mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tajiri aliyemuua mwanaye ili abaki na mkewe

    Daniel alifanikiwa kuuona mwaka mpya lakini hakumaliza hata robo ya siku katika mwaka huo. Ikiwa ni alfajiri ya saa kumi na moja, siku ya Ijumaa ya tarehe 1 January 2021, Dan alikuwa njiani kuelekea nyumbani kwake akitokea Club Tent ambapo alikuwa anasheherekea 'kuuona mwaka mpya'. Ndani ya...
  2. JamiiForums Tanzania Siku niliyomwamini mke wangu

    Habari wana jukwaa. Hiki kisa kila nikikumbuka huwa nacheka sana lakini kimenifanya nimwamini sana mke wangu. Mnamo mwezi wa pili mwaka huu, ilikuwa siku ya ijumaa nikiwa nyumbani maeneo ya bustanini majira ya saa moja kasoro jioni, mke wangu alinifuata pale bustanini na kuniambia baba Prosper...
  3. JamiiForums Tanzania Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

    Wakuu salama. Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA. Ilinitokea siku Moja nilikuwa naacha simu nyumbani naenda kazini (maana sikuwa na ruhusa ya kuingia na simu kazini kipindi hicho)...
  4. JamiiForums Tanzania Arusha: wafanyabiashara waliofumwa sokoni wakiwa wamenasiana Mwanaume amlipa mwenye mke million 3 kunasuliwa

    Kwa wiki nzima imetokea hali ya taharuki katika jiji la Arusha liliwaacha watu midomo wazi ,Baada ya Mwanaume mmoja kufumwa akiwa amenasiana na mke watu wakiwa wanafanya mapenzi alfajiri katika soko kubwa la vyakula la kilombero lililopo katikati ya jiji. Wafanyabiashara wa soko hilo...
  5. JamiiForums Tanzania Msinicheke jamani, nina miaka 45, kazi sina, mke sina, naishi nyumbani kwa wazazi ila sipendi

    Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu. Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea. Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne. Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu Mali nikimiliki hazidumu. Nimefilisika...
  6. JamiiForums Tanzania Siku ukiishiwa pesa ndipo utajua kuwa una mke mtamu

    Siku mwanaume ukiishiwa pesa ndipo utajua kuwa umeoa mke mtamu. Uzi tayari.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mke wa Benchika kapona!

    mke wa aliyekuwa kocha wa simba BENCHIKA, kocha la caf. amepona. 😂😂
  8. X

    JamiiForums Tanzania Wanaume tukumbushane tu mambo machache tunapochagua mke wa ndoa

    Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kumfanya mwanamke kuwa mke wako wa ndoa. Kwa leo tuangazie matatu tu kwa kifupi ili tuendele na shughuli za ujenzi wa taifa. Iko hivi, unapotaka kuoa kwanza usijifikirie wewe tu, ni kweli chagua mwanamke ambaye anakuvutia lakini ukumbuke hujichagulii...
  9. JamiiForums Tanzania Mume na Mke Wazalendo Waliopigania Uhuru: Mr na Mrs Jotam Mwakalinga Mwakajila

    WAZALENDO MKE NA MUME WALIOPIGANIA UHURU: MR NA MRS JOTAM MWAKALINGA MWAKAJILA Nimepokea picha hiyo pamoja na ujumbe uliopo hapo chini: "Kwa upande wa Mkoa wa Mbeya, babangu na mamangu walihusika sana kupigania uhuru. Baba akiwa kwenye Rungwe Cooperative na wakati ndio nguvu ya nchi pamoja...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Pale Mke anakuwa mchepuko wa mume

    Nimeachana na Baba wa mtoto wangu mwaka wa tatu sasa. Likizo hii akaomba nimpeleke mtoto kwake maana tayari kaoa. Nilipo mpeleka nikamkuta mke wake yeye alikuwa bado kurudi, basi nikamkabizi Kisha nikampigia simu kuwa mtoto tayari kafika Mimi naondoka. Akaniambia nisiondoke, niende hotel fulani...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

    Nimekutana na hii Mahali mke wa mchungaji shusho anataka kupindisha sheria ya mtu mzima isiwe kwanzia miaka 18. Adai aliolewa akiwa mtoto na mume hana mchango kwenye mafanikio yake. Jamani na kama maamuzi kwanini asiyafanye wkt ule Yuko Binti maana Kwa sasa sijui anautoto upi
  12. N

    JamiiForums Tanzania Girl friend anahitajika baadae awe mke

    Sifa za mwanamme Mrefu maji ya kunde, Elimu degree, Umri 30, Mpole na mcheshi, Kajiajiri,kipato cha kubadilisha mboga tu. Makazi Dodoma Sifa za mwanamke anaehitajika Elimu kuanzia form four Umri kuanzia 20 - 35 awe smart Dini yeyote,rangi yeyote kimo chochote Akiwa na mtoto asizidi mmoja...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Kama kisemavyo kichwa cha habari natafuta mke awe na sifa zifuatazo Awe na umri miaka 25 mpaka 28 Awe mkristo ila sio msabato Elimu-degree yeyote Akubali kwenda kupima group la damu, hivi na baada ya miezi mitatu tutapima tena hiv bila ya kukutana kimwili Awe anaishi Dar sababu mimi mwenyewe...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

    1. Amechora tattoos. Red flag. 2. Ametoboa pua red flag. 3. Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag. 4. Anakunywa pombe red flag. 5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag. 6. Haendi msikitni Wala kanisani red flag. 7. Ni muumuni wa twerking red flag. 8. Ana marafiki wa kiume wengi Red flag. 9. Round...
  15. JamiiForums Tanzania Ukíwa unajitafuta ndio wakati sahihi wa kutafuta mke. Namaanisha mke wa ujana wako (miaka 21 - 30)

    UKÍWA UNAJITAFUTA NDIO WAKATI SAHIHI WA KUTAFUTA MKE. NAMAANISHA MKE WA UJANA WAKO (MIAKA 21 - 30) Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Kijana wangu ukiwa kama Mtibeli na kama walivyo Watibeli waliotangulia na wataokuja. Tafuta mke ukiwa únajitafuta. Tafuta mwenza wako wa maisha úkiwa katika...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri: Anapendwa na Mke wa mtu

  17. JamiiForums Tanzania Mke wangu kutwa kunipiga picha na kunipost mtandaoni nimejaribu kumkanya wap muda mwingine anachukua video mi bila kujua Nakuta tu mtandaoni??

    Wakuu habari Kichwa cha habar cha husika
  18. JamiiForums Tanzania Dawa ya kumtuliza mke mchepuko inahitajika

    Najua wengi mnapambana na hii roho huoo kwenu Kuna mdada khangu yaan kalijitunza kakaolewa Kakazaa sasa kakachika kanagawa hatare mbaya kalishachika kakarudi hme wazazi wakiwemo Kakabadili dini kakavutwa na kakazetu wenye ruksa wa4 Majuzi amerudishwa na mamboyetu talaka Nahisi anapoelekea...
  19. JamiiForums Tanzania Tuko kanisani tunaandika majina ya maaduui zetu wachomwe moto tuma majina ya maaduiwasiwe mke ama mumeo la

    NIMEKUJA KWENYE IBADA MOJA HUKU BANANA TUKO SEHEMU YA KUANDIKA MAADUI ZETU TUWAOMBEE WACHOMWE MOTO WALE WALIOKUTESA WANAOKUTESA MAKAZINI WANAOTESA NDOA ZAKO BIASHARA ZAKO AFYA ZAKO VIPATO VYAKO WEKA HAPAA NIWAANDIKE MUNGU ANASEMA ANAKWENDA KUPANDANA NA ADUI ZETU WANAOKUFANYA USISHIKE HELA...
  20. JamiiForums Tanzania Ma boyfriends wa mke wako mtarajiwa wapo kwenye group lako la harusi na wanachanga

    Kama kichwa cha uzi kinavosema. Usasa na utandawazi umewafanya watu kua open sana. Usikute huyo mchumba wako akiwa serious kuolewa na wewe anawaaga ma boyfriends wake kiroho safi na kuwaelezea kua mi ndio naolewa ila urafiki wetu ubaki(kwa akili za wanawake) so sababu na wanaume wa kisasa wapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…