mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, watoto watanichukia

    Habari zenu Wana Jf Tumekuwa tuna ugomvi Mara kadhaa na wife me sio muongeaji Sana..nikionaga ugomvi ni mkubwa nakaa kimya au naondoka lkn Kama mmegombana usiku ujue uwezi kulala ataongea na kulaumu kila kitu. Wife ana tabia mkigombana tu au ukampiga vibao viwili vitatu anakimbilia...
  2. JamiiForums Tanzania Kafariki akiwa amejifungia ndani ya ofisi yake, Mke wake alaumiwa

    Imetokea leo mchana maeneo ya kituo cha bandari Kurasini. Kuna jamaa ana ofisi yake (frame) ya kuziba pancha na kuongeza upepo ni jirani yetu kabisa na ofisi yetu ndogo (branch) ambayo huwa napita siku moja kila wiki. Huyu jamaa ni mkimya sana sijawahi kuzoeana nae ila salamu tu na nimewahi...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba baadae awe mke

    Habari za wakati huu, Nahitaji mchumba miaka 23-27, awe mweusi, dini yoyote. Umri wangu ni miaka 22, mwanafunzi wa Degree.
  4. JamiiForums Tanzania Mke wa mtu sumu hasa huyo mtu akiwa kibopa wa Serikali, najuta

    Mke wa mtu ni sumu, tena ile sumu inayoua pole pole mwilini. Ama hakika najuta sana, nikiendelea kutongoza mke wa mtu au kuishi na mke wa mtu mniite mbwa nimekaa pale. Wakuu ama kweli yalionikuta jana siwezi kuyasahau maisha yangu yote hivi inakuaje manjemba watatu wote wanakuja guest na mafuta...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wakuoa

    *Hello Wana JF, ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Natafuta mke wa kuoa, Ni mwanaume mwenye umri 37, dini mkristu, nimejiajiri, sina mtoto, situmii kilevi chochote,Ila nimpambanaji Sifa ya mke ninaye mtaka. ~ Awe na umri 28-30. ~ Elimu siyo kipaumbele changu. ~ Dini yeyote ~ Kabila...
  6. JamiiForums Tanzania Kisa Cha Mume, Mke jeuri na Punda kimenichanganya kuhusu sala la ndoa

    Mkulima mmoja mzee kijijini alikuwa na mke aliyependa sana kumbugudhi bila huruma. Kuanzia asubuhi hadi usiku na wakati mwingine hata usiku wa manane, wakati wote alikuwa akimlalamikia kuhusu chochote. Wakati pekee aliopata nafuu ni ule wakati aliokuwa nje shambani akilima na punda wake mzee...
  7. JamiiForums Tanzania Madam zangu muige Tabia za mke wa Deepond

    Hapana Shaka yoyote wengi wetu humu ndani tunajua harakati za DeepPond na mama j, ni mastory ambayo Yana vituko na burudani na mafunzo ndani yake, binafsi huwa sikosi kumsoma huyu mwamba. Lakini wote tunakubaliana humu jukwaani kwamba Hakika kama mkewe angekuwa mtu WA kufuatilia Simu ya mumewe...
  8. JamiiForums Tanzania Ajinyonga ukweni baada ya kunyimwa mke

    Mwanaume mmoja ambaye jina lake halijafahamika amejinyonga na kufariki dunia ukweni kwake baada ya juhudi za kupatanisha na mke wake kugonga mwamba. Mwanaume huyo alikuwa amekwenda ukweni kwake Kijiji cha Kolondo Mashariki mwa Homa Bay, ambapo inaelezwa lengo lake ilikuwa ni kumrudisha mke wake...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu kwa huyu anayedate na mke wa mtu kiasi mpaka anasahau kusaidia familia yake

    Habari wakuu Nina rafiki yangu mmoja sio tu rafiki bali pia amekuwa kama ndugu yangu jamaa anadate na mke wa mtu Tena anakaa nae mtaa mmoja na mine wake ya huyo manzi anamjua, kibaya zaidi ameenda mbali anamgharamia kila kitu na anajua kabisa ni mke wa mtu na hapa anampango wa kumpangishia...
  10. JamiiForums Tanzania Unataka mke?

    "UMRI SIO RAFIKI NITAMLIPA MSHAHARA ATAKAYE NIOA" Haya sasa unaambiwa mwanamke mmoja wa Nigeria mwenye makazi yake nchini Ufaransa ameingia kwenye mtandao ya kijamii kutoa tangazo anahitaji Mwanaume wa Kumuoa na akijitokeza atakuwa anamlipa Mshahara kwa Mwezi. Mwanamke huyo ambae Tayari umri...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna utofauti wa mke wangu na hao wake zenu sometime wana act kama dada poa

    Hivi fikiri mke wa mtu anavaa nguo fupi sana haipiti magoti halafu mbaya zaidi akikutana na wanaume anaweka kanga ili wanaume wasione mbunye huo si Udada poa? Wake zenu wanavaa Madera marefu halafu anatumia mkono wa kushoto kulishikia huo ni uchangudoa nawaambia Mke wangu yeye ni full stara...
  12. JamiiForums Tanzania Mathias Mnyampala: Nguli wa fasihi aliyeanza shule ya msingi akiwa na mke tayari

    Ni ngumu kuzungumzia fasihi ya kiswahili bila kumzungumzia Mathias E. Mnyampala. Mnyampala alizaliwa mwaka 1917 huko Dodoma akiwa ni Mgogo. Baba yake alikuwa ni mfua chuma na alimiliki ng'ombe wengi ambao Mathias ndiye alikuwa mchungaji. Mwaka 1931. Akiwa kama na miaka 14-15 aliozwa mke...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mke anatafutwa

    Kuna kijana wa Kiislam ana umri wa miaka 28, Elimu yake ni degree, amejiajiri na kwa rehma za Allah pesa ya kula na mahitaj mengine muhimu zipo. Sifa za Mke anaehitajika ni kama ifuatavyo; Awe muislamu mwenye kufanya Ibada. Awe na Elimu angalau Certificate au Diploma, Akiwa na Degree its even...
  14. JamiiForums Tanzania Muenzi mke wako

    Kwa kuoa huchukui tu mke, Bali unachukua ulimwengu wako mzima. Kuanzia hapo mpaka maisha yako yote mke wako atakuwa mwenzio, mwandani wako, na rafiki yako mpenzi. Atashiriki katika nyakati zako nzuri, siku zako, na miaka yako. Atakuwa pamoja nawe katika furaha na shida, katika mafanikio na...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeota tunasafiri kwa kupaa nikiwa na mke wangu na mtoto

    Ilikuwa na safari nzuri sana japo kuna wakati yale mafeni tuliyokuwa tunayatumia kupaa yalikuwa yanagoma kuzunguka ila kabla hatujadondoka yanazunguka tena huku mke wangu akiwa na mtoto mgongoni tulienda kutua kwenye mji mmoja ambao nilona kuna fremu nyingi za biashara huku kukiwa na biashara...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu nifundisheni jinsi ya kumpa mwanamke mimba

    Kama kichwa cha habari kinavyojielezea sijui nakosea wapi. Nina mchumba wangu tumemaliza mwaka sasa nikimpanda ila hashiki mimba na anaingia period kama kawaida. Nawaza labda naeza kwenda kujaribu kwa mwanamke mwingine kisha inase na sipo tayari kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya huyu. Kama...
  17. JamiiForums Tanzania Jamaa kamtengeneza mke wake popote atakapotongozwa usiku akipandisha maruhani anasimulia yote

    Dunia simama, nina jama yangu mtu wa Mtwara ila amekulia Morogoro, basi katika stori mbili tatu akanisimulia jinsi alivyomtengeneza mke wake hata atongozwe na nani usiku wakati akiwa amelala atasema yote. Sasa nikamuuliza anaseaje? Akaniambia wakati akiwa amelaa ndipo maruhani umpanda kisha...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa mauaji ya mke amtumia sms mama mkwe

    Moshi. Ni matukio nadra kutokea katika jamii, baada ya mtuhumiwa anayesakwa kwa udi na uvumba na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, kumwandikia mama mkwe ujumbe mfupi (SMS), kuelezea ushiriki wake katika tukio hilo. Mtuhumiwa anadaiwa kutuma ujumbe huo wakati polisi wakiwa tayari wamechukua...
  19. JamiiForums Tanzania Wakubwa, hivi ni sawa kumtafutia mke wako dereva?

    Wakubwa mimi BabaMorgan bado ni mdogo kiumri na kifkra naomba kujuzwa na ninyi wakubwa zangu, imekaaje kumtafutia mke wako dereva wa kumuendesha, tena kwenye gari ambayo ni full tinted? Kwa mtazamo wangu ni kuyatafuta matatizo.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (mume)

    Hello JF users.Niko jukwaani kutafuta mwenza(mume) Sifa zangu; Jinsia- mwanamke Dini-mkristo Umri-30+ yrs Elimu-Degree moja Mtoto-Mmoja 10 yrs Ajira-Niko private sector Ninayemuhitaji awe Mkristo; 32-40yrs Awe na kazi halali Asiwe kwenye ndoa kwa sasa Awe muelewa na utayari wa kuingia kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…