mkakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ex Spy

    CHADEMA shtukeni, kuna mkakati wa kumhukumu Lissu kifungo cha miaka 5, hadi 2031

    Endapo taarifa hizi toka vyanzo vya ndani ni za kweli; basi tuna safari ngumu sana kuelekea mbele. Johari ametoa maelekezo kwa Ndunguru kuwa watumie reference ya Kesi ya Hatibu Gandhi na wenzake (inayojulikana kama Hatibu Gandhi and Others v. Republic, Criminal Appeal No. 3 of 1986) ili...
  2. instinct desire

    Hii vita inayoendelea kati ya Godless Lema na Mange Kimambi ni mkakati wa kuihamishia CHADEMA ukanda wa Singida

    Ni dhahiri kwamba sasa Heche anatafuta njia za kuihamishia chadema ukanda wa kati Singida kupitia Mangekimambi, anataka aondoe dhana iliyojengeka Toka zamani kuwa Chadema ni Chama cha ukanda wa kasikazini kutokana na waasisi wao kutoka ukanda huo. Niseme tu ukisha kuwa chadema tu tayari upo...
  3. Wakusoma 12

    Kuanzia mwakani 2027 kumbukumbu za mauaji ya watanzania (mauaji ya kimbari) zinapaswa kuwa siku ya maombolezo ya kitaifa. Wananchi tuweke mkakati.

    Hakuna haja ya kusubiri watuhumiwa wajadiliane namna ya kukumbuka marehemu wetu. We are the nation.
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa hiyo Wanaharakati hawana mpango au mkakati wowote mwenzao akitekwa wao wafanyeje? Kanuni za Tibeli: NEVER PLAY THE VICTIM

    Hamjambo! Kuna mtu anaweza kujiuliza mambo haya yataisha lini? Niliwahi andika hapa, Kanuni ya auaye kwa upange atakufa kwa upanga sio universal law. Hiyo ni kanuni ya Wayahudi na Mungu Wai aitwaye Yehova. Niliandika kwamba Isije ikatokea Ukafanyiwa uhuni huko ukadhani Mungu(usiyemjua)...
  5. Boss la DP World

    Serikali yaandaa mkakati wa kuwatapeli walimu

    Wako kwenye hatua za mwisho za kuhakikisha kila mwalimu mwenye sifa anapewa leseni na atapaswa kuilipia kiasi cha shilingi laki 1 na 20 elfu. Kuwa na leseni ni sahihi kabisa ila hiyo ada bila mshahara kuongezeka ni wizi. Anyways, WASIMAMIZI WA CHAGUZI ZA KITAPELI ZA CCM MMEFIKIWA😀
  6. I

    MUNGU, SIASA ZA DUNIA NA MKAKATI WA MUDA MREFU: KWA NINI URUSI INAJENGA MAKANISA AFRIKA?

    Urusi inapojenga makanisa Afrika, inaleta dini tu, au pia inajenga ushawishi wa muda mrefu? Swali hili limeanza kupata uzito kutokana na kasi ambayo Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi (ROC) limepanua shughuli zake barani Afrika katika miaka ya hivi karibuni. Desemba 2021, ROC ilianzisha...
  7. K

    Tafakari ya Kina: Je, Harakati za Mange Kimambi Zinalijenga Taifa au Ni Mkakati wa "Gawa Utawale" Kudhoofisha Upinzani?

    Ndugu wana-JamiiForums, Katika ulimwengu wa sasa wa siasa za kidijitali, mipaka kati ya uanaharakati wa kweli na propaganda za kimkakati imekuwa nyembamba mno. Mojawapo ya sauti kubwa mtandaoni nchini Tanzania imekuwa ya Mange Kimambi. Kwa muda mrefu, wengi wamemchukulia kama sauti inayosaidia...
  8. ChoiceVariable

    Kuhusu Kifo Cha Bilionea Chivayo :Je Huu ni Utabiri au Mpango Mkakati?

    Wale wajuzi karibuni kudadavua https://www.instagram.com/reel/Dd7PDTCjMJP/?stkn=MXBwZzl0cGFtaGRvdw== ===== Mfanyabiashara maarufu nchini Zimbabwe, Wicknell Chivayo, na mkewe Lucy “Lulu” Muteke, wamefariki dunia baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria kuanguka katika eneo la Marondera Rural...
  9. Megalodon

    Mkakati wa Makamu wa Rais Deo dhidi ya Vijana naufanqnisha na mbwembwe za Makonda wakati yupo Arusha- hakunaga tija

    Strategies ya bwana Deo kuhusu interns kwenye corporate entities za serikali eti ndio mpango wa serikali kuwapa vijana uzoefu wa kuajirika serikalini ! Hii ni reactive strategies isiyokuwa na sustainability yoyote ahead ! Kama mpaka leo bado tunawaza kuongeza wig kwa vijana kuajiriwa...
  10. Zack Abdul

    Mkakati Mpana Afya ya Mifugo Tanzania

    “Kwa sasa, mkakati wetu hauishii katika utoaji wa chanjo pekee. Tunaimarisha mifumo ya utambuzi na ufuatiliaji wa mifugo, ufuatiliaji wa magonjwa, uchunguzi wa magonjwa katika maabara, pamoja na huduma za mifugo. Kwa maana nyingine, tunawekeza katika kujenga na kuimarisha mifumo madhubuti...
  11. K

    AFCON 2027 na Mkakati wa "Dada wa Taifa": Mtego wa Kidemokrasia Ambao Dola Haidumu Kuushinda

    Utangulizi: Sauti ya Mange Kimambi na Karata Mpya ya Mapambano Mange Kimambi amekuwa nguzo muhimu katika kuibua mijadala ya kijamii na kisiasa nchini Tanzania kutokea uhamishoni. Licha ya changamoto za kufungiwa kwa akaunti zake za Instagram na serikali kushinikiza masharti makali dhidi yake...
  12. Zack Abdul

    Rais Samia Azindua Mkakati Sensa 2022

    14 Septemba 2021 — Rais Samia kuzindua mkakati wa Sensa Tarehe 14 Septemba 2021, Rais Samia alizindua Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Alieleza umuhimu wa Sensa katika kupata taarifa za idadi ya watu, makazi...
  13. Ndagullachrles

    Azania Bank tawi la Moshi na mkakati wa kuwapa vijana elimu ya fedha na kuwawezesha kiuchumi

    Benki ya Azania tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro imeanzisha program ya kutoa elimu ya fedha kwa makundi mbali mbali ikiwamo vijana lengo ni kuwawezesha kuwa na uelewa mpana wa namna ya kutunza fedha Mkakati huo utayasaidia makundi hayo kugeuza elimu hiyo kuwa fursa za kibiashara zinazotolewa...
  14. Parabolic

    Katambi ana mamlaka gani kusamehe wasanii? Waliotenda makosa hayo na kufungwa jela watasamehewa na nani?

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amekutana na wasanii na watengeneza maudhui 21 aliowaita katika kikao maalumu, akisema wamepewa msamaha wa makosa yao ya awali ya jinai yaliyohusishwa na matumizi ya mitandao ya kijamii. Soma pia: Wasanii walioitwa na Katambi leo wamesamehewa...
  15. M

    Uzalendo hauna vipande, Vijana wa Tanganyika wamepoteza uzalendo wa Muungano wamehamishia uzalendo kwenye Pesa na vyeo tofauti na Wazanzibari

    UZALENDO HAUNA VIPANDE Uzalendo ni kuipenda nchi yako hata pale ambapo hakuna cheo cha kupata, hakuna pesa ya kupewa na hakuna maslahi binafsi yanayokusubiri. Lakini uzalendo huu unaweza kuyeyuka haraka sana pale ambapo nchi yenyewe inaanza kugawanywa katika hisia, utambulisho na maslahi...
  16. Yoda

    Makamu kijana ni mkakati wa 2030 unaoendelea kusukwa ?

    Ndejembi anaweza kudumu kwenye umakamu kwa miaka 9 au 14 kwa kigezo cha katiba mpya ambapo itasemwa rais aliyepo ataendelea mpaka 2035 au 2040 katika mfumo wa katiba mpya. Soma pia Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais Kama rais wa CCM mwaka 2030 atakuwa Rizimoko wa Msoga au...
  17. D

    Bwawa la Kidunda: Mradi mkakati wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji inaendelea kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro, mradi unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), unaotekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 335. Mradi huu ni...
  18. Yoda

    Katika mkakati wa PPP ya Kafulila serikali isijenge stendi na masoko.

    Serikali sasa iachane na ujenzi wa stendi za magari na masoko. Haya ni mambo yanayoweza kufanywa na watu binafsi na pia hakuna maana tena ya kujenga majengo makubwa ya kukufanya watu pamoja kama stendi na masoko. Serikali sasa ijikite katika kujenga miondombinu ya reli na viwanja vya ndege...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Mkakati wa kumchosha na kumpotezea Muda Tundu Lisu utafanya kazi?

    Hamjambo! Naona hasimu wa Lissu wanachokifanya kutumia mbinu ya kumchosha na kumpotezea Muda wake. Mbinu hii kisiasa hasa zile siasa chafu inafanyaga kazi hasa kwa watu wenye misimamo mikali kama aina ya Tundu Lisu. Kuna watu huwezi kuwashinda kwa kifo. Na hawaogopi kufa. Lakini mbele ya muda...
  20. M

    PICHA: Ubia si hiari, ni mkakati madhubuti wa kuikomboa nchi kiuchumi-David Kafulila

    Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kuimarisha mazingira yanayowezesha maendeleo ya sekta ya lojistiki, usafirishaji na elimu ya ufundi ili kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo, akisisitiza kuwa sekta hizo ni nguzo...
Back
Top Bottom