mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kua handsome ni kazi ngumu sana, nawapangawisha sana mashemeji zangu

    Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki kumueleza mke wangu isije ikavunja undugu. Kila nikiwaza ninapata jibu kua moja, kua handsome ni kazi...
  2. JamiiForums Tanzania Waliooa/kuolewa na mtu ambaye alikuwa kwenye ndoa nyingine kabla, mnaendeleaje?

    Hebu tupeni ushuhuda wale ambao mlioa mwanamke ambae alikuwa na ndoa yake akaachana na mumewe kwa ajili yako, je, unaishije nae? Mko happy au jinamizi la ndoa ya Kwanza linawatesa? Pia wanawake na nyie kama ukiolewa na mwanaume aliyemuacha mkewe kwa ajili yako hapo mjengoni unapumua vizuri...
  3. JamiiForums Tanzania Mke au Mume sio adui

    Wanandoa mke au mumeo sio adui,huyo ndio rafiki yako,mwandani wako,msaidizi wako,kiburudisho wako,mnalala uchi,mna share liquids zenu ama kwa mdomo au kwa nyuchi zenu,na miongoni mwenu mnameza milenda na uji mzito mweupe,sasa ugomvi wa nini?, Kutokuaminiana kunatoka wapi? ,vita vya nini,hofu...
  4. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wanandoa Mbaroni Baada ya Kumshushia Kipigo Hadi Kifo Mtoto Wao wa Miaka Minne

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Ramadhan Tembo Mwakilasa [28] maarufu kama Rama Love ambaye pia ni Mwandishi na Mtangazaji pamoja na Mariamu Charles Mwashambwa [28] wote wakazi wa TEKU Viwandani Jijini Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto Chloy Ramadhan...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mke anayeweza kuchunga ng'ombe angalau kwa wiki mara moja.

    Habari wakuu. Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe. Vigezo ni awe anapumua tu, Nawasilisha
  6. JamiiForums Tanzania Maswali mengi yaibuka baada ya kupotea kwa mkazi wa Kigamboni Vicent Masawe. Mkewe asimulia kilichotokea. Jeshi La Polisi latoa tamko!

    Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kumezuka na tarifa kuwa Vicent Peter Masawe, anayejulikana pia kama Babuu au Bright, amepotea tangu Novemba 18, 2024. Kulingana na taarifa zilizopo, siku ya tukio, Vicent alidai kufuatiliwa na watu wasiojulikana kabla ya kupoteza mawasiliano. Vicent...
  7. JamiiForums Tanzania Sifa na vigezo vya Kisheria na Kiimani ili uweze kuoa Mke

    1.Katika Uislamu, Mtu anayetaka kuoa anapaswa kuwa na sifa kadhaa ili kuhakikisha ndoa inakuwa yenye baraka, imara, na yenye msingi mzuri wa kidini na kijamii. Sifa hizo ni pamoja na: 1. Kuwa na Imani ya Kidini (Ucha Mungu): Mwanamume au mwanamke anayetarajia kuoa anapaswa kuwa mcha Mungu...
  8. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Aua mke wake kisa kunyimwa Unyumba

    Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya...
  9. JamiiForums Tanzania Nimezaa na wanawake tofauti,watoto wa mke mkubwa wanaongoza darasani, waliobaki mhh

    Mimi binafsi sijawahi kuvuka nafasi ya tatu tangu nianze darasa la kwanza Chuoni sijawahi kusupp au kudisco japo niliwahi kudrop chuo kwa sababu ambazo sio za kitaakuma.. Watoto wa mke mkubwa wana akili kunizidi, mkubwa alioata Div 1 pts 4,mdogo wake nwaka huu darada la saba amepiga A tupu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Mke, awe na umri wa miaka 20-30

    Habari Wana JF, Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo: 1. Awe Muislam mwenye kuifata dini yake angalau awe ana swali na kuvaa nguo za stara 2. Umri 20-30 3. Asiwe mrefu kunizidi, mimi urefu wangu ni (167cm) 4. Kama ni mfanyakazi basi awe mwalimu, vinginevyo awe mama wa nyumbani Mimi sifa...
  11. JamiiForums Tanzania Khamis Luwongo: Niliwadanganya polisi kifo cha mke wangu, niachieni nikamtafute yupo hai

    Bado huyu jamaa ambaye anasota na kesi ya mauwaji ya mke wake. Lakini kila wakati ananiacha mdowo wazi na maswali mengi kwa namna anavyojibu na kuikwepa kesi yake hii. Leo kasema mengine Alidai kuwa mawakili wa serikali wanataka ahukumiwe kunyongwa, akihoji "vipi nikihukumiwa kunyongwa halafu...
  12. JamiiForums Tanzania Biblia ilivyosema msinyimane nadhani ilimlenga zaidi mwanamume kwa sababu ndo humkinai mke haraka

    japo ni ushauri wa mtume paulo ila kwetu sisi wakristo tunamuona kama ni mtu muhimu nyaraka zake tunazitumia yeye alisema kwamba wanandoa wasinyimane penzi. Nachokiwaza mimi aliyekuwa anaombwa kuwa na uvumilivu ni mwanaume kwa sababu wanandoa wakizoena na kuishi pamoja mume huanza kumuona mke...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu anataka niingiza cha kike

    Nianze Kwa kumtetea Baltazar yule mwamba Hana makosa kabisa. Hawa watu wanashida zao special huko kichwani aseee. Juzi nimeenda uwanjani kuangalia game ya wanawake ligi kuu ya timu flani dhidi ya timu ya kanda ya ziwa. Sehem nilokuwa nimekaa kulikuwa na mdada flan kwa kukadiria ni age ya 27-30...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mchumba "MKE" - Mchaga, Msukuma au Mhehe / Mbena

    Habarini ndugu zangu 🙏 Tafadhali rejea: MWANZO 24: 1 - 51. WAEFESO 5: 22-33. Naamini Mungu ni mwema wakati wote. Mwenye UHITAJI lakini pia mwenye sifa nilizotaja hapo juu na mwenye hekima na busara anakaribishwa.
  15. JamiiForums Tanzania Kikongwe miaka 72 auawa na mkwe wake Moshi,mwingine ajinyonga kwa msongo wa mawazo

    Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Deogratius Evarist Mbuya(40) mkazi wa Legho Kilema wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua Baba mkwe wake, Tibrus Camil Mneney(72). Mbali na mauaji hayo,mtuhumiwa pia anadaiwa kumjeruhi mama mkwe wake, Beritha Tibrus Mneney (58)ambaye amelazwa...
  16. JamiiForums Tanzania Yamenikuta! Mke mzuri hija mara moja mimi wangu nishampoteza na sijui naishije

    Nilimuambia kama ukiondoka na huyo mtoto basi jua kuwa sitamhudumia kwa chochote. Mwanzo nilikua naongea kama utani kwani niliamini kuwa mke wangu hawezi kuondoka. Ni kweli nilishamfanyia mambo mengi, ikiwa ni pamoja na kumpa ujauzito mtoto wa mama yake mdogo. Kuna kipindi nilimp!ga mpaka...
  17. JamiiForums Tanzania Kiti cha Kifahari anachokalia sasa Msibani Mjane wa Marehemu Mafuru na Nguo ya Kifahari aliyovaa Mjane Msibani jana vinapatikana Tanzania?

    Nimevutiwa sana tu na Kiti cha Kifalme alichokalia jana Mjane na hasa ile Nguo aliyoivaa pia Mjane. Vyote ni bei gani?
  18. JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingi sana za kupata mke mwema. Angalia usifanye kosa hili utajuta

    Binti aliyelelewa na mama peke yake mara nyingi Huwa hawana utii Kwa Waume zao. Sikilizia hapa. PIA SOMA - Je wazijua sifa kumi (10) za mke mwema
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake bora bado wapo, hongera sana mke wa Joseph Haule (Profesa Jay)

    Professor jizee kiukweli amepata mke bora na mwema sana aisee na mvumilivu aisee professor jizee pongezi zote amepeleka kwa mke wake na sijui amefanyeje kumpata yule mke wake na sikutegemea mke wake atakuwa vile lakini ndiyo imekuwa hivyo na wish siku nimfuate professor j nimuulize mke wake...
  20. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke wa kuoa

    Habari wana JF, Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu, Nipo hapa kutafuta mwanamke serious ambae atakuwa mke endapo tutaridhiana, sifa zangu ni zifuatazo; Umri: 30 Elimu: Degree Mahali ninapoishi: kaskazini mwa Tanzania Dini: Mkristo Kazi: muajiriwa serikalini Sina mtoto wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…