurejeshea ombi lako ili ufanye marekebisho kwenye baadhi ya nyaraka, ombi hilo huchelewa kufanyiwa kazi tena hata baada...
  5. H

    Unapata changamoto katika kutengeneza mfumo wa kusimamia simu zinazotolewa kwa mkopo?

    Moja ya changamoto zinazowakabili developers wanaotengeneza mifumo ya kusimamia device kama simu zinazotolewa kwa mkopo, ni usimamizi wa technology inayowezesha mifumo yao kuwasiliana na device ya mteja moja kwa moja. Kwa mfano, kampuni inapompa mteja simu kwa makubaliano ya kulipa kwa awamu...
  6. A

    KERO Naomba kufahamishwa iwapo HESLB wamebadili viwango vya boom kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo

    Habari, wana-JamiiForums. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayetarajia kuingia mwaka wa tatu hivi karibuni. Nimebaini kuwa HESLB imeweka kiasi cha TSh 2,310,000 kama jumla ya malipo ya MA (boom) kwa mwaka, badala ya TSh 2,400,000 kama ilivyoelezwa kwenye mkataba wangu. Aidha, kiasi...
  7. Heci

    Je inawezekana kui format simu ya mkopo ya WATU Samsung A06?

    Kuna simu alikuwa anaitumia X girlfriend wangu. Baada ya kuachana kanirudishia simu. Aliniomba laki 3½ anunue simu. Baada ya kuachana jana kanipigia simu nataka kuonana na wewe. Nikaruhusu tuonane naye bar jirani na kwake. Baada ya maongezi akasema hataki tena kumbukumbu zangu. Hebu shika simu...
  8. Alexido jz instagram

    Dada zangu wapenzi, usichukue mkopo bila kumshirikisha mume wako pliz pliz wata kukweka

    Inasikitisha sana, naandika huku kama nataka kulia kwa uchungu. Yule kijana wa morogoro amekaa zake dukani kapigiwa simu, kaka wahi kwako wanatoa vitu ndani watu wa mkopo, jamaa kafunga duka huyo nduki kwake akaone kunani, kufika watu wanabeba makochi sijui asset mbalimbali, kuuliza, JAMANI...
  9. S

    Faragha (Privacy) za Wateja wa Simu za Mkopo

    Wakuu Habarini za Siku ya Leo? Natumaini mu wazima wa Afya. Na wale wagonjwa nawaombea uponaji wa mapema ili waendelee na majukumu yao ya kila siku. Niende kwenye hoja. Mimi sikuwa mdau wa kukopa kopa simu ila, baada ya kuwa na kazi kadhaa zinazotumia charge ya simu kwa kasi na kumaliza charge...
  10. Spliffcharm

    Tetesi: Mkopo wa 10% Halmashauri Kigamboni: Mke wangu alipangiwa 9.6M lakini mwisho anaambiwa atapewa 3M – Je, hii ni kawaida?

    Habari wakuu, Naomba ushauri kutoka kwa wenye experience na mikopo ya 10% inayotolewa na Halmashauri, hasa wale waliowahi kupitia mchakato huu. Wife ni mmoja wa wanakikundi cha watu watano, na aliomba mkopo kupitia Halmashauri ya Kigamboni. Kwa upande wake, aliomba kiasi cha Tsh 9.6 milioni...
  11. A

    KERO Mfuko wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10% katika Wilaya ya Rungwe si rafiki

    Mfuko wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10% katika Wilaya ya Rungwe si rafiki na unatia wasiwasi kutokana na changamoto tunazokutana nazo katika kufuatilia fedha zetu. Tulifanya maombi ya mkopo wa 10% na tukafuata taratibu zote zilizowekwa. Kikundi chetu kilipitishwa baada ya kuthibitishwa kuwa...
  12. Tumbili in town

    Nawezaje kupata mkopo wa haraka mtandaoni

    Niaje, kwa wazoefu nawezaje kupata mkopo kwa haraka mtandaoni kwenye application
  13. J

    KERO Platinum Credit wananizungusha kunipa barua yangu ya settlement nifunge mkopo wao

    Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu. Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu. Nimefuata taratibu walizonielekeza, nimejaza fomu na kulipa processing fee, lakini nimeambiwa nisubiri...
  14. Tanganian

    KERO CRDB wanaendelea kunikata deni ambapo nilishamaliza kulilipa, nifanyeje?

    Habari ndugu, CRDB kupitia mfumo wao wa SimBanking wamenibambikia deni la mtumishi ambalo nilishamaliza kulipa. Nimewafuata mara kadhaa, lakini wamekataa kunipa barua ya kuondoka kwenye mkopo, ambao kwa kawaida salio lake ni sifuri (0.04). Naomba ushauri, kwa sababu hata salary slip yangu...
  15. A

    HOJA Ahadi ya mkopo wa Tsh. Bilioni 2 kwa watengeneza maudhui(Content Creators), tutasubiri hadi lini? Hakuna mrejesho

    Mapema mwezi Januari 2026, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, alisema Wizara ilipatiwa kiasi cha Shilingi bilioni 2 ambacho kingewawezesha watengenezaji wa maudhui mbalimbali mitandaoni kuimarisha kazi zao na kuongeza kipato kupitia majukwaa ya kidijitali. Makonda...
  16. RSM Dominik

    Wanahitaji kutumia NIDA yangu kumsajilia mtu mkopo wa simu.

    ni ofisi inayohusika na ukopeshaji wa simu za smartphone..wameniomba wanipe posho kidogo wamsajilie mtu simu ya mkopo vipi mnaojua huwa kuna risk au side effect yoyote kwa namba yangu kutumika?
  17. idiomer

    Hivi kwanini walimu watoto wao wasisome bure chuo kikuu yaani isiwe mkopo.

    Walimu wanamchango mkubwa sana kwa taifa. Imagine mwalimu anafundisha madarasa mangapi ? Let say kafanya kazi miaka 15, watu kibao wamepita katika mikono yake. Fikiria mwanajeshi ana mambo mengi ya kumpa ahueni kwanza nauli halipi. Pia hata bank riba za mikopo ni ndogo. Pili wanaposho kila...
  18. M

    Wakulima Maswa waonywa kuuza pamba kwa mkopo

    Maswa, Simiyu: Wakulima wa pamba wilayani Maswa wameonywa kutokubali kuuza pamba kwa mkopo, bali wahakikishe wanalipwa fedha zao mara moja baada ya kukabidhi zao katika vituo vya ununuzi. Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya Maswa, Lukas Kuwingwa, amesema taasisi hiyo iliingilia kati baada ya wakulima wa...
  19. ChoiceVariable

    Tume ya Sayansi Yampa Mkopo wa Milioni 100 Mbunifu wa Helikopta Ili aendeleze Teknolojia.

    My Take Kuwe na Mfuko maalumu wa kuwawezesha wabunifu tuu na WA link na research centres . Kuna mwingine kule Njombe ameishia la saba ila ametengwdza mfumo wa umeme. Tukienda hivi tuswapita Iran.Kukariri vya wengine huko madarasani ni ku endeleza ujinga...
  20. Mwafrika Halisia

    Msaada: Kozi ya Ordinary Diploma in Civil Engineering (DIT) ina mkopo wa HESLB? Taratibu zake zikoje?

    Wakuu salama, Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
Back
Top Bottom