mimi

  1. S

    Je, ni mchambuzi yupi wa mpira (pundit) unamkubali sana? Mimi namuelewa sana Amri Kiyemba

    Kama kicha cha habari kinavyojieleza ...haya twende kazi
  2. Mimi ni mzalendo wa kudumu wa Tanzania naomba Raisi Samia ashughulike na hili

    Salama wandugu, Mimi mwanaccm na mzalendo wa kudumu wa taifa hili pia ni timu Magu Ila kwa yaliyotokea kwa wapinzani naomba radhi kwa niaba ya JPM. Hili lilikuwa linachoma moyo sana, naomba Raisi Samia ashughulikie hili kama anawajali wapinzani au nasema uwongo ndagu zangu.
  3. Natafuta kazi ya kufundisha fani ya uhazili

    Naitwa Andrew Timothy natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha fani ya Secretarial. Nina uzoefu wa miaka miwili katika ufundishaji katika masomo ya Shorthand, Hatimkato, Secretarial Duties, Office practice, Typing Lakin pia Enterpreneurship Education and training..! Niko DSM Email...
  4. Who am I / Mimi ni nani?

    Tahadhari! Mwandishi wa Uzi huu amejikuta anajiuliza yeye Ni Nani baada ya subconscious mind kuleta kumbukumbu kadhaa katika Maisha yake, kwahiyo anawaza Kwa sauti kubwa!!! Nikiwa shule ya msingi nadhan Darasa la tano au la sita, wanafunzi wenzangu waliniambia huwa wanamuona Baba yangu kwa...
  5. Niaminini mimi, Asernal hachukui ndoo hata ya maji EPL

    Msindikizaji Sana huyu dogo. Anasindikiza baadae wanachukua wengine.
  6. Bunge linapitisha mambo mimi kama mtanzania nikiangalia naingia huzuni

    MWANAHABARI nguli na anayeheshimika nchini Tanzania, Pascal Mayala amelitupia lawama Bunge la Tanzania kwa kupitisha baadhi ya mambo ambayo kuna wakati yanampa huzuni na hasira kubwa. "Kuna baadhi ya mambo ambayo Bunge letu limefanya ni mambo ndivyo sivyo,hakuna anayejua mambo haya ni ndivyo...
  7. Ushauri: Sina hisia na mwanamke mwenye malengo mazuri na mimi

    Habari za majukumu ndugu zangu wa Jf, Kama kichwa cha habari kinavojieleza yaani nimekuwa sina hisia kabisa na huyu binti ambae ni dhahiri kabisa anaonekana kabisa kuwa na faida kwangu. Kwanza ni mpole, msikivu na mcha Mungu na ninaona kabisa huyu ni mke bora kabisa kwangu ila tatizo sina...
  8. Hivi mnapata ugumu kujua mboga ya kupika kama mimi?

    Mwenzenu kila nikiwaza mboga ya kula siku hiyo napata tabu sana, yaani natumia muda mrefu sana kuwaza mboga na wakati mwingine nakosa najikuta kila nayowaza nimekula siku za karibu. Yaani kujua mbga ya kupika kwa upande wangu ni tatizo sana natamani hata ningekuwa naambiwa tu pika mboga hii leo...
  9. Nimelelewa na kusoma shule za Mapadri lakini ni Muislam safi tu. Habari za kubishana kuhusu dini hazina maana

    Kwa sisi watu tuliopata bahati ya kusoma maandiko Bible na Quruan huwezi kuona tunabishana kuhusu dini, maana maandiko ndiyo Maisha tulionza kuyaishi takribani miaka 7 hadi leo tumekuwa watu wazima. Kwahiyo, hizi ligi zenu kuhusu dini sahihi kati ya christian na uislamu, jibu ni moja; soma...
  10. Inagusa sana: "Mwambie anipigie ni Mimi Mama yake"

    Copy na ku-paste, Mimi sio mwandishi Mwambie anipigie ni mimi mama yake! Mwambie sina simu ila nimeona picha zake kwenye simu ya kupalaza ya khamisi/mwambie amenenepa sana. Mwambie nimeona gari lake ni zuri sana !!ila mwambie mama yake bado naishi kwenye lile banda pamoja na kuku/mwambie...
  11. Hivi ni mimi tu au na wengine mnapitia ninayoyaona

    Nipo likizo yapata wiki moja, ila nilisafiri kutoka kwangu kuja kwa huyu mzazi wangu. Likizo imekuwa chungu natamani tu nirudi nyumbani kwangu kabla ya muda, kutwa nashinda naongea nampa ushauri namuelekeza kuna baadhi ya mambo naona kabisa anaharibu lakini ni mbishi kwelikweli. Kazi kwelikweli!
  12. Uzi wa kumtakia Heri ya Xmas na mwaka mpya kwa unayemkubali humu JamiiForums, mimi namtakia heri Popoma, Game Changer, Charismatic Fella

    Uzi huu tuutumie kutakiana heri ya xmass na mwaka mpya wa 2023 wenye heri na fanaka tele. Uzi huu sio wa kidini wala hauna lengo la kuleta mijadala ya kidini just wishing happy new year and marry xmass au Noel.
  13. Mimi ni mmojawapo wa wanaune wenye shoo mbovu na wala siogopi chochote. Bado najiamini sana

    Huo ndo ukweli jamani ambao natamani kuusema... Nahisi mimi ntakuwa ni kati ya wale watanzania ambao tunashika mkia kwenye suala zima la kupiga show. Niseme tu ukweli mimi ni mbovu sana, tena sanaa.. Sitaki kusema ni mbovu kiasi gani.. Ila nahisi ntakuwa nashika mkia. Ila kizuri ni kwamba...
  14. DOKEZO TRC, mtanitafuta kwa uchochezi au Mkurugenzi Mkuu Kadogosa utanishukuru mimi na JF? Treni imefungwa kwa waya!

    Ninavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani. Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg Kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya safari au mwisho. Pichani ni treni mnaita deluxe inayotoka Dar Es Salaam kwenda Arusha na hizo...
  15. 2025 nitachukua fomu kupitia CCM na nitampinga huyo mnaetaka asipingwe

    Kwanini nguvu kubwa inatumika kutulazimisha tuvunje kanuni na katiba Kwa kututisha? awamu ya tano inamalizika 2025 ndipo tuanze awamu ya SITA. Kanuni za kawaida za chama ni kuchukua fomu ama kutangaza nia, watu washindanishwe apatikane alie bora. Kwa Nini Jakaya na Makamba wanataka tule...
  16. Mimi na kaka yangu tulipiga kura za hapana lakini matokeo yanaonesha kura ya hapana ni moja kule Dodoma

    Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano. Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea Dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
  17. Ni mimi peke yangu ndio nimeoa mke mwenye uwezo mdogo wa akili?

    Yaani mada pekee anayoweza kuimudu ni mnapozungumzia watoto, mapenzi+sex na vingine, Kitu chochote cha ki academic haelewi kama vile hajasoma, nakua na hasira sana. I feel like i married an idiot N.B Hana tako kama ninavyoambiwa, ni wa kawaida tu
  18. N

    Hii sasa dharau, yaani mimi wa kunialika mahafali ya mtoto wa chekechea? Kweli?

    Yamenikuta jana asubuhi, mpaka sasa sijakaa sawa kwa fikra na hasira. Yaani na ugumu huu wa maisha, upandaji huu wa bei, bado mgao wa umeme na maji na ukaribu wa kufunguliwa kwa mashule eti mtu anakuja kukualika mahafali ya mtoto wake, eti anamaliza chekechea! Hivi chekechea mtoto anahitaji...
  19. Katika ukoo wetu mimi ndiye wa kwanza kuwa mwajiriwa wa serikali, jifunze kitu hapa

    Kulikuwa na minong'ono kuwa ndugu yetu mkubwa ni mchawi na ana roho ya wivu. Mafanikio anataka yawepo ndani kwake tu. Wengine walikuwa mpaka wanakuwa wa kwanza kiwilaya katika mitihani ya dhihaki (mock) darasa la saba. Ikifika mitihani ya taifa wenzake aliyowaburuza darasani wanapangiwa Mzumbe...
  20. Chonde Chonde Mama Zinduna, hata Mimi nina moyo!

    CHONDE CHONDE MAMA ZINDUNA, HATA MIMI NINAMOYO! Anaandika, Robert Heriel VPN. Manyanyaso yalizidi pale Ukweni, kama mtakumbuka Taikon nilileta Stori zaidi ya tatu humu tangu nimeenda kuchumbia, mpaka nikaishi Kwa Shemeji, kisha nikaitwa nikaishi ukweni na Mke wangu. Baada ya kupigwa ngumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…