Daniel Arap Moi alivyomaliza miaka 24 madarakani bila mke
Rais mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi aliyekuwa na umri wa miaka 95 alifariki dunia Februari 4, 2020 katika hospitali ya Nairobi alikokuwa amelazwa kwa takribani miezi mitatu.
Moi alizikwa akiwa na rekodi ya kuwa rais pekee wa Kenya...