mimi

  1. Haya yanayoendelea Nchini ya mauaji,utekaji,wizi, ubadhirifu pamoja ujinga wot uliopo sasa, hata mimi ningekuwa DR.NCHIMBI lazima ningeshukia njiani.

    Ukikusanya maujinga ujinga yote yaliopo ndani ya serikali hii ya huyu mama kwa sasa ukajumlisha na ujinga wa hawa wakina makonda na machawa wenzao wanao pita pita huko kujisafisha kwa wananchi wajinga wenye uelewa mdogo, ilikuwa ngumu sana kwa mtu smart kama Dr.Nchimbi kuendelea kufanya kazi...
  2. O

    WATAALAMU WA BEAT MBONA MIMI NAHISI NYIMBO NYINGI ZA SOUTH HASA AMAPOANO NA KWAITO HAZINA SAUTI NZURI YA WAIMBAJI KATIKA USIKIVU KAMA BONGOFLEVA

    je hii ni shida au ndo maamuzi yao wazalishaji wa nyimbo hizo maana unakuta jitu linacheza club ukiliuliza ni kinaimba. Nlasambaa, nakasolembwaa x2 kah yaani sauti iko chini biti kuliko bongofleva atleast inakuwa juu ya biti au ni style sio kwamba wanakosea
  3. Mitandao ya kijamii ni ajabu sana. Mtu mmoja anadai wazazi wanalingana kwa umuhimu. Kwangu Mimi Nooo

    Hapana Kwa kifupi wapo waliotendewa wema na Mama zao na wapo waliotendewa ubaya na haohao mama zao. Lakini asilimia kubwa baba wengi tumewatendea ubaya wake zetu, kitendo kilichotengeza chukizo kwa watoto. Kwa watoto kivipi. Wengi tunasingizia mama kuwalisha watoto machukizo. Lkn tunasahau...
  4. Mimi nimewaza nimeona shetani ni scam

    Shetani hayupo wala hakuna kitu kama hicho watu walitafuta sehemu ya kujifichiaa. Ooh ni shetani tuu hakuna kitu
  5. HIZI BEI ZA MBOLEA MIMI KAMA MKULIMA HAZINIHUSU?

    habari za weekend wanna jf wote. wiki hii mwishoni nimetembelea maduka ya pembejeo za kilimo karibu yote yanayopatikana sumbawanga mjini. Lengo langu ilikuwa ni kujua bei halisi ya mbolea hasa DAP na nyingine; bei zao kwa maduka Saba kati ya kumi niliyotembelea bei ya mfuko wa mbolea ya DAP...
  6. J

    Mimi Muislam, najiuliza, Waislam tuwaunge mkono Saudi Arabia ama Houthis?

    Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa...
  7. A

    Malalamiko kuhusu dai la faini kwa abiria wa SGR

    Leo, Oktoba 10, 2026, mimi na ndugu yangu tulisafiri kwa treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro, katika behewa namba 14, siti namba 41 na 42. Wakati wa kukata tiketi, tulifanya makosa kwa kukata tiketi mbili zenye jina moja. Hata hivyo, tulifanikiwa kutatua changamoto hiyo na kupanda...
  8. L

    Sina Huruma na CHADEMA Mimi. Kila Baya Liwe Juu Yao. Siwapendi Kwa sababu ya Matusi yao kwa Rais wangu

    Ndugu zangu Watanzania, Huruma siyo Malezi,sina huruma na CHADEMA Mimi wala sina nachowaombea kizuri chochote kile. Kila Baya Liwe juu yao . Wapitiage mabaya tu na kukutana na mabaya tu na kila aina ya Dhoruba itakayo wapa msongo wa mawazo na mateso ya akili . CHADEMA wasipate amani ya moyo...
  9. K

    ✍️ MTAZAMO: Mimi ni Muumini wa Maandamano, lakini Sitakuwa "Chambo" cha Wanaharakati Njaa

    Tunapoelekea kutimiza mwaka mmoja tangu tuondokowe na mashujaa wetu tunatakiwa kutathmini makundi haya ya wanaharakati wa mitandaoni. Kama raia ninayeamini katika mabadiliko, haki, na uwajibikaji, siku zote nitakuwa tayari kuunga mkono sauti yoyote halali inayopaza sauti dhidi ya changamoto za...
  10. M

    HOJA Tulipiga kelele za wezi kuzuia tukio lililoonekana ni la utekaji, nashangaa tumeitwa Polisi kwa ajili ya tukio hilo

    Jumamosi, katika eneo la Manzese, karibu na kibanda changu cha chipsi, kulitokea tukio ambalo lilitutia wasiwasi sisi tuliokuwa eneo hilo. Kulikuwa na bodaboda mmoja aliyesimamishwa na watu waliokuwa kwenye gari aina ya Noah. Mwanzoni, sisi tuliokuwa pale kijiweni hatukuhisi kwamba kuna jambo...
  11. MODERATOR NI HESHIMUNI SANA ....🤟🙏🙏 MIMI NI MIMI ⁉️

    TAARIFA KWA WANACHAMA WA JF Nimeona ni vyema kuweka jambo hili wazi. Mimi siungi mkono upande wowote wala sina ugomvi binafsi na mwanachama yeyote hapa JF. Mimi ni mimi, sina mtu mwingine nyuma yangu, wala sina ID nyingine za kujificha. Nimejiunga na JamiiForums kwa lengo la kujifunza...
  12. Nyie watu wenye nongwa na mimi mnajisumbua tu

    Kuna level ya Uoga na kujali maneno ya watu nilisha ivuka, so kama mnadhani hizi nyuzi zenu za kimkakati wa kunipakazia ujinga humu jukwaani zitanitoa mchezoni mnajidanganya sana Naona mnakazana sana, ila tambueni yaani ndo mnanifanya nione kazi ya kuwanyoosha inazaa matunda maana vilio...
  13. Mimi kama Gengis hii ndio misimamo yangu hapa Jf

    Mzuka wana jamvi ? Wanadamu tonatofautiana mitizamo na misimamo , Mimi kama 'Gengis ' katika maisha yangu ya hapa jukwaani nina Misimamo ifuatayo ; 1. Siwezi kuwa na multiple ID . Kwangu naona ni udhaifu na uwoga kivipi mtu ujifiche kwenye vichaka tofauti hauwezi kuFace uhalisia kujiamini...
  14. Binti yangu hakutaka kuwa atheist kama mimi

    Aliniomba nimchagulie dini bora , nikapendeza awe binti wa kiislamu kama bibi yake zamani hizo , sikupenda awe mchristo kama mimi japo now sina dini yeyote 🤣
  15. Mimi kama atheist 🤔

    Mimi siamini Mungu kabisa wala simtaki kwenye maisha yangu, mimi nimezaliwa kama mkatholic nimesoma marangu kama mlutheri,. Katika ukristo bora ulio nipa nafasi ya kusoma nakujua dini zote ni wa Lutheran baba wa wa protestant 🤔 Asili yangu kwa mama ni mpalestina na baba ni mmatumbi...
  16. J

    Natafuta kibarua au kazi Geita mimi ni wakike

    Jamani maisha magumu mwenye connection au kazi au kibarua kwa geita au Mwanza pls nahitaji
  17. R

    Mjumbe hauawi, ni Mwamba Heche na si mimi

  18. O

    NIAMINI MIMI

    INASIKITISHA SANA WENGI WANAJUA NI KUSAFISHA MIJI ILA UKWELI NI KWAMBA WANAOGOPA MAANDAMANO. SUBIRI IVUKE HII 29 OCTOBER VIZURI WATU WQTAANZA KIREJEA KWENYE MAENEO QALIYO JIPANGIAGA MPAKA WANAJAA UPYA.
  19. K

    Kama Ulimwengu Jenerali Kasema mimi ni nani kubisha?

    Katika ulimwengu wa habari, sheria, na uchambuzi wa kina nchini Tanzania, jina la Jenerali Ulimwengu halihitaji utambulisho. Ni gwiji na sauti ya hekima inayotazama mambo kwa jicho la mbali sana. Hivi karibuni, katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Habari Duniani (IDUAI)...
  20. (video) TUNDU LISSU : "Nyie watanzania Mimi nipo gerezani nasikia Dr. Emmanuel Nchimbi haonekani yupo wapi"

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…