Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
MKATABA WA SHILINGI BILIONI 4.7 KUWAFIKISHIA WANANCHI MAJI SAFI NA SALAMA KATA YA MUGANGO NA TEGERUKA WASAINIWA
WIZARA ya Maji imemtaka mkandarasi kampuni ya Kiure Engineering L.T.D. kukamilisha kazi ya mradi wa Maji Kata ya Mugango na Tegeruka kwa kuzingatia muda wa mkataba.
Kauli hiyo ya...
Rais wa Uturuki, RecepTayyip Erdogan amefanya mazungumzo na Rais wa Urusi Vladmir Putin na kujadili namna ya kuboresha mahusiano kati ya mataifa yao
Katika mazungumzo yao ya Jumamosi, yaliyofanyika kwa njia ya simu, viongozi hao wamejadili pia juu ya yanayoendelea katika vita nchini Ukraine...
Klabu ya Simba imeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya MobiAd kwa ajili ya kusaidia ukuzaji wa maendeleo ya soka la Vijana huku Mkataba huo ukiwa na Thamani ya 500M huku kukiwa na nafasi ya kuboresha zaidi.
“Soka la vijana ni muhimu sana. Ili uwe na timu ya vijana iliyo bora lazima...
Utangulizi
Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE) kila baada ya miaka 5 inafanya Utafiti wa soko la Ajira ili kuboresha mitaala yake. Mwaka jana Mwezi March, 2022 CBE kilifanya Utafiti kwa Wahitimu waliomaliza chuoni apo.
Matokeo ya Utafiti
59.5% ya Wahitimu wameajiriwa katika Taasisi za Umma na...
Serikali imetia saini Mkataba na Shirika la Kitaifa la Nyuklia la China (CNNC) ambalo litasaidia kujenga uwezo katika matumizi ya Nishati ya atomiki kwa malengo ya amani.
Kwa mujibu wa Waziri wa Nishati na Madini, Ruth Nankabirwa Ssentamu, Nchi hiyo inatarajia kupata Megawati (MW) 1,000 kutoka...
NCCR - MAGEUZI wapinga vikali mpango wa serikali ya Tanzania ulioridhia kuzuia uvuvi kwa miezi mitatu mitatu katika miaka ya 2023, 2024 na 2025 ambao miezi mitatu ya mwanzo itaanza mwezi Mei 2023 ziwa Tanganyika kupumzisha uvuvi kwa miezi mitatu kisha mpango huo kurudiwa mwaka 2024 na mwaka 2025...
Wakati maombi yake ya leseni ya kutoa huduma za intaneti kupitia kampuni yake ya Starlink yakiwa yamewekewa kigingi na masharti ya serikali, Bilionea Mmarekani Elon Musk amepenya kwenye soko la Tanzania ambapo atanunua malighafi ya kutengenezea betri za magari ya umeme.
Taarifa iliyotolewa kwa...
Wakati mazungumzo yakiendelea kuhusiana na hatma ya mkataba kati ya Yanga na mdhamini wao SportPesa, Rais wa Yanga Hersi Said amekiri kuwa baadhi ya vipengele vilivyokuwa vinaibana Yanga wamevikiuka katika mkataba wake na SportPesa.
Akihojiwa na kituo cha Television cha Clouds, Hersi amesema...
Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana.
Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja.
Kuna...
Kokote unakoenda Tanzania mwanamke ni mhanga wa ndoa! Haijui kesho yake na linapotokea tatizo ni mwanamke ndie anafukuzwa, kupigwa na kudhalilishwa! Hakuna mahari mwanaume akafukuzwa! Akifukuzwa ujue ni yeye aliekuwa analelewa!
Tubadili Sheria mwanamke aolewe kwa mkataba kwa usimamizi wa...
Dar es Salaam. Wakazi 644 wa Magomeni Kota wamegomea kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba hizo, kwa madai kwamba bei waliyoletewa sio rafiki na haiendani na hali ya uchumi wao.
Aidha wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan aingilie kati kwa kuwa bei ya Serikali iliyowasilishwa ni kati ya Sh48...
Mwigulu Nchemba naona jana umepambana bungeni kumjibu Mpina kuhusu hoja ya Mfumko wa Bei na waliokuelewa wamekuelewa na ambao hawajaelewa hawataelewa.
Kuna jambo kubwa sana Mpina amelizungumzia kuhusu Mkataba wa Kampuni ya China inayojenga reli ya SGR Tabora Kigoma nadhani ni muhimu pia umjibu...
Mchango wa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina (Mb) akichangia kuhusu taarifa ya mwaka ya shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu na Kamati ya Kilimo Mifugo na Maji kwa kipindi cha Januari 2022 hadi Januari 2023 Bungeni Dodoma tarehe 31 Januari 2023
Mheshimiwa Spika...
Visit Tanzania ni tangazo ambalo linapaswa kufanywa na idara ya utalii na tanapa ili kuvutia wageni kuja Tanzania kuona vivutio vyetu. Matangazo kama haya huwaga na bajeti yake tena kubwa TU kwenye sekta husika.
Je, mkataba unamruhusu sportpesa kuichagulia Yanga nini Cha kuweka kwenye jezi yake...
Serikali jana ilisaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na kampuni ya Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kupokea na kuhifadhi mafuta ya petroli.
Mkataba huo ulitiwa saini na Wizara ya Nishati na wawakilishi wa Shirika la Emirates National Oil Company Group (ENOC) lenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.