mimi

  1. Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

    Habari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa. Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata...
  2. Bandari ni mali ya umma, wananchi tuna haki ya kuhoji

    Kwenye group Moja hivi member mmoja amenihoji naongea sana kuhusu Bandari kwani ni yangu? Kwa kweli nimechukia sana. Nina hasira sana naomba kushusha hasira zangu hapa. Jamani kitu ambacho hamjui Bandari ni mali ya umma maana yake umma ni Mimi na wewe ndio umma. Kwahiyo Tukihoji Maslahi ya...
  3. R

    Mafundi wa ujenzi wa nyumba njooni mnipe mawazo na mimi niwape kazi

    Habari, Kama nina nyumba ya kawaida tu siyo ghorofa na sitaki kuibomoa ila mahali hapo hapo nataka juu ya nyumba hii nijenge nyumba nyingine ambayo haitategemezwa na nyumba hii ya zamani kiasi hata hii ya chini ikichakaa sana na kubomoka ile ya juu itasimama bado. Watalaamu wa ujenzi nijuzeni...
  4. Kwanini pamoja na Mimi kuwa ni mwana Simba SC, ila namtakia Kila la Kheri Mwamba Fiston Mayele huko alikoenda Pyramid FC?

    1. Alizaliwa kuwa ni Mfungaji mahiri na siyo Mshambuliaji kama wengi walioko. 2. Amekuwa ni Alama tukuka ya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania hasa kwa Ushangiliaji wake wenye Mvuto na wa Kibabe ( Kishujaa ) kabisa. 3. Amesaidia kwa 85% kuifanya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania kuwa na Mvuto na...
  5. SoC03 Mimi ni tunu ya taifa la kesho

    MIMI NI NANI? Naishi maisha katika giza kila nifanyalo haliendi likienda sifikii malengo niliyojiwekea MIMI NI NANI? Marafiki wananipoteza sioni ubaya katika wema kila ninaloishi leo ni katika kufurahisha watu ilihali mambo yangu hayaendi MIMI NI NANI? Nilienda chuo kusoma kitu...
  6. Hi, mimi ni mgeni, mnipokee

    Habari ndg, jamaa na marafiki, nitakuwa Rayns kwa humu, naombeni mnipokee kama member mwenzenu, nitafurahi mkinielekeza pia namna ya kuishi humu, kuna watu pia na wafahamu kwa taswira ya kufikiria na majina wanayotumia nawasilisha. ㄏRayn Raynsㄏ
  7. M

    Leo nimefukuzwa duka moja Kariakoo na mwenye duka mwenyewe kasema mimi namchunguza

    Hellow members,leo jioni angu haijawa powa sana baada ya kufukuzwa na mwanamama mmoja mmiliki wa duka la viungo pale kariakoo akidai kuwa mimi namchunguza. Ilikuwa hivi mida ya saa saba mchana leo kuna mteja wangu mmoja hivi kutoka mkoa x kanipigia kuwa anataka viungo vifuatavyo kwa bei ya...
  8. Mimi Ndiye Mshamba au ni Kwamba sifuatilii mambo ya Miziki?

    Aisee sikuwahi kujua kama wimbo wa Maria ulioimbwa na mwanamuziki Fally Ipupa umetoka miaka 4 iliyopita,mimi nilipousikia mwaka huu na ulipovuma sana nikadhani ni wimbo mpya kumbe ushakula chumvi za kutosha. Ni kitu gani kimefanya huu wimbo mwaka huu umekuwa na umaarufu mkubwa kiasi kwamba watu...
  9. Sitafanya utetezi wa mkataba mbovu kwa nchi yangu kisa mimi ni Muislam

    TUENDELEE KUJADILI MAPUNGUFU YA MKATABA. Baina ya Tanzania na Dubai wa uwekezaji wa Kampuni ya DPW katika bandari zetu zote. Tusitolewe kwenye mstari na kukubali Kujadili Udini. Naomba nitumie muda huu kuwakumbusha Watanzania na watu wengine Duniani kuwa ni jukumu la Muislam kujenga...
  10. M

    WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

    Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada. Mimi nina umri wa miaka 35 kwa sasa nina watoto 3. Nimeoa na nina mke nimezaanae watoto 2. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na dada mmoja chuoni. Mama yake sikumuoa nilioa mwanamke mwingine ila mtoto...
  11. Kusema Rais anashauriwa vibaya ni kujaribu kueleza kuwa Rais hana akili; naona ni ukosoaji wa kinafiki

    Kwema Wakuu! Hakuna Jambo ambalo linanikera kama kumsikia MTU akisema Rais anashauriwa vibaya na washauri wake. Watu wengi wanaosema hivyo ni Watu wasioweza kueleza mambo bayana. Ni Watu wakupindisha pindisha maneno. Wasioweza kutamka nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Rais kama kakosea...
  12. E

    SoC03 Ngoja mimi niendelee kuozea gerezani

    Nakumbuka kipindi chote cha miaka kumi na mitano,nilipokuwa miongoni mwa wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,miswada mingi ya sheria ilipokuwa ikiletwa bungeni tena mingine kwa hati ya dharura, sikutaka kabisa kujihangaisha kuipitia kwa umakini kabla sijashiriki kuipitisha...
  13. Funguka, Weka hapa mkasa wako uliojutia kumuazima rafiki yako chumba / geto lako, Mimi yalinikuta haya, wewe je?

    Kwakweli hiki kitu kiliniuma sana, nilimuazma geto rafik yangu ili AZAGAMUE, nyie acheni tu, nilijifunza kuanzia siku iyo mpaka leo chumba changu ni Madhahu, Takatifu siwezi kuazima mtu. Niliwahi kumuazima rafiki Geto, saa 12 jioni alinirudishia funguo mwenyewe, narudi saa mbili geto namkuta...
  14. Kwangu Mimi Makabi Lilepo ni bora maradufu ya Louis Miquissone aliyechoka na asiye na jipya tena

    Nimesikitika sana kusikia kuwa ni kweli aliyewahi kuwa Mchezaji wetu Louis Miquissone anarejea Simba SC. Mwaka jana Novemba na mwaka huu March kuna Kiongozi Mwandamizi wa Simba SC alienda Kumfuatilia na majibu yake GENTAMYCINE niliyasikia yakisema. "Hakuna Mchezaji tena pale na kama Tajiri...
  15. Nilimfukuzia Kwa miezi saba kanitolea nje leo kanipigia anasema hataki uhusiano na Mimi ila ijumaa hii nimpleke live band!

    Wanabodi, baada ya kuandika ule uzi wangu wa "Maisha yangu baada ya miaka 37" wengi walinishauri niache nyumba ya laki tatu nikapange ya bei nafuu ili nitoboe. Kweli nimehamia nyumba ya laki na nusu wapangaji tupo sita ndani ya geti. Ni uswahilini fulani ukitoka nje ya geti unakutana na mihogo...
  16. Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

    Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana. Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana...
  17. Hayati Magufuli: Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa

    "Unapoona Wananchi wanashangaa shangaa sana, hawakuzoea ninayoyafanya, walijua nitakuwa sehemu ya wezi, NEVER, sio Mimi. Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa, ninasema hapana" Hayati Rais John Pombe Magufuli.
  18. Nipeni muongozo mimi ni mkristo nataka kuongeza mke wa pili

    Habarini? Yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game 🎮 hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo likapita,mgogoro umefika mpaka kwa wazee wa kanisa lakini hakuna solution ,juzi niliforce tena akaenda...
  19. Balozi Dkt. Slaa: Hata mimi nimetishiwa, na hata Ubalozi wakitaka wauchukue

    Dkt. Slaa amesema vitisho vya wanaokosoa mkataba sio tu kwa wanasheria, bali hata yeye amepokea vitisho kutokana na kukosoa yanayoendelea kwenye mkataba wa bandari. Amesema hivi karibuni kuwa walimwambia hata Ubalozi wake watauchukua, ambapo bila kuonesha woga Slaa amesema wauchukue tu Ubalozi...
  20. Nashindwa kuelewa kabisa, sijui hii hali inatokea kwangu pekee au nanyi pia inawatokea!

    Yani mambo yanakwenda kasi sana,toka Magufuli amefariki ni miaka 2 but pamoja na kuwa kwangu Serikali mtu akinishitukiza nitaje majina ya watu hawa au niwatambue kwa sura nitashiwndwa kabisa. 1.Mkuu wa majeshi 2.IGP 3. DG wa TISS 4. Mkuu wa TAKUKURU 5. Mwanasheria Mkuu wa Serikali 6...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…