National Examinations Council of Tanzania (NECTA; Swahili: Baraza la Mitihani la Tanzania) is an agency of the Tanzanian government, headquartered in Dar Es Salaam, that proctors tests given nationally.
It manages the Certificate of Secondary Education Examination.
Wahusika tunaomba mtupie macho barabara ya Namba choo kutokea Mubashara kuelekea nyumbani kwa Mwenyekiti wa Mtaa, haipitiki hasa wakati huu wa mvua.
Tunashukuru kwa ujenzi wa mabarabara unaoendelea, ila kwa upane wa barabara hii, naomba ipewe kipaumbele. Wanafunzi wa Sekondari ya Katente...
Barabara ya mbezi makonde kupitia mbezi garden kuelekea baraza la mitihani pamoja na njia ya kutokea viwandani hazifai wakati wa mvua.
Je, hizi elnino zinapo anza kutakua na hali gani? Diwani na mbunge wetu hawajawahi kufika huku toka uchaguzi.
Hii njia inapita kwa waziri mkuu mstaaru mzee...
Wizara ya Elimu nchini Kenya imethibitisha vifo vya wanafunzi watatu waliokuwa wamejiandikisha kufanya mtihani wa kitaifa wa Kidato cha Nne (KCSE) mwaka 2026, huku wawili wakifariki kutokana na maradhi na mwingine akidaiwa kuuawa nyumbani kwao.
Katika taarifa iliyotolewa Jumatano, Novemba 4...
Je, Serikali kupitia Wizara ya Afya, kwa kushirikiana na vyama vya taaluma husika na mamlaka husika za kitaaluma, haioni umuhimu wa kuanzisha mfumo wa mitihani ya leseni (Licensing Examination) kwa wahitimu wa kozi za Radiography katika ngazi za Certificate na Diploma kabla ya kuruhusiwa kutoa...
Baadhi ya vyuo vya afya nchini vilikamilisha mitihani ya special na supplementary wiki mbili zilizopita, lakini hadi sasa havijatoa matokeo hayo.
Kuchelewa kwa matokeo kunasababisha ucheleweshaji wa kuyawasilisha kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), hali inayoweza...
Kuna malalamiko kuhusu malipo ya walimu tuliosimamia mitihani ya Kidato cha Pili, ambapo tumelipwa nusu ya fedha tulizostahili kulingana na makubaliano ya awali.
Tulipohoji na kufuatilia kiasi kilichobaki, tuliambiwa na uongozi kuwa hayo ndiyo malipo yaliyopangwa, licha ya kuwa mkataba wetu...
Kwa siku mbili sasa anga za elimu zinajadili uamuzi wa UDSM kufuta mitihani ya marudio kipindi cha Septemba/Oktoba. Ninachokiona ni uzembe wa TCU kushindwa kuangali taratibu za vyuo ambazo zinaathili ubora.
Nilipouliza huku na huko, nilichokiona ni kwamba kumbe vyuo vya TZ pole pole vinaingiza...
Walinzi tuliosimamia Mitihani ya Taifa Kidato cha Nne, Wilaya ya Kakonko tumepewa malipo yasiyoendana na siku za kazi yenyewe, tunakaa na mitihani siku 7 ila malipo tuliyopewa yalikuwa ya siku tano.
Malipo hayo ni Sh 75k kwa siku, wengine vituo tulivyoenda kusimamia vilikuwa vya mbali na kutoka...
Anonymous
Thread
kakonko
kidato
kidato cha nne
mitihanimitihani ya taifa
taifa
walinzi
wilaya
Jukumu la usimamizi libaki kwa walimu wa madarasani,waratibu elim wabaki na majukumu Yao mengine! Wanaziba nafasi kwa walimu wa darasani na kusababisha malalamiko meengi sana Kwa walim.
CASE STUDY
katika halmashauri ya wilaya ya uyui mkoani tabora yenye jumla ya kata 31 zenye shule za...
Anonymous
Thread
baraza
baraza la mitihani
elimu
kusimamia
mitihanimitihani ya taifa
taifa
ushauri
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni Buheri wa Afya , anaendelea vizuri kabisa ,Yupo Salama kabisa , ni Mzima wa Afya,Yupo vyema kiafya na kimwili na anaendelea kutoa maelekezo na kutekeleza vyema...
Rais,
ameeleza,
Nanukuu,
"Ninawatakia kila la kheri wanafunzi wa Kidato cha Nne mnaoanza mitihani ya kuhitimu Elimu ya Sekondari leo katika vituo 7,067 nchi nzima.
Nina imani kuwa mmejiandaa vyema kwa ajili ya hatua hii muhimu katika safari yenu ya kielimu. Ninamwomba Mwenyezi Mungu awajalie...
Sisi wanafunzi wa VETA Mpanda, kuanzia mwezi wa tano tunasubiri kufanya mtihani wa PSV na HGV. Tuliambiwa mfumo umebadilika na tunapaswa kusubiri kukamilika kwa usajili kwenye mfumo mpya kwa ajili ya mtihani, lakini mpaka sasa tunapewa taarifa ambazo hazina hitimisho.
Tunaomba msaada wa...
Mfumo wa elimu unaotumiwa na watoto wengi nchini Kenya umebadilika kutoka mfumo wa 8-4-4 hadi mfumo wa elimu unaozingatia uwezo, vipaji na ujuzi wa mwanafunzi, unaojulikana kama Competency-Based Curriculum (CBC).
Mabadiliko haya yamezua maswali miongoni mwa wazazi na walezi. CBC inamaanisha...
W izara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya marekebisho ya ratiba ya upimaji na mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026, kwa lengo la kuzuia athari zinazoweza kujitokeza kutokana na uwezekano wa mvua kubwa za El Nino zinazotarajiwa katika baadhi ya maeneo nchini.
ILA TANZANIA
Akizungumza Jijini...
Nimeona taarifa kuwa serkali imebadili ratiba za mitihani kwa wanafunzi wote waliotakiwa kufanya mitihani ya kitaifa na ratiba kurudishwa nyuma. El Niño yabadili ratiba ya mitihani ya taifa
Kuna shule ambazo za watu binafsi ili mtoto apate nafasi ya kusoma kwenye shule hizo ni lazima aende pre...
Kwa mujibu wa Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said Mohamed, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne utafanyika Oktoba 5 na 6, 2026, badala ya Oktoba 21 na 22.
Aidha, Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Pili, uliokuwa umepangwa kufanyika Novemba 17 na 18, sasa utafanyika Oktoba 7 na 8, 2026.
Kwa...
Nino Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefanya marekebisho ratiba ya mitihani ya kitaifa na upimaji iliyotakiwa kufanyika Oktoba na Novemba mwaka huu.
Akizungumza leo Ijumaa Septemba 25, 2026 Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir amesema uamuzi huo umefanyika ili kuhakikisha usalama wa...
Kero yangu inahusu shule ya sekondari Mbagala Kuu iliyopo Manispaa ya Temeke. Kila mara shule hii imekuwa ikiwataka wazazi kuchangia fedha kwa ajili ya mitihani ya majaribio.
Kwa mfano, wazazi tulichangishwa Shilingi 2,000 kwa ajili ya Mock Kidato cha pili, na sasa tumeombwa tena kuchangia...
Anonymous
Thread
kero
kuu
lazima
mbagala
michango
mitihani
sekondari
wazazi
Utaratibu wa NEST unatumia gharama kubwa kwa baadhi ya huduma. Mfano huduma ya chakula.
Hili nimeliona kwenye uendeshaji wa mitihani ya darasa la saba. Shule zinalazimishwa kuagiza vyakula kupitia Nest badala ya kuandaa wenyewe.
Hii imeongeza gharama mara mbili au zaidi.
Mzabuni analeta chai...
Kuna malalamiko yanayojirudia kutoka kwa wanafunzi, hasa katika ngazi ya Master’s, kuhusu namna baadhi ya mambo yanavyosimamiwa chuoni. Hili si suala la mwanafunzi mmoja; ni jambo ambalo wanafunzi wengi wamekuwa wakilizungumzia na kujaribu kulifuatilia bila kupata majibu au suluhisho la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.