miti

  1. BOB LUSE

    Mbao zimeadimika, gharama za ujenzi zimeongezeka, kuna zuio la ukataji miti!

    Nchi ni yetu sote,ile kuwa kiongozi haikufanyi uwe kiumbe tofauti na wengine! Mahitaji yetu wote ni yaleyale,( kula,kuvaa na kulala) Mbao zimeadimika na bei zipo juu kwa watu wachache walionazo! Kuna Taarifa kuwa kuna zuio la ukataji wa Misitu! Mtu mmoja anaamka asubuhi anatoa Amri inayobadili...
  2. M

    Rafiki Briquettes mkaa utokanao na makaa ya mawe ni mbadala sahihi wa mkaa utokanao na miti

    RAFIKI BRIQUETTES Rafiki Briquettes ni bidhaa ya mkaa inayotokana na makaa ya mawe yanayozalishwa na shirika la Taifa la Madini (STAMICO). Sifa kuu za Rafiki Briquettes (Mkaa utokanao na makaa ya mawe):- • Zinawaka kwa muda mrefu (zaidi ya saa 4) ukilinganisha na mkaa wa miti wa kawaida. •...
  3. Traxtion

    Mitaa ikiwa na miti mingi inapendeza sana

    Yani leo Moshi ukiwa kule town centre jua linapiga vibaya mno ila ukianza kuingia tu Shanti town hali ya hewa inabadilika Faida za kupanda miti mingi maeneo ya mijini na kupangilia mji vizuri ndio kama hizi sasa
  4. Dogoli kinyamkela

    Leo tutoke kwenye madawa ya miti shamba na majini,tuje kwenye tafakuli kidogo.

    Aligonga mlango 🚪 Sikusema kitu🙁 Aliisukuma na kuingia ndani, Sikusema kitu🙁 Aliingia chumbani, Sikusema kitu🙁 Alikaa karibu yangu kwenye kitanda changu,Sikusema kitu🙁 Alitabasamu , nikaendelea kunyamaza, akanichombeza🙁 Alijivua nguo, Sikusema kitu🙁 Ananivua shati, Sikusema kitu🙁 Alinibusu sana...
  5. figganigga

    Kufuru ya Samia Suluhu kukopa Hela za El-nino, ila tunaishia kujengewa madaraja ya Miti. Hela anazipeleka wapi?

    Mzanzibar Samia Suluhu Hela anazokopa za El nino anazipeleka wapi? Wakikopa wanatafuta kama 10% wanawapa Vyombo vya habari viongelee Mvua za El nino, wanaagiza Wakuu wa Walaya na Mikoa kukagua Miundombinu na kutisha watu kuhusu Mvua za El nino. Utawaona barabarani na Mifagio eti wanafanya...
  6. D

    Miti ya mbao inauzwa (pines)

    Kuna miti pines eneo la Wino madaba ekari 38.. bei 3.2m kwa ekari Miti ipo eneo zuri gari linafika hadi shambani,, nicheki wasap 0657765168
  7. Roving Journalist

    Responded TFS: Wananchi hawatakiwi kulipishwa wakipewa maeneo ya Shamba la Miti la TFS West Kilimanjaro, wasirubuniwe

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU UTARATIBU WA UGAWAJI WA MASHAMBA KATIKA SHAMBA LA MITI WEST KILIMANJARO Agosti 27,2026 - Dodoma, Tanzania Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umefuatilia taarifa na madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii na miongoni mwa baadhi ya wananchi kuhusu...
  8. Nukta5

    KERO Inasikitisha kuona miti mikubwa mizuri iliyokuwa eneo ya barabarani Magereza Moshi imekatwa na hakuna dalili ya kupanda mingine

    Leo nimepita katika eneo la Magereza Moshi, ambapo awali kulikuwa na miti mikubwa na ya kuvutia iliyokuwa ikitoa mandhari nzuri na kuchangia uzuri wa mji. Kilichonishangaza ni kuona miti hiyo mikubwa imekatwa yote, huku baadhi ikiwa inakatwa na kutengenezwa mbao. Nilijaribu kuangalia kama kuna...
  9. Red black

    Mpaka sasa nimejitahidi kupanda zaidi ya miti 700 tujitahidi kutunza mazingira kwaajili ya vizazi vijavyo

    Kupanda miti ni muhimu sana kwaajili ya vizazi vijavyo.. tukiharibu nature outcome yake ni mbaya sana
  10. UTPC

    Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo ni tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya - Mbeya

    Uharibifu wa mazingira kupitia ukataji miti hovyo umeendelea kuwa tishio kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Makala hii inaangazia sababu kuu zinazochochea kasi ya upotevu wa misitu katika wilaya hiyo. Kilimo cha Tumbaku na Nishati ya Kuni Sehemu kubwa ya misitu ya...
  11. Zogolo1550

    Huduma ya kukata miti kwa kutumia chainsaw

    Tunatoa huduma ya kukata miti iliyo katika mazingira hatarishi na mashambani. Tunapatikana mbezi mwisho (DAR ES SALAAM) 0679900852/0758700852
  12. Zirconium

    Nauza Miti Ya Mbao Pines Ina miaka 14!

    Habari wana Jukwaa Nauza miti ya mbao yenye umri wa miaka 14 iko Wilaya ya Mufindi Kijiji cha Mapanda Iringa Tanzania Ukubwa wa Ekari 25 imetosha Kuvunwa ( mbao) inauzwa yote kwa pamoja bei ni Tsh 85,000,000/= Maongezi yapo… KARIBUNI SA Mawasiliano 📞 0750827076 ( WhatsApp Tu )
  13. Zack Abdul

    RC Dkt. Batilda Burian aipongeza NEMC kupanda miti 2000 Tanga kuelekea maadhimisho ya miaka 40

    BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kanda ya Bagamoyo, limepanga kupanda jumla ya miti 2000 mkoani Tanga, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 40 ya taasisi hiyo yatakayofanyika Mei 29, mwaka huu. Kati ya miti itakayopandwa kwenye maadhimisho hayo yenye ujumbe...
  14. Roving Journalist

    Prof. Shemdoe aongoza Watumishi TAMISEMI kupanda miti kuadhimisha Siku ya Kuzaliwa Rais Dkt. Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewaongoza viongozi na watumishi wa ofisi hiyo, kupanda miti katika viwanja vya OWM- TAMISEMI Mtumba, ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  15. H

    Dkt. Mwigulu ashiriki zoezi la upandaji miti, Dodoma

    DKT. MWIGULU ASHIRIKI ZOEZI LA UPANDAJI MITI, DODOMA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 27, 2026 ameshiriki zoezi la upandaji miti, mbele ya ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma. Zoezi hilo ni sehemu ya hatua ya kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia...
  16. PAYE

    Samia: Mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchi nzima zihakikishe kunatengwa maeneo ya kijani na upandaji miti

    Leo Januari 27, 2026, katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa Rais Samia, akiongoza zoezi la upandaji miti katika eneo la Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ameagiza mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini kote kuhakikisha kwamba katika upimaji wa maeneo mapya, kunatengwa maeneo ya...
  17. Waufukweni

    Mwanasheria Mkuu CHADEMA: Polisi wanazuia Wanachama wa CHADEMA wasipande miti, mbona ya Kizimkazi hawazuii?

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema: “Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira...
  18. Fbn

    Penye miti hakuna wajenzi kwa nini serikali ya CCM inataka wasio umuhimu wakati tuna mtu Malisa GJ anaweza kuwa chachu waziri wa vijana na wananchi

    Nimekuwa nikimfatilia bwana Malisa GJ ambaye ndio msaada wa watu wengi kwa vijana na wananchi. Kuna kijana alivunjwa miguu kipindi cha October 29 na alikuwa ana msomesha mdogo wake ila jamaa alivyoweka ujumbe alichangiwa na kufikisha milion 15. Baada ya siku watu wakaomba na huyu achangiwe...
  19. M

    Natafuta mtu wa kukata Miti

    Nimefuta maana nimeshapata mtu
Back
Top Bottom