mimi

  1. S

    Migogoro ya ardhi; Laiti siku mimi fundi samico nikiwa kiongozi wenyeviti na watendaji wa mtaa watanyooka, Huwezi kuuza eneo lenye mgogoro

    Leo naomba kusema machache kuhusu migogoro ya ardhi; Hili nalisema wazi kabisa na nitaeleza kwa ufupi! Miongoni mwa watu wanaochangia migogoro ya ardhi tanzania ni hawa; 1. Wenyeviti wa mitaa 2. Baadhi ya watendaji wakishirikiana na wajumbe wa mitaa 3. Baadhi ya watumishi wahuni wa mamlaka...
  2. M

    Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

    Hili la mtu kuchomwa baada ya kufa sio common sana kwa Afrika lakini kuna baadhi ya Waafrika eti akifa anachagua kuchomwa badala ya kuzikwa mwili mzima. Mimi hii naiona kama cult kwa sababu hainiingia akilini kuona mtu anachagua kuchomwa, badala ya kuzikwa ambayo mwili mzima kama ilivyo asili...
  3. M

    Naomba kazi au mchongo wowote ili niweze kujihudumia Mimi na wanaonitegemea

    Habari za wakati wakubwa kwa wadogo! Ni Furaha yangu kuwa hapa kwa muda na wakati kama huu kwa leo la kuwaomba kazi au mchongo wowote utakaonisaidia. Mimi ni kijana wa miaka 27 na nipo Dar es salaam kwa sasa, Nina skills zifuatazo: 1. Ni Mwalimu wa mathematics na chemistry kwa Taaluma 2. Ni...
  4. Nionavyo mimi Lissu kafanya kosa la uchochezi sio uhaini

    Aliwachochea watu wakaenda kutenda walichotenda. Tena sio yeye tu bali chadema yote; ifutwe. Vinginevyo akamatwe tena kwa ushahidi mwingine.
  5. Mimi sikubaliani na mtazamo wa Padre Kitima kwamba wananchi ndio waongoze mchakato wa maridhiano

    Padre Kitima ni kiongozi wa kiimani nnae mkubali sana haswa mitazamo yake. Lakini sikubaliani nae kwenye proposal yake kuwa mchakato wa maridhiano uongozwe na wananchi. Kwenye theory inasound vizuri, lakini tukija kwa ground inakuwaje? Wananchi gani? Wanawakilishwaje? Nani anawaita? Nani...
  6. M

    Natamani huu ujasiri wa huyu mwamba ningekua nao mimi

    Juzi wakati nimesimama mbele ya ofsi za kata maeneo flani Kuna askari polisi wa kike akawa anakuja anaongea na simu basi nayeye katika kuongea kwake na simu inaonekana yalikua maongezi marefu akawa amesimama hayo hayo maeneo. Mwana mmoja kavaa zake simple tu kaputula jinz ya mtumba,t-shirt ya...
  7. Mimi ni mwafrika "utamaduni wetu ni hela"

    Mimi ni mwafrika "utamaduni wetu ni hela" ungependa kuhisi kuwa ipo siku utavaa mavazi ya asili yetu... Jamii ya kitanzania itabadilika na kuanza kupenda Asili yao? Hisi umebeba kitu kizito kichwani
  8. Nina tatizo la kutopata internet ruta ya airtel. Ili ni tatizo la wote au mimi peke yangu?

    Nina wiki sasa siwezi access internet kutumia ruta ya airtel. Nililipia unlimited bundle 70k lakini nimetumia siku moja tu ndio nilibahatika kupata internet.niliongea nao kwa simu sikupewa majibu ya kueleweka naona uko wanaajiri watu wajinga wajinga wa kuokota wa bei chee maana ilibidi nikate...
  9. Ulioa au unataka kuoa kwa sababu gani? Mimi sababu zangu ni hizi hapa👇👇👇

    Mimi nilioa kwa sababu nilinunua kitanda na godoro ( Like : Likud mwanangu umeshanunua kitanda na godoro tayari kwanini usioe?. Breaking News: Tumecaha na huyo mwanamke last week. Sasa hivi nataka kuoa kwa sababu ya El Nino. min -me najua alioa kwa sababu alichoka kupika mwenyewe. adriz de...
  10. S

    Tetesi: Je nitalipwa fidia kwenye eneo langu ambalo serikali imekusudia kupitisha Barbara na Mimi nataka kujenga?

    Hellow mambo vipi wadau wangu wa JF.Bila shaka mu wazima wa afya.Ama baada ya salam niseme tu kwamba nimewakumbuka Ile noma.Nimemiss kuona sura zenu sijui kwanini mnaficha tambulisho zenu. Leo wanaJf nimekuja na hili.Hapo zamani nilinunua kiwanja huko Dodoma Squaremita 453 .Nikaondoka muda...
  11. Naona madaktari bingwa kabisa wamepanic kuhusu mimi 😁😁😁

    Aseee mimi ni mchaga mmoja mpumbavu tu ,ambae nilimaliza elimu yangu chuo kikuu cha udom kama mkunga na nursing. Now bado nasoma na ninatafuta degree ya medical doctor kwa sasa , na nyie mnaodharau ma nesii na wakunga , madaktari wa bongo nyoso wa ugoko tunawajia kwa kasi ya 6 g gademitt 😁
  12. MEGA THREADS: OKOA MUDA NA PESA YAKO: Acha Mimi Nikufanyie Maombi Yote ya Serikali

    Habari Wakuu, Umechosha na foleni? Umechoka na mfumo unakwama? Umejaribu kujaza maombi lakini umekwama katikati? Usijali tena. Nipo hapa kukupa suluhisho la haraka, la uhakika na la kitaalamu kwa huduma zote za serikali na kitaaluma mtandaoni. Kazi yangu ni kuhakikisha unapata huduma yako kwa...
  13. Mimi nafikiri wewe mshabiki wa man utd mwenzangu tuachane na matumaini tena, ili kulinda afya yako ya akili achana na kujipa moyo tena.

    Usiishabikie man utd kwa moyo kama ule uliokuwa nao kipindi cha fergie. Its over.
  14. Kwenye kila Mimi ni kama huwa kuna Mimi nyingine nyuma ya hiyo Mimi, je Mimi ni nani?

    Embu anza kuangalia kwenye namna unavyojimililisha vitu, utaona ni kama kuna Mimi ambayo iko nyuma ya Kila Mimi. Ukiulizwa jina, utasema naitwa fulani, utasema mwili wangu, utasema mkono wangu, utasema moyo wangu na kadhalika. Kwenye Kila umiliki hapo utaona ni kama imekaa hivi… mkono wangu...
  15. Mimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda..

    Mimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda waliokuwa wameuwa raia, walio tufisadi yani tuanze upya tujdai kama hakukuwa na kitu yan tuanze upya kama taifa jipya yan tunaashumu tulikuwa utumwani sasa tuko huru kama vile ambavo tulipewa uhuru na wakoloni ...
  16. Punyeto itanimaliza wakuu, Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu

    Punyeto itanimaliza wakuu Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu
  17. Nimechelewa sana kugundua kuwa mimi ni masikini

    Tangu utotoni nimeishi kwenye comfort zone. Kwangu, kula milo mitatu kwa siku, kupata mahitaji muhimu, kulipiwa ada na kuwa na mahali salama pa kuishi vilikuwa vitu vya kawaida. Kwa kifupi, nilijiona ninaishi maisha mazuri sana. Hadi nilipomaliza chuo na kuanza kujitegemea mwenyewe. Hapo...
  18. B

    Hivi nyie wanaume wenzangu mnaonunua malaya mnawezaje? Mbona mimi kila nikijaribu nashindwa

    When I was a young boy like 22 or 23 hivi ningeweza kwenda club huko ningekutana na malaya ninge negotiate nae kisha ningeenda gesti au kwa babu kumalizana nae. But now that am 41 nimejaribu kufanya hivyo mara kadhaa lakini nashindwa.. Niliwahi kuandika Uzi hapa kuhusu ABC za Kitambaa Cheupe...
  19. Mimi sili ugali

    Wazee ogopa mungu na tekinolojia. Huyu dada alisema anatumia 200.il kwa siku, hajawahi kula ugali katika maisha yake. Watu sijui wamezoom wapi anagonga ulali na mdudu. Mnaojua location mtuambie hapa wapi
  20. Walimu punguzeni mitihani mashuleni.

    Walimu hasa wa kike mnafosi wazazi wawalipie vikoba vyenu kwa gia ya mitihani ya kila siku. Au hawa watoto wetu siku hizi wamekuwa vilaza? Tofauti na sisi wazazi wao? Mbona technology imewarahidishia sana hawa watoto wa sasa, material wanapata kwa urahisi sana tofauti na sisi hapo nyuma.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…