mimi

  1. A

    KERO Watumishi wa ngazi za chini wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi tunateseka sana

    Mimi ni mtumishi wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi, nikiwa katika ngazi ya chini kabisa ya kuanza utumishi. Nimeamua kueleza changamoto zinazotukabili baadhi ya watumishi katika eneo letu la kazi. Kuna hali ambayo inaonekana kuwepo ya kutokuwepo kwa usawa katika malipo ya...
  2. Ali Kiba ana miaka 39, ilihali Hemed phd ana miaka 44, ni mimi tu ndio sijaelewa au

    Kipindi alikiba ana toa Cinderella mpaka alikiba ninalia naumia mwenzio, huyu HEMED alikua kitoto back to back Leo HEMED mkubwa Kwa king dah au Mimi ndo nimewachanganya
  3. Mbona sioni hashtag free Dr Emanuel Nchimbi mpaka sasahivi? WATANZANIA mmeanza kuzoea upotevu wa watu? Hay Mimi naanza FREE DR NCHIMBI

    Kwamba hqtujui kama huyu mtu hayupo kwa familia yake, hayupo ikulu? Na hajulikani alipo mpaka muda huu? Nawashauri msikate tamaaa nyinyi semeni freeee Tundu Lissu Free Dr Nchimbi ukimnya WENU ni hatari kwako na kwangu maana hatuko salama mpaka tukimbilie kenyaaaaa.
  4. Naona red black kanizungumzia mimi🤣

    Red black nashukuru sana kwa kujali , ila sijui kama wewe una hata level za kunizungumzia mimi asee😅 Au ni vile tuna kutana humu JF tu , ndio mnaona mnauwezo wa hata kukutana na kila members humu🤣 Ndio nyie nyie members mnaomba 2000 humu😄
  5. Kwanini mimi napata wanaume wa binafsi eti??

    MSaada jamani mimi napataga wanaume wa binafsi tu . MF. Hai Tate Mkuu huyu baba anahela sana tu ila kunipa aah yeye anipa zile kuku za wateja tu. YAani mtu unampa muda wako upendo unamjali ila hata mia tu hakupi unajipambania sijui hii shida nini huwa . yaani mawazo yenu yatasaidia
  6. Mke wangu anapanda sana lifti za magari ya wapangaji wenzangu, mimi sina gari

    Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi. Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona akipanda gari la mpangaji mwenzangu kama lifti akielekea kazini na mimi nikitoka napiga kwa mguu mpaka...
  7. A

    KERO Nilihitimu UDSM Mwaka 2021 lakini sijarudishiwa "caution money" mpaka leo, je kuna wangapi wanapigwa kama mimi?

    Kuna jambo linalohitaji kupewa umakini kuhusu urejeshaji wa fedha za dhamana (caution money) zinazolipwa na wanafunzi wa uzamili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Wakati wa usajili wa awali, wanafunzi hutakiwa kulipa kiasi cha Shilingi 50,000 kama caution money. Hata hivyo, baada ya...
  8. Hata kama Jaji ningekuwa mimi Kavulata angekutwa na kesi ya kujibu

    Unaposema utakwenda kuzuia uchaguzi Mkuu wa kikatiba unaoipatia Jamhuri yetu viongozi wake wakuu kama Rais, Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, Makamu wa Rais, wabunge na madiwani usifanyike maana yake unadhamiria nchi ama iendelee kuongozwa na viongozi batili ambao muda wao kwa mujibu wa katiba...
  9. Baada ya kujua mimi ni wapekee

    Mimi ni mtu wa kipekee, na hii ndiyo sababu nimeamua kueleza jambo hili muhimu kwa watu wenzangu. Napenda sana kujifunza; sikupenda kamwe kuwa mjuaji au mtu mwenye kiburi cha maarifa, hivyo mimi huchukua muda wangu kujifunza (I take my time to study). Kupitia kudadisi na kutaka kuijua dunia...
  10. Madeleka: Nimeambiwa CCM walisikitika mimi kukamatwa. Nashukuru wameonesha kazi na utu

    Madeleka: ‘Nimeambiwa CCM walisikitika mimi kukamatwa. Nashukuru wameonesha kazi na utu’ Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka ameyasema haya leo Agosti 18, 2026, wakati akiongea na vyombo vya habari baada ya kuachiliwa kwa dhamana kutoka Kituo Kikuu cha Polisi (Central) jijini Dar es Salaam...
  11. Mimi ni Yanga lakini Miraji Maramoja ana kipaji cha pekee!

    Kwa asiyemjua basi jaribu kugoogle interviews zake utapata wasaa wa kutabasamu sana. Anafurahisha huku akitia facts za maana sana. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
  12. Video: Nifundisheni na mimi AI

    https://youtube.com/shorts/sNRkCxTNwsw?si=zY5a8w0jsQ8nDxgJ
  13. Wazee wenzangu vipi huko? Ni Mimi pekee ndiye nashindwa kutumia hii app mpya?

    Hii App ni shida sana hasa kwa sisi wazee wa vijijini. Nimejuta kuipakua, sasa hivi naingilia chrome. Wazee wa mjuni nasikia mnadunda nayo tu. Maxence Melo fanya kanamna basi!
  14. Nimeshavuka hofu

    Kwa level niliyo ifikia Itoshe kusema mimi ni mtu maarufu zaidi katika hili jukwaa kwa sasa Mimi ni kama maji tu usipo yanywa utaya oga, siogopi kitu chochote.. Nimesha vuka fear, ni naweza kuhandle presha na maneno ya watu, hakuna anyeweza kuni challenge na kunitoa mchezoni. Siongei haya...
  15. Ungana na Mimi mwamba aliye muoa Amina wa Tandale, Demu wa Ally Dreva Boda boda

    Msomaji ungana na Mimi kumtukana huyu Rich,MWANAUME shababi, mrefu mweusi, aliyejaa mbavu Nene, kijana AMBAE Mungu ameisha mfungulia milango ya riziki mpaka kuweza kumwamisha mama Mkwe kutoka tandale mpaka Mbezi salasala DSM. Rich, alikuwa na mazoea na Mama Amina, maana mama Amina alikuwa...
  16. M

    Nilichojifunza mimi binafsi kwa watu, ndicho huyu mzee anasema

    Mwaka 2011 nilipata kazi na kuajiriwa as mwalimu serikalini hiyo ni baada ya kusota sana kutafta ajira ya fani yangu ya Sheria . Nilikula msoto sana kupata ajira ya sheria , no connection in town huna ajira zaidi ya kufanya KAZI ya kujitolea kweny law firm . pamoja na familia yangu kuwa na...
  17. Namna wadada walivyokua wananisifia na wakaka wanavyoniogopa ndio nikajua kumbe mimi mzuri

    Unajua kioo cha kweli ni macho ya watu na jamii kwa ujumla, sio unajifungia ndani, unajiangalia af unasema we mzuri. acha jamii iamue wewe uko kundi gani. Mimi nilijijua kwa namna watu wanavyoreact kwangu, Yani ile unconsiously mnapiga story tofauti, ghafra, mtu anakwambia " Ila Haszu we mzuri"...
  18. Nimemuambia Mzazi;kama anabaraka, anitamkie baraka eneo lolote alafu mimi nitafanya makusudi kuzembea eneo hilo ili nione kama nitabarikiwa. Anacheka.

    NIMEMUAMBIA MZAZI WANGU;KAMA ANABARAKA ANITAMKIE BARAKA ENEO LOLOTE ALAFU MIMI NITAFANYA MAKUSUDI KUZEMBEA ENEO HILO ILI NIONE KAMA NITABARIKIWA. ANACHEKA.. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Tangu nikiwa mtoto mdogo nilijulikana kwa kupenda kutodanganywa. Mtu akinidanganya hasa nikiwa najua...
  19. Nipo kanisani, huyu Askofu kila mada anayotoa leo naona ananilenga mimi, nikipata nafasi nachomoka hapa

    Kwanza sadaka sitoi Huyu bwanah anatoa maandiko huku ananikodolea macho nafikiri atakuwa ameelekezwa tu namtu anipige vijembe Kaanza na mada za ugomvi na kupigana , anazungumza huku ananitolea macho japokuwa nimekaa nyuma ila ananitolea macho mpaka huku alafu ana macho makali kinoma yaani...
  20. A

    Forex inataka niua

    Habari wana jamvi, Mimi ni kijana mwenye miaka (27) nlikua vizuri tangu nmehitimu chuo nlikua natrade forex ,kwa miaka mitatu sasa , ila upepo umejigeuka nmepata hasara kubwa ,na sasa Nina tapatap yaani kiufupi sina mwelekeo isitoshe nlipanga nioe mwaka huu, Naona kama ndoto zangu zimekatika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…