mimi

  1. M

    Mambo ya Udhamini wa NBC na TFF nawaachieni nyie Mimi naomba tu kujua je, Boss wa NBC ni Simba au Yanga?

    Ninasubiri majibu yenu ili nitiririke sasa.
  2. Kwangu mimi huyu ndio kachero bora na mwana mikakati hodari zaidi ya Membe

    Habari za asubuhi ndugu zang wa JF, Ama baada ya salam naomba nielekee sasa kwenye mada yangu. Ndugu zangu wakati nchi yetu inalazimishwa kuingia katika mfumo wa vyama vingi na nchi za magharibi, serikali ya Tanzania chini ya raisi wa wakati huo mzee Rukhsa ilikataa mfumo huu kwa kuona kwamba...
  3. Tuangalie hii kiundani huenda ikawa kweli au si kweli kuhusu Nelson Mandela

    Kuna Habari kama Sio stori inasomeka kama ifuatavyo Huyu Mandela aliyeiongoza South Africa alikuwa Feki alitengenezwa na Makaburu, Makaburu walimuua Mandela halisi halafu Wakamtengeza wa kwao ili awe Kibaraka wao hapo SA Watu wanauliza Kwamba iweje Mandela aliyefungwa miaka 27 Jela halafu...
  4. Rais Samia, Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara ya mwisho juu ya polisi, nanawa mikono juu yao

    Mh Rais Samia Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara nyingine tena ili kusiwe na hatia juu yako Ila ni wazi kabisa polisi wetu wanakuchafulia na kukutia doa utawala wako. Mpumzushe Sirro msaidie apumzike kwa heshima jeshi la polisi chini yake limechafuka Sana na Askari wengi wanaumizwa...
  5. Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo. Hayo ndio yalikua matarajio...
  6. H

    Riwaya: Baki na Mimi

    BAKI NA MIMI Email: halfanhamis337@gmail.com Yusto alimaliza kusoma ujumbe huo kutoka kwa Brandina wenye utani ndani yake, akainua macho yake akamtazama Caren akakuta nae anamtazama. "vipi" "mmh poa tu vipi" Waliongea baada ya kutazama kwa muda kila mmoja akaonyesha kama hamna kilichotokea...
  7. Siyatambui mapinduzi Guinea, Rais Conde namtambua kama Rais bado waliomteka nyara wamrudishe upesi

    Bunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi vingine vya jeshi wakaenda kumteka Raisi Condé na kumficha wanakojua wao. Mimi bado namtambua Rais Conde...
  8. P

    Hivi nina Madhaifu gani mimi?

    Wakuu, jambo likikuchanganya ni bora kushare ili upate mawazo mapya. Mimi nimehitimu chuo miaka 8 imepita. Kipindi chote cha masomo tangu darasa la kwanza nina rekodi nzuri ya ufaulu na uwezo wa kufanya mambo mbali mbali hasa ya kiubunifu, n.k. Mara baada ya kuhitimu nilifanikiwa kupata kazi...
  9. P

    Mimi naona Rais Samia anadanganywa kuhusu takwimu za waliochanjwa!

    Kupitia ziara aliyoifanya Mh Raisi ya kutembelea mkoa wa Pwani hususani (W) ya Bagamoyo Baada ya kupewa nafasi ya kusalimia wananchi na kusema mahitaji ya Wana Bagamoyo, Mh Mbunge wa Jimbo hilo la Bagamoyo, Takwimu alizotoa Mh mbunge wa Bagamoyo bwana Mkenge ni za kupikwa, kwamba, (W) ya...
  10. Mimi ni mtu wa aina gani

    Habari wakuu sana. Mmebarikiwà sana na Mwenyezi Mungu. Aisee moja kwa moja kwny hoja mi nna sifa zifuatazo. nikiona mtu ana shida naumia sn mpk machozi hunilenga, mfano mtoto anapigwa au mtu yeyote Yule au nikiona mtu analia kwa uchungu. napenda kukaa kimya nikiwa peke yangu kuliko nikiwa...
  11. Naomba nafasi ya kujitolea Mimi ni clinical officer🙏

    Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021 Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate Malazi na chakula🙏 Nipo shinyanga Mawasiliano 0746532392
  12. D

    Nimejiwekea msimamo; Sipandi bodaboda za hivi mimi, mara mia nitembee

    Ni misimamo yangu kwamba; Sipandi bodaboda isiyo kuwa na kioo (side mirror), maana mambo ya kugeuziwa shingo kila muda ujinga huo sitaki, Mara ageuke nyuma akosee tuelekee mtaroni spendi kabisa! Sipandi bodaboda ya bonge au mtu mwenye kitambi; Haiwezekani mi nilipe buku halafu siti yote akalie...
  13. Dereva wa Uber na Bolt natafuta gari la mkataba

    Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi ' Kwa mawasailiano zaidi Ernest : +255628729873 Naomba ushirikiano wenu
  14. Mimi ni mfuasi mtiifu wa United States of America lakini naisikitikia Afghanistan

    Habari za siku nyingi Hakika tumepata kujionea kilichotokea na kinachoendelea kutokea kwenye ardhi ya Afghan Kwa hali ilivyo pale asia ya kati ni dhahiri sasa tujiandae kushuhudia matukio makubwa ya ugaidi zaidi pengine kuliko hata ilivyowahi kutokea Taliban wao walipokuwa wanapigana...
  15. Riwaya: Machinga mimi Masikini

    Utangulizi Maisha matamu sana, haya ni maneno ambayo nisingeweza kuyatamka miaka ishirini iliyopita, sikujua cha maisha wala uzuri…, na si mimi tu wengi tulikuwa kwenye dhahama hizo… Nasogea kwenye bustani na kuketi napigwa na upepo mzuri naona wanafamilia wakitembea kutoka makwao kuelekea...
  16. Je, mimi ni introvert au extrovert?

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada, kwa muda mrefu nimekua nikisoma threads tofauti tofauti hapa JF zinazohusiana na watu wapole/wakimya (introvert) na wale wasio wapole/wacheshi (extrovert) Binafsi nimekua nikijiuliza nipo kundi lipi bila kupata majibu kwa sababu sifa zote za...
  17. Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

    1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108) 2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115) Ikulu hawako serious. Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi...
  18. Askofu Gwajima: Ninyi mnaobadilika badilika mmebarikiwa kwa aina yenu. Mimi sina uwezo huo

    Gwajima ameendelea kujibu mashambulizi yanayoelekezwa kwake na amesisitiza kuwa yeye si aina ya watu wanaobadilika badilika akisema hivi leo ni hivyo hivyo mpaka anakufa na amesisitiza kuwa kuna hoja nyingi kuhusu chanjo ambazo alizitoa hadi leo hajaona majibu yake zaidi ya kuona uzushi wa yeye...
  19. Nionavyo Mimi Kuhusu Askofu Gwajima...

    Hana shida na Ubunge amechoka nao au haoni kama ni big deal hivyo anaongea anachokiamini bila woga/shaka. Si mnafiki anazungumza anachokiamini. Mtu wa namna hii ni mzuri akipata wasaa wa kuamini jambo lenye faida kwa Taifa. Hayumbishwi. Tunapaswa kuwa na watu wa namna hii Huyu ni mtu wa system...
  20. Nijue, ishi na mimi: Ahadi namba 5 ya Mwanachama wa CCM

    NIJUE, ISHI NA MIMI: AHADI NAMBA 5 YA MWANACHAMA WA CCM. NIJUE, ISHI NA MIMI: AHADI NAMBA 5 YA MWANACHAMA WA CCM "Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu." Ahadi namba 5 inasisitiza kuwa uongozi ni utumishi kwa wananchi na sio manufaa kwa mtu binafsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…