mimi

  1. T

    Tupeane Sites zisizo za utapeli zinazoweza kukulipa kwa kufanya kazi bila ujuzi za online mimi naanza na hii

    SproutGigs SproutGigs (zamani ikijulikana kama Picoworkers) ni tovuti ambapo watu kote ulimwenguni wanaweza kujisajili kama wafanyakazi huru ili kupata pesa kwa kukamilisha kazi ndogo au rahisi zilizochapishwa na waajiri. Inalipa kuanzia Tsh 100 hadi 2000 kwa kazi ndogo ndogo moja Hakuna...
  2. Hivi kuna Mtu Mwingine mwenye Bahati Mbaya na Sifa za Kiasili za Makabila ya Watani zake Kama Mimi?

    1. Wahaya: Wapenda Tamu zote za Kibaiolojia 2. Wanyiramba: Viburi sana 3. Waha: Wabishi tukuka 4. Wanyaturu: Wezi mno 5. Warangi: Wachawi 6. Wakerewe: Walafi 7. Wanyamwezi: Washamba sana Mzanaki Mimi nina bahati mbaya nao mno hawa Watani zangu kwani Wazanaki ndiyo Kabila pekee nchini...
  3. Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

    Awe na mwili umejengeka kiasi, awe na kakitambi kidogo. Asiwe amekonda kwa kweli mimi wanaume vimbaumbau wakae mbali kabisa nami. Mwanaume awe anajiamini. Mpole lakini pia mkorofi akichokozwa na awe anajiamini. Napenda mwanaume ambaye muda mwingi in public yupo serious. Ila aliwa nami room au...
  4. F

    Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?

    Mimi ni mzaliwa na raia wa Tanzania bara nataka kuwa raia wa Zanzibar, je inawezekana? Nifuate taratibu zipi?
  5. Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Wapendwa week end inaendaje? Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani... [emoji117][emoji117][emoji117] SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA Ngoja nikupe...
  6. M

    Ni mimi kilaza au Tanroads: Sioni umuhimu wa taa za kuongoza magari Sam Nujoma vs Simu 2000 (Mawasiliano)

    Habari wana Jamvi, Sioni umuhimu wa Taa za kuongoza magari makutano ya Samnujoma/SIMU 2000 (Mawasiliano) wakati zinaruhusu magari yanayotoka Mwenge na Mawasiliano kwa pamoja?
  7. Akili za Nondo za Mbunge Musukuma Akiwashukia Vikali Wasomi Kushindwa Kufikiria Nje ya Degree Zao

  8. Siku yangu ya kuchat na Mods tu (staff wa JF on site vs Mimi mchwakichuguu

    SoMo linaeleweka, Zaid namkaribisha To yeye kipenzi, Mh mwinyi mh Mshana Jr baby nillaah wengine ni Keagan Paul SualehJaphary_ Jo 93 Mh Paw Diversity Mhariri Bridger Active Wand bila kumsahau Active mwenyewe. HOJA KUU NI KUNIPA CHEO. ILI NIPANDE CHEO CHA MSEREREKO JF LEO LEO NIFANYE YEPI
  9. Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, Ikulu Chamwino

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika tarehe 21 Mei, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
  10. Watanzania wenzangu unganeni na mimi kuipongeza CCM kufanyia kikao cha kamati kuu ndani ya Ikulu mpya Chamwino.

    Hakuna ubishi wametumia vyema kodi za watanzania kujenga jengo hili. Hakuna ubishi
  11. Kuchelewa kuoa na kuwa na familia japo nimejipanga kiuchumi kwa 70%, mnahisi mimi mpumbavu?

    Nyinyi wazee wa kiswahili mnaishi maisha ya tabu huku mkitegemea misaada kutoka kwa watoto wenu. Mtoto asipokupa msaada bila kujali hali yake unatishia kumpa laana. Wengi wenu mlioa mapema na kuzaa watoto wengi kama utitiri mlishindwa kuwaandaa na kuwatengenezea mazingira ili baadae wawe na...
  12. Mimi sigomi, siandamani, na nitafungua biashara yangu kama kawaida hiyo tarehe 15/5/2023

    Sababu zangu kubwa za kutokuunga mkono huu mgomo wa wafanyabiashara ni nyingi, ila nitataja chache tu 1-Sie tumepigwa faini sana na hakuwepo wa kututetea, leo wamebanwa wakubwa huko wanataka support yetu, si sahihi 2-Hivi kuna kipindi wafanyabiashara waliteseka kama awamu iliyopita? Mbona...
  13. R

    Kwangu mimi naona Zito ameongea vizuri kabisa, nasaha nzito Msiba wa Membe

    Amegusa pale ambapowengi kama siyo wote wanapaogopa! Bila kumungunya maneno but highly reserved not to mention names of culprits!
  14. SoC03 Ni Mimi na Wewe

    Ni mimi na Wewe Ili kujenga jamii bora yenye kuzingatia maadili na desturi za kiafrika basi watekelezaji wakubwa ni mimi na wewe. Mimi na Wewe ndio tunaoweza kuibadilisha jamii au kubadilisha jamii zetu na ziwe katika mstari mnyoofu na wenye kuleta matunda kuanzia sasa na vizazi vingine vijavyo...
  15. Hongera Yanga Nawapenda Japo Mimi ni Simba na sitahama

    Hello family, Hongereni Yanga na Mungu awape heri na fanaka kwenye haya mashindano ya CafCC. Inshallah nguvu moja na upendo For our country and for sports. Wadiz
  16. Katika hili mimi nasimama na Mbowe, hakika jamaa kakomaa kisiasa na anaijua vizuri siasa

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza kabla ya kuendelea na mada hii ningependa watu wengi wafahamu kwamba mimi nimeandika mada hii kwa utashi wangu mwenyewe. Sikushawishiwa, sikulazimishwa wala kushikiwa akili na mwanasiasa yoyote iwe wa upinzani, wa CCM au wa kujitegemea. Bali nimeandika hili...
  17. M

    Simpendi Guardiola na mimi siyo shabiki wa man city ila nawaombea kwa Mungu washinde

    Katika historia ya Uefa champion's league mechi mbili tofauti ambazo zilivunja mioyo ya watu ni fainali 1999 Manchester united vs Bayern na nusu fainali mwaka jana 2022 Man City vs Real Madrid. Ilivunja sana mioyo ya mashabiki wa Man City walipokuwa na uhakika kabisa wanaenda fainali kukutana...
  18. Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- Dkt Musukuma ajilipua Bungeni

    Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- DKT. Musukuma ajilipua akichangia hoja Bungeni baada ya kuona pombe. Wabunge waangua kicheko aka waambia wasicheke hata humo Bungeni ni wengi wanatumia. Amesema sio Dhambi pia kafanya utafiti kua maprofesa na madaktari wengi ni watumiaji baada ya...
  19. Kuna tofauti kubwa kati ya Masaki niliyoishi mimi na Masaki ya leo

    Kwanza kabisa naomba mnisamehe kama Uzi wangu unaofanania na kudhihaki ila hii si shabaha yangu!Shabaha yangu kubwa ni kutoa taswira ya namna mabadiliko ya matumizi ya ardhi ya maeneo husika yalivyotofautiana sana na mpango wa awali wa matumizi ya ardhi ya maeneo hayo kabla; Enzi hizo wakati...
  20. Nionavyo Mimi: Wanawake ni Mashetani na Waasi toka Bustani ya Eden

    Salaam nyote! Kiumbe aliezingua paradiso (bustani ya Eden), kiumbe alieumbwa mwanaume akiwa usingizini, kiumbevaliumbwa sehemu ya mwili ya mwanaume, anawezaje kutetewa na kusemewa chochote? Wanawake ni mashetani yasioshiba, hayajui yalipo, yalipotoka na yanapoendq, akienda kama kabaki, akifikq...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…