NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Unakuta babu alikuwa na wake wanne miaka hiyo 1970s. Ila mtoto mkubwa kabisa wa mke mkubwa alimaliza secondary Ilboru, akasoma University of Dar Es Salaam, akafanikiwa kupata kazi mwaka 1985 NBC au Shirika la reli, anamchukua mdogo wake (mtoto wa mama wa kambo mke wa...
Kuna baadhi ya makabila kama vile wachaga na wahaya hupenda kujenga mahekalu vijijini mwao. Si jambo baya. Ila kipi utafanya. Utajenga jumba la kifahari kijijini na kuwa mpangaji mjini au utaanza kujenga mjini unakohangaikia na kuishi muda mrefu?
Nini faida na hasara za haya mambo mawili kama...
Habari wana jamii. Naombeni kufunzwa namna biashara ya kubeba mizigo kwa gari ndogo kama hizi pick up za tani 2 inavyoendeshwa (Mfumo wake). Naanzaje? Napataje wateja? Gari ipo dar lakini mimi ni mgeni wa hii biashara.
Msaada wenu🙏
Bhana wee miaka hiyo dar es salaam, temeke sudan kam sikosei ilibamba stori kali iliyo washangaza watu wengi.
Ili husu vijana wawili waliojifanya waganga wa kienyeji wanao safisha nyota za warembo, ilikua hivi ukifika pale kwenye chumba chao, unapewa masharti ya kufanya mapenzi na majini...
Bodaboda aliyemgonga doctor Sokile pale Sayansi Dar es salaam siku ya 30-10-2026 na kumuua sijui anajisikiaje saa hii.
anazikwa leo 6-11-2026.
BODA BODA ASIYE NA LESENI ALIYEKUWA ANAKIMBILIA ABIRIA WA ELFU MOJA AMETTULIA MTU HUYU:1
Elimu ya Juu:
Ana Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Masomo ya...
Wakuu mkuyenge unadai haki yake ya kikatiba, wapi napata matoto mazuri mazuri meusi tiii yenye tacle kubwa la nusu duara, chuchu saa 6, jicho lege, kamdomo kadogo dogo, tumacho twa wizi wizi, guu la bia na kiuno chembamba?
Nataka kujaribu kupiga katerero.
Moshi
Hatua ya Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)Moshi Manispaa kuanzisha mradi wa ushonaji nguo zikiwamo sare za Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni hatua ya kupongeza.
Pia hatua hii ya kuanzisha mradi huo ni mfano wa kuigwa na Jumuiya zote za Chama Cha Mapinduzi (CCM),ikiwamo umoja wa vijana wa...
Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha ujenzi wa Mji wa Serikali, akisema kuwa hatua hiyo inatekeleza mojawapo ya malengo yaliyokuwa yamewekwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Amesema hayo wakati akieleza kuhusu ziara...
Wakubwa,ni Mimi tuu ,Nina mda siajaenda miji miwili mitakatifu, Twitter na inster ,Kuna clip nyingi za watu wanaolalamika ndugu zao hawaonekani ?
Hii Ina maana gan kama taifa .
Kwa sasa nchi yetu Ina laana cyo bure
Siombei ila nataka niseme ,,
"TANZANIA NOW ITS NOT A COUNTRY "
But the...
Tumeona waziri mwenye dhamana masanja kadogosa kaagiza TANROAD kubomoa majengo ambayo yamepita kwenye reserve ya barabara hasa maeneo ya mjini ambapo watu wanajitafutia kipato.
Ni kweli watu walikosea kujenga katika maeneo hayo kwa sasa umewapa siku saba wabomoe wenyewe na wasipofanya hivo...
JamiiClub Sasa Rasmi Play Store: Live Streaming na Fursa Mpya kwa Watengeneza Maudhui
JamiiClub, bidhaa mpya rasmi na sasa inapatikana kwenye Google Play Store. Watumiaji wanaweza kuipakua na kuanza kuitumia.
JamiiClub inalenga kutoa suluhisho mbadala katika huduma za mitandao ya kijamii...
Mimi ni mkazi wa Arusha. Kero yangu inahusu baadhi ya askari wa usalama barabarani (trafiki) ambao wanatunyanyasa sisi madereva wa bajaji. Kuna maeneo ya Arusha mjini ambayo haturuhusiwi kuingia, licha ya kuwa maeneo hayo ndiyo yenye fursa nyingi za kupata riziki.
Tukiingia maeneo hayo na...
Anonymous
Thread
arusha
arusha mjini
bajaji
dereva
dereva bajaji
ila
kero
kuhusu
maeneo
mjini
sana
traffic
yangu
"Yaya"- dada wa kazi wangu alitumiwa sms/ujumbe ambayo ni kama mimi ndio nimemtumia na namba zilizotuma ni kama zangu kabisa na likatokea jina langu . Meseji ilisema hivi" "Dada Maria, naomba umtumie huyu fundi shilingi laki 3 , namba zake ni 0777-77 98 45 na kweli akatuma. Niliporudi nyumbani...
MABORESHO NA NJIA MPYA ZA MABASI YA MJINI (DALADALA) KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM
Dar es Salaam 20 Oktoba, 2026
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) katika hatua ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya usafiri wa abiria inatangaza maboresho katika baadhi ya njia pamoja na uanzishaji wa...
🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
UPDATE:
Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa...
Tangu amepewa kiti cha Balozi Mseminari makamu mpya yeye shughuli zake na matukio yake ni mjini tu na nje ya nchi, sijawahi kumuona akifika mashinani huko kusiko na barabara na maji ya bomba ni ndoto ambako wanawake na watoto wanazunguka kwa miguu, punda na baiskeli kuyasaka maji kwa madumu na...
Baada ya vuguvugu la takribani siku nne lililohusisha mgomo na maandamano ya madereva wa bajaji na wamachinga hatimae serikali imesalimu amri kwamba ilikurupuka kutoa amri ya kuhamisha watu bila kuwaandalia mazingira mbadala rafiki ya kufanyia kazi zao.
Kutokana na shinikizo hilo serikali...
KWA SISI WATIBELI; JOGOO LA SHAMBA LINAWIKA MJINI VIZURI TUU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Haya sio majivuno. Wala sio matambo. Bali ni ukweli kuhusu sisi Watibeli.
Haijalishi Mtibeli kazaliwa kazuramimba, kazaliwa chini ya mti. Kazaliwa kijumba cha udongo. Kazaliwa ndani ndani huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.