Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemueleza Makamu wa Rais, Mhe. Deogratius Ndejembi jitihada alizozifanya za kukutana na Wakandarasi, Wahandisi Washauri, Mameneja wa Mikoa na Wilaya wa TARURA, Wakurugenzi wa...
KAFULILA ANASEMA CHINI YA RAIS SAMIA PPP IMETOKA MRADI SIFURI HADI ZAIDI YA MIRADI 100
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Bwana David Kafulila amesema uelewa kuhusu Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) umeendelea kuongezeka miongoni mwa mamlaka za Serikali na wanasiasa...
Mgogoro mkubwa uliopo Tanzania kati ya viongozi wa Serikali na Wananchi ni utajiri
Idadi kubwa ya Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara, wanataka viongozi hao waishi maisha duni wakiamini maisha duni kwa viongozi wa Serikali ni ishara ya utawala bora...
Uchunguzi wa KTN News umeibua maswali kuhusu matumizi ya mabilioni ya fedha za umma katika mradi wa ujenzi wa Bomas International Convention Complex (BICC), baada ya kufichuliwa kwa mkataba wenye gharama zilizoongezeka na vipengele vya malipo vinavyotiliwa shaka.
Katika uchunguzi uliotangazwa...
Moshi
Hatua ya Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)Moshi Manispaa kuanzisha mradi wa ushonaji nguo zikiwamo sare za Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni hatua ya kupongeza.
Pia hatua hii ya kuanzisha mradi huo ni mfano wa kuigwa na Jumuiya zote za Chama Cha Mapinduzi (CCM),ikiwamo umoja wa vijana wa...
Nimeikuta hii video random mtandaoni, ukikaa na kui analyze kwa upana ni nchi nyingi za Africa
jamii inayolazimika kuomba, kushukuru na kunyenyekea ili iweze kuishi
Tunasikia kauli kama “Mradi wangu,” “Nitatoa pesa,” “Nitaleta maendeleo,” na “Mimi ndiye niliyesaidia.” Tunaomba kwa...
Katika vilima virefu na vya kijani vya Kaunti ya Kisii magharibi mwa Kenya, barabara mpya zinabadilisha maisha na kuchochea biashara ya eneo hilo.
Malori yaliyojaa ndizi, maparachichi, miwa, na mawe ya kuchongwa sasa huondoka alfajiri, na kuwaingizia mapato ya haraka kulima wa eneo hilo.
Kabla...
Katika vilima virefu na vya kijani vya Kaunti ya Kisii magharibi mwa Kenya, barabara mpya zinabadilisha maisha na kuchochea biashara ya eneo hilo.
Malori yaliyojaa ndizi, maparachichi, miwa, na mawe ya kuchongwa sasa huondoka alfajiri, na kuwaingizia mapato ya haraka kulima wa eneo hilo.
Kabla...
Dodoma
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Timotheo Mzava (Mb), imekagua maendeleo ya ujenzi wa miradi mitatu ya nyumba inayotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dodoma.
Ziara hiyo imefanyika Oktoba 19, 2026, ambapo...
Baada ya serikali HARAMU ya samia na kikwete KUPUUZA maelekezo ya Commonwealth (Jumuiya Madola) ya kurejesha utawala wa kidemokrasia Tanzania, hatimaye RUNGU la Vikwazo limeanza kutembea sasa.
Jambo la kufurahisha ni kwamba wameanza na MACHAWA wao, Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) ya...
Jumla ya miradi 1,337 yenye thamani ya zaidi ya Sh2.24 trilioni ilizinduliwa au kuwekwa misingi wakati wa Mwenge wa Uhuru 2026. Miradi hiyo inahusisha afya, maji, barabara, viwanda, kilimo na uwezeshaji wa vijana, ikilenga kuongeza huduma na fursa za kiuchumi katika maeneo mbalimbali nchini.
Ni kimuhemuhe kuona waziri wa michezo na utamaduni kukagua vituo ya polisi huko mwanza kukagua barabara za wizara ujenzi huko mwanza je ni kijiinua au kujali maisha ya wananchi
USSR
Muhtasari wa Hali ya Deni la Taifa
Kufikia Machi 2026, deni la taifa ni Sh114.34 trilioni.
Deni la nje: Sh75.89 trilioni
Deni la ndani: Sh38.44 trilioni mwananchi.co.tz
Ongezeko la mwaka mmoja (2025–2026) ni asilimia 8.97.
Kwa kipindi cha miaka 10 (2016–2026), deni limeongezeka kutoka Sh38.07...
Miradi 14 mikubwa ya madini nchini inatarajiwa kufungua fursa zaidi kwa makampuni ya ndani kushiriki katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini. Kwa kuwa soko la ununuzi wa bidhaa na huduma katika sekta hiyo linakadiriwa kufikia takriban TSh trilioni 5.1 kwa mwaka, lengo ni kuhakikisha hadi...
Kila mtu akiwa mbunge ni bora kuuwa miradi ya serikali ili mradi biashara zake ziwe mstari wa mbele.
Tumeona sukari,reli na n.k.
Kukitokea swala la kiongozi hakaweza kuanzisha biashara ya maji au umeme basi msitegemee serikali kupiga hatua.
Aliripoti mwandishi mmoja wa dw Rashidi Chilumba kwamba Zanzibar iwa miaka mitatu imebadilika sana, na kasi ni kubwa. Kiukweli hata ambao hatujafika huko tunaiona kwenye mitandao.
Mifano hai
Uwanja wa mpira wa Dodoma unaenda kama konokono na muundo wake si mzuri kama ule wa Zanzibar. Mpaka leo...
Tanzania yavutia Wawekezaji kutoka Marekani Miradi ya LNG,Mahenge Graphite na Kabange Nickel
Miradi ya kimkakati ya LNG, Mahenge Graphite na Kabanga Nickel inaendelea kuvutia wawekezaji kutoka Marekani, ikiashiria fursa kubwa katika sekta ya nishati na madini nchini Tanzania. Uwekezaji huu...
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP Centre), David Kafulila, amewataka wafanyabiashara na wawekezaji kuacha kusubiri Serikali itangaze miradi ya ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP), badala yake waibue fursa na kuwasilisha mapendekezo yao kwa Serikali...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amefanya kikao kazi na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, wabunge na viongozi wa Wilaya ya Mbinga, kwa lengo la kujadili namna bora ya kuimarisha na kuharakisha utekelezaji wa miradi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.