mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kisa wivu wa mapenzi, mume adaiwa kumuua mke kisha kumtenganisha kichwa, kiwiliwili na viungo vingine

    Mwanaume mmoja Mkazi wa Kitongoji cha Lubela, Mtaa wa Nyashimbi, Kata ya Mhongolo wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Bundala Mathew anashikiliwa na Polisi, kwa tuhuma ya kumuua mkewe, Rehema Nyamgila kwa kumcharanga mapanga. Imedaiwa baada ya kutekeleza mauaji hayo, alitenganisha viungo vya...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nimezaa na mke wa mtu watoto wawili na ana mimba ya tatu

    Wakuu asalaam Aleikum, Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, nawasalamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nije kwenye mada mimi ni mwanaume ambaye kidogo nimeshavuta vuta umri kiasi (niko around 40+) nina mke na watoto watatu. Lengo la kuja hapa naomba tupeane ushauri. Binafsi nimezunguka...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya vifo vya Said Oswayo na mkewe, Swalha Salum mali zinatakiwa kwenda katika Familia ya Mke au Mume?

    Tukio la Said Oswayo kumuua mkewe, Swalha Salum kisha na yeye kuuawa ikidaiwa amejiua bado ni gumzo Nchini Tanzania. Wivu wa mapenzi ndio unatajwa na wengi kuhusu matukio hayo yaliyotokea ndani ya mwezi huu Mei 2022, lakini hoja yangu hapa siyo kuhusu walivyouawa, nina kitu tofauti kabisa...
  4. JamiiForums Tanzania Serengeti: Amuingizia mkewe panga sehemu za siri

    Jeshi la polisi mkoani Mara limekiri kumshikiria Gimusi Murimi 42 mkazi wa wilaya ya Serengeti kwa kumjeruhi mkewe kwa kumuingizia panga sehemu za siri kwa kumtuhumu kuchepuka wakati yeye akiwa hayupo nyumbani. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara RPC Tibishubwamu amesema mtuhumiwa huwa anaishi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Haya ya Jamaa kumpiga mke wake risasi omba Mungu yasikukute

    Kuna kitu nataka kuongeya kuhusiana Na tukio hili ambalo lilitokea siku hizi la Jamaa fulani kumpiga mke wake risasi Nimesoma comment nyingi watu wengi wanamlaumu mwanaume kuwa amefanya vibaya saana kumpiga mke wake risasi. Kwangu Mimi nasema Sawa amefanya vibaya ila omba Mungu yasikukute. Sisi...
  6. JamiiForums Tanzania Mke na Mama ndio wenye Mamlaka na uhalali WA kuitaka pesa ya Mwanaume

    Kwema Wakuu! Tunakumbushana tuu! MWANAMKE pekee mwenye mamlaka na uhalali WA kuitaka pesa ya Mwanaume ni Mama yake mzazi na Mke wake tuu, wengine ifanyike biashara. Kama ni kuuziana muuziane, Kama ni kununua mnunue iwe Kwa masaa Kwa siku au wiki. Wanawake msikubali kukaa kwenye mahusiano...
  7. JamiiForums Tanzania Jibu la mke wangu kwa mwanae baada ya kuulizwa swali gumu

    Kwa kweli Kati ya watoto wadadisi mwanangu huyu wa kiume 9 yrs naye yumo, mama yake ni mjamzito sasa akamuona na kamuuliza mama yake "wewe mama unatematema mate, mama yake akamjibu fanya mambo yako, ilibidi nicheke kimomoyo halafu nikamnong'oneza maneno.
  8. JamiiForums Tanzania Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako. Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Habari zenu wakuu? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza natafuta mke wa kuoa awe serious na maisha umri miaka 24_30 kabila lolote ili mradi awe mtanzania dini sichagui wala rangi sijui sura mimi sichagui. Najua kuna wanawake wangependa kujua kipato changu mimi kwa sasa nabangaiza...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

    Kichwa cha habari chahusika. Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa kuwa na mwanaume kwa malengo ya ndoa na kujenga familia bora. Sifa za huyo mwanamke : 1. Awe mwenye hofu ya Mungu 2. Awe kabila lolote lile 3. Umri kuanzia miaka 22 - 35 4. Asiwe single maza 5. Elimu yake iwe kuanzia form iv 6...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mke wa mtu analika niendelea naye au nimkaushie tu?

    Nimeona kapost picha ya bwana yake, nikamuuliza ndio shemeji au?akajibu ndio, nami nikamwambia he looks smart, akanijibu smart kama wewe. Hii sentence ya kumfananisha mumewe na mimi nyie mnaitafsiri vipi wakuu?
  12. JamiiForums Tanzania Jana nimedundwa kisa mke wa mtu

    Wakuu hapa niko hospital Jana nimepigwa vibaya mno. Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa, nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni bwana ake tena wa ndoa. Alivyooana namtongoza yule manzi akanionya me sikusikia, mara ya tatu coz I was...
  13. JamiiForums Tanzania Kupiga chabo kulipelekea kuona tukio la mke kumloga mme wake kupitia chakula

    Tuheshimu privacy za watu chabo sio jambo zuri hata kidogo yanayofanyika ndani ya kuta nne yabaki kuwa confidential unless kama yaliyofanyika yana maslahi mapana kwa jamii. Kwa maslahi mapana ya wanaume wanaoandaliwa chakula na wake zao mimi BabaMorgan nimepata ujasiri wa kusema niliyoyaona...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea nimeamini Duniani hakuna mke wa Mtu

    Wakuu hapa Duniani hakuna cha mke wa mtu cha msingi ni kutafuta Pesa tu Anaamka 05:00 Am anaacha kachota ndoo kumi za maji kwa Ajili ya mke wake. Then Anaenda katika harakati za kuuza Vyombo vya kupikia na kurudi 07:00Pm Watoto anawatafutia chakula cha kushiba ila yote haya kashindwa kuyaona...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana tatizo la kukoroma

    Kwema wadau? Mke wangu amekua ana tatzo la kukoroma haswaa anakoroma utafirikiri mwanaume hii hali ya kukoroma ina tibika kweli Msaada kwenu
  16. JamiiForums Tanzania Aoteshwa kwato za Ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu

    Mtu mmoja raia wa zimbabwe, azua taharuki mjini baada ya kuonekana akiwa na kwato za ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu. Wazee mke wa mtu ni sumu. Katika nchi zenye waganga wakali zimbabwe, Nigeria, Kenya, DRC, so usijaribu. VIDEO
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa Idris Elba atembelea Kenya

    Sabrina Dhowre Elba, mke wa staa wa filamu za Hollywood, Idris Elba ametembelea Nchini Kenya. Amefika nchini humo akiwa katika majukumu ya masuala ya kilimo ya Umoja wa Mataifa (UN Fund for Agricultural Development) Mrembo huyo mwenye asili ya Somali-Canada ni mwanamitindo, alitembelea eneo la...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amewafukuza Mashoga zake

    Sijajua amehisi nini mpaka kuwapiga marufuku mashoga wake aka marafiki zake wa kike na nikimuuliza majibu ni msumari. Hivi mlioolewa mliomo humu vipi mnakaa na mashoga zenu hawana hitilafu ya kuvuruga mahusiano na mwenzawako aka mumewako au hata partner wako?
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anamwambia mke wangu kuwa sisi tunalala tu hatufanyi mapenzi

    Huyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mimi hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu. Leo mke wangu ameniambia nikiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshughulikia mke wake muda wote...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

    Wapendwa wa Jamii Forums, Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa aina hii nayotafuta umwelekeze yeye mwenyewe awasiliane na mimi. Nataka kuoa. Sifa zangu na za huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…