mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote. Inaelezwa kuwa mahakama...
  2. JamiiForums Tanzania Kukosa hamu ya kula na uchovu, mate kujaa mdomoni sana ni dalili ya nini?

    Habari JF, mke wangu mimba yake ilitoka ikiwa na mwezi mmoja. Lakini tangu itoke ni mwezi sasa na bado anatema mate mengi sana. Je inaweza ikawa ni dalili ya nini? Ni mimba au inaweza ikawa tatizo lengine?
  3. JamiiForums Tanzania Hatimaye Fred Saganda Ntogwishango apata mke.

    Apataye mke apata kitu chema. Hatimaye msanii mkongwe mjini Fred Saganda Ntogwisango amepata mke. Fred Sanganda ni msanii mwenye vipaji lukuki, ni mchekeshaji, mwimbaji, mpigaji wa ala za muziki, ni producer, ni sound engineer, ni mchora katuni, na pia ndiye twiga wa kwenye katuni za Ubongo Kids.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba au Mke mtarajiwa

    ,
  5. JamiiForums Tanzania Machozi ya mtoto wa jirani yangu yamenisikitisha sana

    Habari muda huu Wana JF, Kuna kisa nilileta hapa kuwa mtoto wa Jirani yangu amezoea kuniita baba. Jana majira ya saa 5 asubuhi, ilibidi niwaage Jirani zangu baadhi ambao tumeishi vizuri muda wote niliokuwepo hapa, sehemu niliokuwa naishi Ina nyumba 3 Ila ziko kwenye fensi moja Jirani yangu...
  6. JamiiForums Tanzania Geita: Mwalimu atuhumiwa kumuua mkewe

    HABARI Polisi mkoani Geita wamelazimika kufukua ndani ya nyumba ya mwalimu Francis Elizeus wa shule ya msingi Lubanga baada ya ndugu wa mke wake kumtuhumu kuwa amemuua mke wake Jenifer Mashimo na kumfukia ndani hali iliyopelekea ndugu hao kumtishia maisha mwalimu huyo. Mke wa Mwalimu huyo...
  7. JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu tunafurahia sana ndoa yetu, ijue maana ya kumuita mwanadani wako "Baby"

    Watu wengi walio katika mahusiano hutumia sana neno baby (mainly in happy times) lakini ni wachache sana wanajua maana ya kumuita mwanadani wako "baby". ukishaelewa maana ya kumuita mwenza wako baby basi utafurahia maisha ya mahusiano yako, hasa wote mkiwa mnafahamu hilo Sasa je nini maana ya...
  8. JamiiForums Tanzania Natamani Wazazi wangu wananitafutie Mke wa kuoa me nitachemka akinishinda nawapa mzigo wao

    Utamaduni huu naomba kwangu ubaki maana Ndoa nyingi siku hizi hakuna japo tunaona sherehe nyingi sana kuliko Ndoa. mimi naomba wazazi wangu wanitafutie mke atakayenifaa hivo tu sijajua kwako kijana mwenzangu una maoni gani juu ya hili.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Huwa Nashangaa sana Muislamu anapohangaika kutafuta Mke/ mume. Mkristo namuelewa kutokana na ndoa ya kikristo ilivyo

    Habari wadau. Naona post nyingi za watu kutafuta wenza wa dini zote. Pia hata mitaani naona watu wakihangaika kusaka wenza.. Huwa nashangaa sana na waislamu nao wanahangaika kusaka wenza kama mke na mume. Uhalisia naona kama waislam ni rahisi sana kupata mwenza kwenye mazingira yeyote
  10. JamiiForums Tanzania Humu JamiiForums hakuna wife material, kijana usidanganyike

    Inawezekana Nina pasaka chache na eid chache humu JF lakini kwa uchunguzi wangu mke bora hayupo JF, wanawake wengi wapo JF kwa ajili ya stress zao za mahusiano au ndoa. Embu niambie Kuna member gani waliwahi kukutana JF mpaka wakaoana, na kuwa na familia kabisa, mtakaonijibu mje na ushaidi...
  11. JamiiForums Tanzania Nina damu group 0+ na mke wangu ana group 0- msaada tafadhali

    Habari waungwana, Niende moja kwa moja kwenye mada, ni hivi mimi Nina group 0+ lakin wife ana 0- mke wangu alipopata ujauzito niliambiwa ili mtoto wetu aweze kuishi ni lazima achome sindano ya ant-D. Sindano moja tu inauzwa laki mbili na elfu themanini kwa kipindi hicho na kweli alichoma...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume mwenye akili timamu hawezi kutembea na mke wa mtu

    Katika dunia hii ukitaka kuishi vizuri acha vitu vifuatavyo.  Wizi  Utapeli Wake za watu Wanaume mwenye akili zako kabisa una date na mke wa mtu na una enjoy kabisa. Me siwezi ata kuwa karibu na mke wa mtu wake wa marafiki zangu Sina ata ukaribu nao. Kuna wanaume wengine ni vichaa kabisa,Wana...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume, acha tabia ya kutembea na Wake za watu.

    Wanaume, Nipo hapa kuwakumbusha kukaa mbali sana na Wake za watu. Leave them alone. Haijalishi ni yeye ndio amekupenda au anakusumbua sana. Unapaswa KUACHANA NAE. hata mazoea nae yakatae. Bado kuna Wanawake wengi warembo/wazuri wako single na wapweke. Na wanahitaji sana Upendo, Mapenzi na...
  14. JamiiForums Tanzania Achapwa viboko hadharani na kupigwa faini laki mbili baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mpangaji wake

    Mwanaume mmoja aitwae Katayo Bote Mkazi wa Kijiji cha Kibwera Wilayani Geita Mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili baada ya kufumaniwa na Mke wa Mtu wakiwa chumbani katika Kijiji hicho. Emmanuel Ndalawa ambaye ni Mume wa Mke aliyefumaniwa...
  15. JamiiForums Tanzania Brother wangu wangu amesema nitoke nyumbani baada ya kumla mke wake, kwahiyo amesema akitoka London asinikute nyumbani! Najuta kumla mke wa kaka sheme

    Wapi nitaiweka sura yangu? Na huu u Jobless wangu? Au nirudi nyumbani maganzo nikalime pamba na kuchunga ng'ombe jamani ujanja wa kiboya umeni cost kiukweli brother hataki kuniona kabisa 😢 😭 😿 na amesema akitoka London asinione la sivyo ataniua Wakuu si mnakumbuka post yangu ja jana ya kumla...
  16. JamiiForums Tanzania Natarajia kumuoa mke wangu Elineema Shayo

    Mke wangu ni Elineema Shayo mtoto wa kibopa,msomi wa ngazi ya shahada ya uzamili na mwanamke au katika wanawake wenye akili kuwahi kuishi nae maisha yangu sijui kwanini nimechelewa kumpata ila japo ni single mother lakini ananipenda sana na kunijali kwenye shida na raha Elineema shayo alinikuta...
  17. JamiiForums Tanzania Nimemla shemeji mke wa kaka yangu baada ya kaka kwenda London

    Nilimuambia brother huyu mke wako nitamla ILa brother alikuwa mbishi na kiburi kwa sababu anasema mke ni mwaminifu nikasema bwana mke wako mbona ananitega? Kwasababu akienda bafuni anaenda na kanga moko halafu anitingishia matakro ila sijajua kwanini ananitega kwasbabu mimi nina akili au nini...
  18. JamiiForums Tanzania Nimetunukiwa tunda na mtoto wa kizungu guest za Manzese

    Umewahi kumla mzungu? au wewe unahangaika na hayo akina mwajuma ndala ndefu au akina cheusiku wa ubongo riverside? Pole sasa nikuambie mie mwenzio nimemla mzungu jana kwenye guest za manzese sema yeye huyo mzungu hataki mambo mengi sana japo ni mfanyakazi mmoja wa shirika moja la kimataifa na...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi wa kiislamu hasa wa kike hawataki watoto zao kuolewa mke pili

    Wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhan unakaribia vijana wanavuta jiko na wengine wanaongeza mke wa pili,tatu mpaka wa nne kama dini inavyoruhusu. Kuna tukio limetokea juzi mama wa binti ni muislam Safi tu na mumewe ni shekh mkubwa Ila mama wa binti amekataa mtoto wake kuolewa mke wa pili, Je hii...
  20. JamiiForums Tanzania Je, watoto watanichukia

    Habari zenu Wana Jf Tumekuwa tuna ugomvi Mara kadhaa na wife me sio muongeaji Sana..nikionaga ugomvi ni mkubwa nakaa kimya au naondoka lkn Kama mmegombana usiku ujue uwezi kulala ataongea na kulaumu kila kitu. Wife ana tabia mkigombana tu au ukampiga vibao viwili vitatu anakimbilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…