mke

The MPT (stands for Turkish: Millî Piyade Tüfeği, English: National Infantry Rifle) is a modular rifle family designed by MKEK and produced by MKEK, Sarsılmaz Arms and Kalekalıp to meet the demands of the Turkish Armed Forces and to replace its aging rifles such as Heckler & Koch G3 and Heckler & Koch HK33 due to most of them being near the end of their service life. The MPT was designed for robust high altitude, all weather combat, capable of functioning in extreme hot and cold weather. The MKEK MPT is a rifle intended to take abuse and extreme mistreatment and still maintain high accuracy and reliability in order to survive in true battle environments. The Turkish government has invested US$22 million into the project.It made its first public appearance at the Eurosatory 2014, ADEX 2014 and the MSPO 2014 events.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huu ujinga wa mtu akiwa mpenzi, mchumba, mchepuko, mke au mume basi unakuwa na haki miliki ya uhai na uhuru wake ulianzia wapi?

    Huu Ujinga wa Mtu Akiwa Mpenzi, Mchumba, Mchepuko, Mke au Mume Basi Unakuwa na Haki Miliki ya Uhai na Uhuru Wake Ulianzia Wapi? Katika ulimwengu wa sasa, kumekuwa na mtazamo wa ajabu na potofu sana kuhusu mahusiano ya kimapenzi. Mara nyingi, watu wanapoingia kwenye mahusiano, iwe ni ya uchumba...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa 25-30

    nimehangaika Sana kutafuta mke mtaani ila sipati, nimekuja huku jf kuleta ombi langu natafuta mke awe mkristo miaka 25- 30 asiwe na mtoto awe tayari kupima , awe na upendo wa kweli, mimi na miaka 36 ni mfanya biashara.
  3. JamiiForums Tanzania Usimkopeshe pesa mke wa mtu

    Wakuuuu habari za mida ikiwa ni weekend tulivu kabisa Kwa heshima naandika hapa nilimkopa mke WA MTU pesa sahizi nimeitwa kwa mwenyeketi Nina kesi ya kujibu
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kueleimishwa kuhusu mimba ya huyu mke wangu

    Nina mwanamke wangu mara ya mwisho kuingia hedhi ilikua tarehe 20 august 2024 na tulisex tarehe 31 august na tarehe 1 september ila tarehe za kujifungua naona zmepitiliza zile siku 280 lakini mpka leo tarehe 8 june 2025 bado anayomimba au mm calculation zangu sijapiga vzur naona tarehe...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Habari Wana JF ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani. Samahani kwa wazo langu hili . Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote. Sifa zangu Naitwa Florian Mwenye umri wa miaka 38,Naishi tabora,kabila ni mnyamwezi. Nipo serious natafuta mke...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Habari Wana jf ,poleni na majukumu ya kila siku ili mkonouinhie kinywani. Samahani kwa wazo langu hili . Natafuta mke wa kuoa Mwenye umri wa miaka 25-40,Dini yeyote,kabila lolote. Sifa zangu Naitwa Florian Mwenye umri wa miaka 38,Naishi tabora,kabila ni mnyamwezi. Nipo serious natafuta mke...
  7. JamiiForums Tanzania Kupata Mke China: Safari Takatifu Kati ya Mila, Maadili na Umuhimu wa Dhamira

    Katika ustaarabu wa China, ndoa haikuwahi kuwa tu muungano wa wapendanao wawili; bali ni muungano wa koo, uzalishaji wa urithi, na uendelevu wa heshima ya familia. Kila hatua ya harusi ilikuwa ibada; kila zawadi ilikuwa ishara; na kila makubaliano yalijengwa juu ya heshima, sio haraka ya hisia...
  8. JamiiForums Tanzania Mke akiondoka nyumbani kwa ugomvi je? Anafuatwa au atarudi tu. Mwenyewe

    Wiki imeisha yupo kwa dada yake je? Nimfuate au niendelee kumsubiria Maana mm nimesema siwezi mfuata hata kwa dawa huyu mama watoto wangu ambaye ni jeuri. Ugomvi ni baada ya kujibishana halafu yeye akanijibu simtishi kwa lolote. Hivo nikamwambia sitamwachia hela ya kula tuone akajibu sawa...
  9. JamiiForums Tanzania Vipi hapo ulipo umeoa mke au umeoa mke na familia nzima

    Kwa bahati mbaya kuna watu badala ya kuoa mke ila wanajikuta wanahudumia mke na familia nzima yaani hii ni utake hsitake. Hasa ukiaa muoga kuaachana wanahamiavwote kwako.
  10. JamiiForums Tanzania Hii mke akiona atachukulia sisi wote ni mbwa.

    Katika maisha nilikutana na bek3 wengi niliokula na sasa na umri huu yananitokea haya
  11. JamiiForums Tanzania Madhara ya kuzini na mke au mume wa mtu

    Nimeshuhudia ndoa zikivunjika kwa tatizo la uzinifu baina ya mke au mume wa mtu. Na madhara makubwa huenda hasa kwa watoto ambao hawahusiki na kosa la mzazi mzinifu. Mzinifu wa kike unatakiwa utambue ukiachika sehemu za Siri zitaenda kuumia na kuchakaa zaidi huko mtaani kuliko hapo kwa mumeo...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ungekuwa wewe mke au mume ungefanyaje?

    Kama clip inavyojieleza, ungekuws wewe ndiye mke au mume ungefanyaje ukitokewa na hali kama hii?
  13. JamiiForums Tanzania Mke wa Prof. Janabi alivyosimamishwa Wabunge wamuone

    Wabunge wameibua shangwe baada ya kutambulishwa kwa Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, pamoja na Dk Magdalena Lyimo, mjane wa Dk Faustine Ndugulile. Tukio hilo limefanyika leo Juni 2, 2025, wakati wa kikao cha Bunge jijini Dodoma, wakati Waziri...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mchumba tukiridhiana aje awe mke

    Mimi ni kijana umri 33 Rangi black Mrefu wastani Nahitaji mwanamke mtulivu aje awe mpenzi tukiridhiana aje awe mke. Makazi yangu dsm
  15. JamiiForums Tanzania Niachaba na aliyekuwa mke wangu..,tulikuwa na watoto wawili,naombeni ushauri

    Mods naomba heading isomeke nimeachana na .. Naam wapendwa, naombeni ushauri wenu tafadhari.., niliachana aliyekuwa mke wangu hambaye tulizaa watoto wawili baada ya kufanyiana matukio mazito ya kutosha., aliniachia watoto wawili, mmoja ana miaka 2 na mwingine ana miaka 4 ,kimsingi ni wadogo...
  16. JamiiForums Tanzania Mume watoto watatu nje mke mmoja

    Kuna rafiki yangu ameniomba ushauri nimekosa cha kumshauri Yeye ana mtoto mmoja ni single maza.kapata mwanaume ana watoto 3 .boys Anataka wafunge ndoa kabisa. Sasa anawaza Bora apambane na mwanae mmoja au Bora aolewe akapambane na WA nne? Uchumi WA jamaa ni WA Kati na yeye mwanae analea...
  17. JamiiForums Tanzania Bila Mchepuko, Ndoa Nyingi za Sasa ni Ngumu Kudumu – Unahitaji “Catalyst” ya Mahusiano

    Kwa mtazamo wa sasa juu ya ndoa na mahusiano ya kimapenzi, kuna ukweli mchungu ambao wengi hawataki kuukubali hadharani: bila mchepuko, ndoa nyingi za siku hizi hazidumu kwa amani wala furaha. Kabla hujanihukumu au kunishambulia, tafadhali nielewe vizuri. Sipromoti usaliti, bali najaribu...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Mke wa bakabaka amekubali ofa ya kwenda out

    Hodi jukwaa la malavidavi. Nipo zangu kijiwe na mwanangu mmoja hivi ghafla anapigiwa simu na jamaa yake, Mazungumzo yao ni kwamba, mke wa bakabaka amekubali ofa ya kwenda out kwenye makulakula na manyamanyama, akisisitiza kuwa bakabaka amesafiri kwenda Dodoma na anarudigi mwisho wa wiki...
  19. JamiiForums Tanzania Mke wa mtu kaniomba tukapumzike Zanzibar weekend hii.

    Habari zenu Kuna mchepuko wangu ni mke wa mtu,sasa kazini kwao weekend hii wanatakiwa kwenda training somewhere huko arusha ila yeye kaniambia hatoenda huko kwenye hiyo training instead kaniambia twende zetu zanzibar tukale raha. Nikubali au nikatae wakuu?
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Habari wakuu,natafuta mwanamke umri kuanzia 28 mpk 35 asiwe na mtoto maana silei mbegu ya mtu kazi yangu ni daktari(MD)kwenye moja ya hospitali za rufaa hapa Dar alie interested aje inbox.ahsanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…