mimi

  1. SoC03 Pale ambapo mimi na wewe tumeshindwa kumlinda mtoto wa kike, teknolojia ya habari na mawasiliano haina budi kuingilia kati

    Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la watoto wa kike hususan wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kunyanyaswa kingoni ikiwa ni pamoja na Kuingiliwa kimwili (KUBAKWA) hadi kupelekea kukatisha masomo yao kutokana na kubeba Mimba na kuathirika kisaikolojia jambo ambalo...
  2. S

    Tusipoangalia Sukuma Gang watafanikiwa sana

    Kwa namna mambo yalivyokuwa yanaenda sukuma gang walikuwa hawapumui kabisa na walikuwa wamebanwa kila kona. Maombi yao yalikuwa ni kuona Rais Samia anakosea ili wapate mlango wa kutokea. Mwanya umejitokeza kwenye hili sakata la DP World naona sukuma gang wanasukuma ajenda zao kwa kasi ya...
  3. Mimi huwa nina tabia moja ya kumchunguza mwanamke kabla ya kumtongoza

    Mimi huwa nina tabia moja ya kumchunguza mwanamke kabla ya kumtongoza Ni muhimu kutambua kwamba kila mtu anao haki ya kujisikia salama, kuheshimiwa, na kuthaminiwa katika mahusiano ya kimapenzi. Hata hivyo, ni muhimu kufahamu tofauti kati ya kumchunguza mwanamke kwa njia nzuri na ya heshima na...
  4. H

    SoC03 Mimi na mama tutaizuru dunia kuinusuru Tanzania

    Mtembea bure si sawa na mkaa bure, kutembea nako ni kusoma na lengo la kusoma ni kupata maarifa,ujuzi,mbinu na mikakati kubadili hasi kuwa chanya. Nami nimeaandaa safari hii tukasome yote yaliyo mazuri ulimwenguni ikisha turudi majumbani tukiwa wapya wa fikra na kubadili mitazamo yetu kwa kesho...
  5. N

    Mimi Na Mama Damu Damu Campaign

    MIMI NA MAMA DAMUDAMU COMPAIGN. NOTE DHANA (CONCEPT NOTE) UTANGULIZI Pamoja na ukuaji mkubwa wa kiteknolojia na gunduzi nyingi zinazofanywa katika sekta ya afya na utabibu bado haiwezekani kuunda damu katika maabara.Uchangiaji wa damu kwa hiari...
  6. Mimi nauliza nini sababu ya kuficha ficha Expiry date kwenye bidhaa nyingi hapa Tanzania? Kwanini zinaandikwa wala hazieleweki nini sababu?

    Hivi kwa mfano Naomba nisaidiwe kusoma hiyo expire date hapo kwenye picha Na bidhaa za aina hii zipo nyingi yani expired date haieleweki kabisa utakuta imeandikwa ila huwezi kuielewa kabisa Ni nini tatizo mbona bidhaa za nchi zingine zinasomeka vizuri kabisa tarehe ya kuzalishwa na mwisho...
  7. Maulid Kitenge adai kwamba watu wanaopinga kubinafsishwa kwa Bandari hawajawahi hata kufika Bandarini

    Bado haijafahamika hasa alikuwa analenga nini kama kutetea uuzwaji wa Bandari yeye ni mtetezi mkubwa sana na anafahamika, sasa huku alikoenda ambako ni kushambulia Wanaopinga Bandari zetu kuuzwa kwa Wadubai, kwa kudai kwamba wapingaji walipaswa kuwa wale tu waliowahi kufika bandarini kutazua...
  8. Dkt. Mpango: Mimi ni mzalendo wa kweli

    ' Vice President watamwonea tu maskini wa Mungu na yule baba ni mcha Mungu mno kamwe hawezi kuhongeka.' ' Nakumbuka hata siku lile anakutana nao wasaidizi wake wote aliwaasa kuwa makini kwenye makubaliano ya aina yeyote.' ' Wakati wote alionyesha tai yake kwa watu wake wa karibu na...
  9. Hivi ni mimi tu naona kama miaka inakimbia sana(nyakati zinapita haraka sana)

    Salamu wakuu, niende moja kwa moja kwenye maada. Hii kitu huwa najiuliza sana. Hivi kwa nini nyakati zinakimbia sana, kwa mfano kutoka mwaka mmoja kwenda mwingine naona unaisha haraka sana, mwezi mmoja kwenda mwingine, vile vile wiki moja kwenda nyingine. Hebu just imagine mtu kama Magufuli...
  10. Niliogopa nilipoanza kusikiliza wimbo mpya wa Roma 'Mimi ni Nani?

    Unajua nlikuwa naskiliza huu wimbo kwa machale sana, nikijisemea mhhh sasa anataka kusema nini? Manake huyu naye Kwa kuropoka tu hajambo. Ina maana atamtaja aliyemuua Nyerere ambaye watu wengi huwa tunaamini kuwa ni bwana ben. Niliogopa sana, ila nkaja kugundua anazungumzia Kifo. So mimi ni...
  11. Maombi yangekuwa yanajibiwa mimi ningeomba kuongezewa urefu na upana wa fimbo

    Kwakweli mimi sio muombaji kifupi nimekata tamaa kabisa kwenda kwenye maombi ya aina yoyote kwasababu sioni matokeo ya wanao omba. Matokeo yangekuwa ya kweli wala sina mengi ya kuomba zaidi ya fimbo pana na ndefu ili niweze kuchapa matatizo ya akina dada zetu wanaoteseka usiku na mchana...
  12. T

    Ni bora wananchi tuchangie gharama za ufanisi wa Bandari zetu, ila si kuwapa DP word kwa mkataba sawa na bule!

    Ukweli ni kwamba, nchi yetu ina watu masikini kiasi ambacho wengine ni huruma ukiwaona! Wapo ambao, kula yao inategemea Jirani yake ama wapita njia, Mungu amewapa furaha ya aina gani siku hiyo ili tu kuwapa chochote kitu Baadhi ya wabunge, wanatoka kwenye maeneo ambayo watu wake ni masikini...
  13. Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba: Kodi sio jambo la Rais, kodi sio jambo la Waziri wa Fedha, kodi sio jambo la TRA, kodi ni jambo la Nchi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba kuna baadhi ya Wanasiasa wanasema kodi zinatozwa nchini ni za Rais wa Tanzania...
  14. Hivi nisiyemwelewa Rais wa TFF Wallace Karia ni Mimi tu pekee au?

    Timu ya Taifa ipo na imeshachaguliwa ila kwa sasa tumeificha ikiendelea na Mazoezi dhidi ya Niger Jumapili ijayo na hatutakitaja kwa sasa" amesema Rais wa TFF Wallace Karia. Chanzo: Sports Headquarters EFM leo Mwenyezi Mungu anisamehe na Members hapa JamiiForums mnisamehe ila kwa Kauli za Rais...
  15. Tetesi: Kabudi: Sifahamu wao kuhusu mimi nimechagua kuishi

    "....mwanangu nina watoto kama wewe na wajukuu pia katika muktadha huo hunibidi hasa kwa wakati huu ning'amue baadhi ya mambo kwa umakini mkubwa na ndiyo maana nimekujuza kuhusu u muhimu wa umri niliobakiwa nao niutumie kuishi vyema na wao." "....jawabu langu li bayana sitogombea!" Profesa.
  16. Mimi sio CCM sio CHADEMA!

    Nashangaa vijana wadogo bila mlengo wanaosema kuwa siasa haiwahusu! Huwa mnakosea wadogo zangu, Mwanasiasa anaweza amua tu na ukalala mahabusu!
  17. Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

    Akizungumza kutoka Berlin Ujerumani, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa Masharti ya Mkataba huo yanaonesha kuwa endapo kutakuwa na ulazima wa kuvunja Mkataba itabidi uamuzi utolewe na Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa. Amesema DP World wanataka kupata haki ya...
  18. T

    Mimi ni mwalimu, nje ya kazi yangu nifanye kitu gani nitoke kimaisha?

    Wakuu habari za muda huu, Kuna mijadala inaendelea hapa jukwaani juu ya Hali za maisha ya walimu. Ni kweli walimu tuna maisha magumu, kwa pamoja tumelipokea. Ndugu zangu tunaomba ushauri wenu, tufanye biashara Gani ambazo zitatuingizia angalau kiasi Cha shilingi 10000 kama faida. Natumaini...
  19. B

    Msaada tafadhali: Kisaikolojia nahisi mimi kumtongoza mwanamke ni kama najishusha, na najidhalilisha.

    Sijui hii hali kama kuna wengine Ishawahi wakuta, Umri wangu Niko kwenye late 20's miaka ya nyuma nilikua tongoza tongoza, aisee lakini sasa sijui nimekuaje, kama mwaka uliopita nimetongoza mdada mmoja tu, the whole year. Mimi sio domo zege, sina stress kubwa/msongo wa mawazo, sina aibu ya...
  20. Kama Eng Hersi alidiriki kuvaa jezi ya Kaizer chief kwenye mechi muhimu dhidi ya Simba, Mimi ni nani niitakie heri Yanga? Njoo hapa tuiombee mabaya ke

    siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani... Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs.. Kesho FT USM Alger 3 young Africans 0 Na Kila mtu aseme ameen
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…