mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

    Wapendwa wa Jamii Forums, Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa aina hii nayotafuta umwelekeze yeye mwenyewe awasiliane na mimi. Nataka kuoa. Sifa zangu na za huyo...
  2. JamiiForums Tanzania Mke wangu hata hanijali. Nimesafiri toka asubuhi lakini hajaniuliza kama nimefika

    Mko fresh watu wa Mungu? Nimepanda basi la angani toka saa 12 asubuhi kuja mwanza kikazi, lakini cha kustaajabisha mpaka sasa saa mbili kasoro usiku kwa saa za Afrika Mashariki wife hajanipigia kuniuliza kama nimefika salama or not! Hivi napendwa kweli hapa wazee wenzangu?
  3. JamiiForums Tanzania Ni bora uolewe Mke wa pili na Mwanaume mwerevu kuliko ujitie kuolewa kama mke mmoja na Mwanaume asiyejielewa

    NI BORA UOLEWE MKE WA WAPILI NA MWANAUME MWEREVU KULIKO UJITIE KUOLEWA MKE MMOJA NA MWANAUME ASIYEJIELEWA! Anaandika, Robert Heriel. Angalizo; Ujumbe huu utawahusu binti zangu tuu, na wanawake wote werevu ikiwapendeza wafuate maneno yangu. Hivyo ni kusema ujumbe huu sio wa watu wote. Taikon...
  4. JamiiForums Tanzania Pale mke anapofungwa miaka 30 jela na hurusiwi kuongeza mke, hii hali inatatuliwa vipi?

    Katika sheria za dini za kikiristo ni kwamba hurusiwi kuongeza mke na kifo pekee ndicho cha kuwatenganisha, kinyume na hapo ni nje ya sheria za ukristo. Sasa inapotokea mfano mke wako anafungwa jela miak 30 ama hata kifungo cha maisha na bado hamna hata mtoto, ndoa bado ilikuwa mbichi, hapo hii...
  5. JamiiForums Tanzania Ukristo: Pale mke anapoamua muwe na mtoto 1, hataki kukupa tendo, yupo mkoa wa mbali kikazi. Solution ni ipi?

    Hapo patatosha kweli? - Anajiamulia mzae mtoto moja tu kwakuwa ametingwa na kazi - Anaamua mwenyewe mfanye sex au asikupe? - Yeye kahamishiwa kikazi huko bukoba wewe upo dar na mnakutana siku 1 tu kwa mwezi?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amepata tatizo la kutoa harufu ukeni

    Nimekaa naye kwa takribani miaka 12 sasa, ni msafi sana na sijawahi hisi harufu hiyo. Nikawa hadi napiga deki kuenjoy papuch sijawahi fanya hivi kwa mwanamke yeyote. Nilipohamia mkoani kikazi nimeanza hisi hii harufu baada ya muda kidogo tangu nihamie mkoani kikazi, bado ni msafi kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mkeo akikukimbia halafu huko aliko akakuomba hela, utampa au hutampa?

    Imagine mkeo au demu wako kakukimbia halafu baada ya muda flani anakutumia msg ya kukuomba hela je utampa? Ukimpa kwanini? Usipompa kwanini?
  8. JamiiForums Tanzania Huruhusiwi kumuingilia 'mke mdogo' wa baba yako hata kama Baba yako alimuacha kwa talaka

    Iwapo ndoa baina ya baba yako na mama yako mdogo ilitimia kisheria, basi akawa mama yako wa kambo, huyo tayari anakuwa ni Mahrum (Mwanafamilia ambaye ni haram kwako kumoa). Maisha yote hata kama ataachwa baadae na baba yako. Hutakiwi kumuingilia wala kuonesha vishawishi vyovyote vya kumtamani.
  9. JamiiForums Tanzania Liwale: Kijana anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya mke wa mtu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamtafuta Saidi Haji Ngamila (30) mkazi wa Kijiji cha Barikiwa Wilaya ya Liwale kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata na kitu chenye ncha kali na kutengenganisha kichwa na kiwiliwili na kisha kuchimba shimo na kumfukia Mwajuma Ally Lipala (49) Mkazi wa Kijiji cha...
  10. JamiiForums Tanzania Upendo uliotukuka wa wanaume juu ya watoto, mke wazazi na ndugu zao ndio huwafanya wawe wezi, mafisadi, matapeli na hata majambazi

    Habari! Lengo la Uzi huu si kuhamasisha matendo maovu ya kijambazi, wizi, uporaji, utapeli au ufisadi. Lengo langu ni kuonyesha sababu kuu kwanini matendo haya maovu hufanywa hasa na wanaume zaidi kuliko wanawake. Ni upendo tu uliotukuka kwa ndugu zao na familia zao ndiyo hupelekea wanaume...
  11. JamiiForums Tanzania Ninaishi na mke ambae hatujaoana ila tuna watoto na tunaishi vizuri. Ndoa ni sheria ya kijinga inayoweza kunivuruga

    Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka. Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali; huyu mke kila akienda kwao basi hurudi kichwa kinamuuma!

    1. Humwambii kitu na kwao, haswa bibi yake anapoumwa.....yupo tayari hata kukopa nauli akamuone 2. Kila akirudi huko kichwa kinamuuma lkn ndo anapenda kwenda hatari Kuna nini hapa?!!!! Nimeanza kupatwa na wasiwasi
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna Mume kapigwa na kitu kizito, naomba tuwashauri

    Iko hivi hawa mke na mme wanaishi nchi tofauti ila hapo nyuma walipendana sana tena sana na.wana watoto kadhaa. Sasa mme akapata michepuko hapa Tanzania. Na kuna mchepuko aliupenda sana sana kupita mingine. Mke wake anaishi London na watoto. Sasa kuna siku mme akampigia mkewe simu akimwambia...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

    Afisa Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara katika picha mara baada ya kufunga ndoa kwa mke wake wa pili jioni ya Alhamisi Aprili 14, 2022
  15. JamiiForums Tanzania mwanaume mkristo anaenyimwa unyumba, mke hawawezi shiriki tendo, kuhamishwa mkoa kikazi, na hurusiwi kuongeza mke, mnakabilianaje na hii hali

    Hii hali huwa imekaaje kwa wakristo. Unakuta -Mke anakunyima game maksudi kabisa - Mke hawezi tendo labda ni mgonjwa -Mnaishi Dar ila mke anahamishiw kigoma. .... Na hurusiwi ongeza mke. hii hali dhambi ya uzinzi inaepukika?
  16. JamiiForums Tanzania Uke wenza: Ni adhabu ipi inamstahili mwanamke anayechukia ama kujaribu kukwamisha mpango wa mume wake kuongeza mke mwengine?

    Imeshaandikwa katika vitabu vitakatifu mwanaume anaweza kuwa mpaka na wake wanne kwa mpigo, maana kwa jinsi mwanaume alivyoumbwa kaumbwa kuweza hili. (hata kwenye Biblia kuna manabii wengi sana walikuwa na wake wengi) Sababu za kuomgeza mke inaweza kuwa mke wako ni tasa na mmejaribu sana ila...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke anafaa kuwa mke kweli?

    Habari Wakuu, Bila kupoteza mda niende Moja kwa Moja kwenye mada. Nilikuwa na mpenzi ambaye ndiyo nilikuwa nategemea kumuoa, kilichofanya nije niulize hapa ni hili tukio. Mimi Niko mkoa mwingine na mpenzi wangu alikuwa anafanya kazi mkoa mwingine. Siku moja nikawa nimeenda kumsalimia na...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Hbr Jf, Natafuta binti mrembo wa kuoa, awe na sifa zifuatazo: Awe ameamua kutulia na kuanzisha familia Awe mrembo wa sura Asiwe mlevi Umri usizidi miaka 28 Elimu ya chuo na kuendelea Asiwe na mtoto Sifa zangu: Mkristo Nina umri wa miaka 35 Situmii kilevi chochote Nimeajiriwa, kipato cha...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

    Habari wakuu, nimeona taarifa kadhaa kwenye mtandao hasa kwenye page ya HabariLeo ya kwamba TRA wameshaita vijana kazini. Hii inaukweli wowote? Na kama ni kweli wanawezaje kuita kimya kimya bila kutoa pdf? ====== #HABARINJEMA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya ndoto hii aliyoota mke wangu

    Mke wangu kaoota nyoka anamzuia kila akijaribu kupita njiani. Kila akijaribu kutafuta upenyo nyoka anaziba njia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…