mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume aliyelazimika kutembea wiki nzima ili kutuliza hasira za mke wake

    Mwanaume Muitalia alitoroka nyumba yake ili kutuliza jazba baada ya kupigana na mke wake - kwa kusafiri mwendo wa kilomita 450 kwa miguu. Mitandao ya kijamii ya Italia haka imempa jina la "Forrest Gump" kutoka filamu ya Tom Hanks ya mwaka 1994, ambaye alisafiri maili elfu kadhaa nchini...
  2. JamiiForums Tanzania Mke aweka rehani nyumba ya mumewe benki achukue pesa na kumpa mchepuko

    Kuna watu ukisikia wameua unaweza kudhani wana roho mbaya sana kumbe ni situation imetokea tu. Leo nilikuwa nachat na jamaa yangu, katika mazungumzo nikamuuliza hivi flani yuko wapi nina muda mrefu sijawasiliana naye kama miaka mitatu hivi. Jamaa akanijibu hata hajulikani alipo kakimbia mwezi...
  3. JamiiForums Tanzania Jamani mke wangu amejifungua muda tu. Hana tumbo kubwa lakini ile mikunjo ya tumbo inatokaje?

    Alipojifungua alijitahidi kufunga mkanda wa kubana tumbo mpaka tumbo limekaa sawa. Sasa tatizo yale mamikunjo kunjo hivi wa dada aka wamama mnaitoaje ile? Kuna kipindi alijaribu kupaka mafuta flani, holaa Mpaka sasa ipo tu mikunjo kunjo. Ashajifungua mara mbili.
  4. JamiiForums Tanzania Chris Watts - Mwanaume aliyeua watoto wake wawili na mke wake mjamzito kisa penzi la mchepuko

    "Behind every murder, there is a motive" Wanawake wengi wa Kitanzania kama siyo wa Afrika utasikia, mimi ningetamani kuolewa na mzungu. Kwanza ni waaminifu na wana mapenzi ya kweli! Muda mwingine nawatazama nacheka kicheko cha mwenyekiti cha Hiiii! Wanaume wa kizungu wakichepuka wakata kuoa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Je wajua kuna tofauti ya demu na mke?

    Wakati vijana wengi tunakimbiza umri humu tukisema tutaoa mwakani lazima tujiulize tofauti ya demu na mke.Kama unaleta demu wako ndani kwako halafu chakula mnaagiza kilichopikwa na mwanamme mwenzio kama vile chipsi uyo msichana achana nae sio mke.Kuwa na mwanamke mnaeshindana kunywa bia hakika...
  6. JamiiForums Tanzania Napendwa sana na watoto ila mama zao watanivunjia ndoa

    Sijisifii ila ndivyo nilivyo, watoto wananipenda sana tangu mimi ni mdogo, hawa watoto naozungumzia, mara nyingi ni watoto chini ya miaka 7 Kwa sasa nina miaka 29, nimeoa na tuna watoto wawili. Changamoto ninayopata niwapo kazini, kwenye biashara, mtaani na maeneo mengi huwa natokea tu kupendwa...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba (MKE)

    Mimi ni kijana wa kiume, 29yrs mkazi wa DSM. Natafuta rafiki wa kike/mchumba umri 20-25 au zaidi mwenye nia ya dhati ya kutulia kwenye mahusiano na kufikia kuanzisha maisha pamoja. Aliye tayari anicheki inbox. Itapendeza kama atakuwa Dar au mkoa jirani. Awe anajiweza kidogo kiuchumi (awe na...
  8. JamiiForums Tanzania Nini maana ya mkumbuke mke wa ujana wako?

    Habari wanaJF, Kuna hii sentensi naionaga katika Bible kuwa mkumbuke mke wa ujana wako hivi huwa Ina maana gani? Kwamba muoe Mwanamke uliyemtoa bikra au ndo usimwache mchumba wako wa zamani first lover wako?
  9. JamiiForums Tanzania Nimemvunja moyo sana mke wangu, kama una chochote cha kuniambia au kunishauri wewe nishauri tu

    Kawaida ya wanaume tumeumbiwa tamaa, hakuna mwanaume asiyemsaliti mke wake iwe sirini au wazi wazi, mimi na mke wangu tumepitia changamoto nyingi sana kwenye maisha, amenivumilia kwa mengi toka ajifungue amekuwa wa hospital tu anatoka leo anarudi kesho. Mimi naishi mbali nae kwa sababu ya kazi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kula naye uzee

    Natafuta mke wa kula naye uzee mwenye sifa hizi: Awe na umri miaka35-47, Awe mkiristo, Ambaye hazai Awe tayari kunilea Wasifu wangu: Nina miaka 64 Nina watoto 6 wa mwisho ana miaka5 Mimi ni mgane, Retired since 2020 January Mjasilia Mali na mkulima wa vitunguu mpunga na mfugaji wa kuku na...
  11. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kuoa na kuishi kwenu na mke wako?

    Wazazi wamezeeka nyumba ni kubwa na wako peke yao na wajukuu wadogo tu. Na kwa kuwa eneo la nyumba ni kubwa kuna vyumba vya nje (double self) nilivijenga kwa ajili ya kufikia kila nnapoenda nyumbani na familia yangu. Wazazi wameniomba nihamie nikae hapo. Je, kimaadili ni sawa? Nahofia pia mama...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kauli ya " mke wangu ananipa raha" inaakisi mbwembwe za chama kushika hatamu!

    Kauli ya daktari Mpango imenikumbusha enzi za mfumo wa chama kimoja cha siasa ambapo chama kilishika hatamu. Wakati ule kiongozi aliweza kuongea neno lolote tena mahali popote bila kujali chochote kwa sababu chama kilimlinda. Waziri mmoja aliwaambia wabunge " kalalamikeni kuzimu" na baadae...
  13. JamiiForums Tanzania Mke wa Nyalandu asema mumewe hakutaka kutoroka nchini

    Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe amesema, Lazaro Nyalandu amezuiwa Namanga kwasababu hakuwa na nyaraka muhimu na atafikishwa Mahakamani endapo atashindwa kuwasilisha nyaraka hizo. Mke wa Lazaro Nyalandu, Faraja Kotta Nyalandu amesema wao wanaishi Arusha na mumewe hahitaji nyaraka ili...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke mwema

    Mimi ni mwanaume wa miaka 40 na nina watoto 3. Ni mwajiriwa na mfanyabiashara. Nahitaji mke wa kufunga naye ndoa mwenye sifa zifuatazo: 1. Mcha Mungu kweli wa dini yoyote 2. Asiwe mwajiriwa au awe ameajiriwa/amejiajiri sekta isiyo rasmi 3. Umri miaka 25-35 4. Mweusi mwenye umbo la kibantu ila si...
  15. JamiiForums Tanzania Kati ya Mama na Mke nani anastahili zaidi ya 50% ya mapenzi

    Kwanza kabisa tuelewe majukumu ya hawa watu katika sekta zao. Heshima ya Mama haipungui kijana unapooa. Tunajua umuhimu wa Mama toka amekubeba miezi 9 umezaliwa umekuwa na umejitambua hilo ni jukumu lake na lazima apate heahima kama Mungu alivyoagiza. Umejitambua unataka sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini mke wako akikuta meseji ya mchepuko ukiomba msamaha na kufanya nae mapenzi anakusamehe?

    Hii nimeishuhudia mara kwa mara maeneo mbalimbali ila Jioni hii ndiyo 'nimeithibitisha' kabisa. Kuna Mke wa Watu 'Kafumania' Meseji ya 'Hawara' ya Mumewe katika Simu yake na kwa jinsi Mwanamke ( Mke ) huyu alivyokuwa akifoka, akipiga kelele, akitishia Kuondoka kurejea Kwao huku akimtukana huyo...
  17. V

    JamiiForums Tanzania Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

    Habari zenu wadau. Mtakumbuka nilipost hapa kuwa natarajia kufunga ndoa, nashkuru ndoa imepita salama licha ya kupata michango hafifu sana kutoka kwa marafiki. Nimekutana na kitu ambacho cjawahi kukutana nacho kipindi cha ubachelor, nikiwa nakula tunda la mke wangu baada ya muda...
  18. JamiiForums Tanzania Andika kazi ya mme/mke wako ambayo unataka awe nayo

    Ni simple tu: Andika kazi ya mme/mke wako ambayo unataka awe nayo? Cc Zero iq Sent using Jamii Forums mobile app
  19. JamiiForums Tanzania Nimetembea na msichana wangu wa kazi, mke kajua kimenuka

    Habari zenu ndugu zangu, Nimekua nikipata misusuko kwenye mahusiano na mke wangu huyu hii imekua too much, mke wangu alifiwa na baba yake tukaenda msibani, nyumba tukamwachia dada wa kazi, baada ya mazishi mimi nikarudi nyumbani, tumekaa siku tatu siku ya nne nikashindwa uvumilivu kama ile...
  20. JamiiForums Tanzania Story ya kweli: Vijana tujifunze kuchunguza wachumba kabla ya kuwageuza kuwa wake

    Jana jioni nilipata mwaliko nyumbani kwa rafiki yangu mmoja ambae pia ni kapteni wa JWTZ kikosi cha anga (Air Transport Station) hapo Majumba sita. Baada ya kufika nyumbani kwake maeneo ya huku Kitunda, akanijuza anahitaji nimpe namba ya shemeji yangu flani. Nikataka kujua anaitaka ya nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…