milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. Hoteli ya Mapito Safari Camp, Serengeti, kulala Usiku mmoja ni Milioni 4.5 hadi Milioni 7. Nani mmiliki?

    Inadaiwa inamilikiwa na Mtanzania Patel. Lakini nimeongea na Mwarabu rafiki yangu, nilimuuliza kwanini Tangu Januari 2026 hii hotel inapokea Watu wengi kutoka Uarabuni hasa Oman? Gharama ya kulala pale usiku mmoja, inaanzia milioni 4 hadi Milioni 7 na kuendelea kutegemeana na Msimu. Akanijibu...
  2. Namna Milioni 100 ‘kuwalipa watoa taarifa’ za uhalifu nchini malawi zitakavyotumika

    Kielelezo cha kula kwa ufupi wa kamba Sample bajeti Idadi ya mikoa 5 Idadi ya wanufaika kwa mikoa yote ni 100 Viongozi 15 @200,000 = 3,000,000/= Wasaidizi 50 @100,000 = 5,000,000/= Vidampa 50 @50,000 = 2,500,000/= 500,090 logistics jumla kuu 11,000,000/= Kielelezo cha kula kwa urefu wa kamba...
  3. Milioni 3 za mazishi yako zitapatikana haraka kuliko laki 3 za matibabu yako

    Milion Tatu za Maandalizi ya Mazishi Yako Zitapatikana Kwa Haraka Kuliko Laki Tatu za Mchango wa Matibu Yako. Jamii ya Leo Kuna Ndugu Yao Anaweza Kua Anapitia Kipindi Kigumu Sana Katika Matibabu Yake na Kupelekea Kuomba Msaada wa Pesa Ili Aendelee Kupata Matibabu Ajabu Ndugu Hao Watashindwa...
  4. Tumetenga milioni mia kwa ajili ya kuhamasisha Amani ,Ahsante Raisi wetu kwa kuliona hili hitaji la kila mmoja .

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali imetenga Shilingi milioni 100 kwa ajili ya kuwazawadia wananchi watakaotoa taarifa sahihi zitakazosaidia kubaini na kuzuia vitendo vya uvunjifu wa amani nchini. Amesema hatua hiyo inalenga kuimarisha ushirikiano kati ya...
  5. Prof.Mbarawa: Bandari ya Dar yavunja rekodi Kwa Kuhudumia mzigo wa Tani Milioni 30.Atoa kongole nyingi Kwa DP World.

    Bila uwekezaji wa DP World hii volume ingekuwa ndoto maana target ilikuwa kuhudumia Tani mil.30 by 2030 lakini target imefikiwa miaka 4 kabla . Kwa sasa Bandari ya Dar ni Kimbilio sio njia mbadala Mombasa ikifeli. Haya Sasa ndio maamuzi ya Tija Kwa Nchi, Serikali ingesikiliza zile kelele za...
  6. Operation Kisiwani Gana: DC Ngubiagai na Mbua wasema wamefutilia mbali nyavu haramu za shilingi Milioni 73

    Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Cde. Christopher Ngubiagai, ameongoza operesheni ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya shilingi milioni 73,615,000. Shughuli hiyo ilifanyika mnamo Juni 18, 2026, katika Kisiwa cha Gana kilichopo Kijiji cha Kamasi, Kata ya Ilangala, ikiwa ni sehemu ya...
  7. M

    Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Siku zote jambo usilolijua ni usiku wa Giza, sikuwahi amini Wala sikuwahi kuelewa kitu kinaitwa URAIBU , ila sasa nimejua kwa vitendo Nini maana ya URAIBU Nilikua nikisikia neno KAMARI , lakini sikujua kama Kuna siku nitakua MRAIBU WA kamari. Nimeshuhudia kwenye maisha yangu kwa vitendo ...
  8. Hili la msaada wa milioni 900 za DIPD kwa Chadema ni kashfa kubwa isiyofunikika

    Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za kisiasa.ni aibu kubwa sana. Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi...
  9. Mnyika: Hapi analeta propaganda, milioni 900 zilikuwa za mafunzo

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amekanusha vikali madai kuwa Shilingi Milioni 900 zilizotolewa na wafadhili zitatumika kufadhili maandamano ya mwezi ujao, akisisitiza kuwa kauli hizo ni propaganda za uongo zinazosambazwa na kada wa CCM, Ally Hapi. Mnyika ametoa ufafanuzi huo leo Jumatano...
  10. Sakata la Milioni 800 za Wananchi: Kilio Chaibuka Ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi Kusuasua, IGP Aombwa Kuingilia Kati

    Kwa heshima kubwa, tunaiomba Serikali kupitia Jeshi la Polisi Tanzania na hasa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuchukua hatua za haraka kuhusu malalamiko yanayoendelea kujitokeza juu ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Wananchi wa Itumbi pamoja na...
  11. Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe: Milioni 10 itatumika kuboresha madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi

    Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imetoa ufafanuzi kuhusu uchakavu wa madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi iliyopo Kata ya Kyimo kwa kueleza kuwa kuna kiasi cha Tsh. Milioni 10 kimetengwa kwaajili ya maboresho. Hatua hiyo inakuja baada ya Mwananchi kuhoji kupitia JamiiForums.com kuwa...
  12. Inauzwa, Goba maghorofani,bei milioni 570m

    FOR SALE Price Tsh 570m Sqmt 900 full title deed GOBA MAGHOROFANI 4bedrooms Karibu na lami Mtaa Mzuri Sanaa 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #houseforsale #realestate #goba #daressalaam #tanzaniatiktok
  13. Manispaa ya Kibaha yatoa Tsh. Milioni 991.5 kwa Makundi Maalum

    KIBAHA, Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi milioni 991.5 kwa vikundi 51 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2025/2026, hatua inayolenga kuongeza fursa za kiuchumi, kupanua biashara na kupunguza umaskini kwa...
  14. A

    HOJA Nimetapeliwa Milioni 5 na Tapeli wa Forex, watu wajihadhari. Mamlaka zichukue hatua

    Kuna tatizo la watu hawa wanaojifanya matajiri kupitia Forex na kuigiza maisha ya kifahari? Ukweli ni kwamba kuna mmoja alituaminisha sana. Mimi na rafiki yangu tukachanga shilingi milioni 5 na kumtumia, tukisubiri faida kama alivyotuahidi. Baadaye akaunti yake ya Instagram ikatoweka ghafla...
  15. Ushauri wako ni hatua kwangu Biashara gani ya kimkakati kwa mtaji wa Milioni 30

    Habari za muda huu waheshimiwa, Salam. Kabla ya yote, nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa maoni mtakayokwenda kuandika hapa, nami nitayachakata kwa uhalisia. Asante sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina kiasi cha Tsh Milioni 30,000,000 ambacho kiko tayari kwa ajili ya...
  16. FIFA imeidhinisha mgao wa Tsh. Trilioni 1.9, kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutolewa katika historia ya mashindano hayo

    FIFA World Cup 2026 imeidhinisha mgawanyo wa fedha wa dola milioni 727 (Tsh. Trilioni 1.9) kwa ajili ya mashindano hayo, ambao ni mkubwa zaidi katika historia ya michuano hiyo. Kati ya kiasi hicho, dola milioni 655 zitatolewa kama zawadi kwa timu 48 zitakazoshiriki, ikiwa ni ongezeko la...
  17. G

    Huku gharama za maisha zikizidi kupanda, serikali haramu yaipa serengeti boys Tsh Milioni 500.

    Kuna vitu vinasikitisha sana. Watanzania tulifanya makosa sana kuwaacha hawa manyangau wawe wazima 29 Oktoba. Hakuna wanalojali kuhusu wananchi zaidi ya kujiamulia na kuila nchi yetu tu. Fikiria, pamoja na gharama za mafuta kupanda kunakopelekea maisha kuwa magumu, hakuna jitihada zozote...
  18. M

    Rais Samia awazawadia Serengeti Boys, U17 milioni 500

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imetoa zawadi ya sh. milioni 500 kwa Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) kwa kufanikiwa kutinga hatua ya fainali ya mashindano hayo na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa. Dkt. Mwigulu amesema hayo...
  19. M

    Is it worth it kununua Brevis milioni 6 na kuigeuza kutumia mfumo wa gesi kwa mizunguko ya town ?

    Gari ni Brevis Kwa hali ya sasa ilivyo mafuta yapo juu sana, watu wengi wanayauza kwa bei ya kutupa hata milioni 5 lqkini kupata clean kidogo inaweza kuwa milioni 6 Makadirio ya kufunga gesi ni Milioni 2 Makadirio ya Service yanaweza kuwa milioni 1 Kwa hio gharama zote zinakuwa MILIONI 9 Is...
  20. K

    Kampuni ya Amsons Group ya Tanzania inahusishwa kuinunua Oryx kwa Dola Milioni 250

    Kampuni ya Amsons Group yenye makao makuu yake nchini Tanzania, inaripotiwa kuwa katika mazungumzo ya hatua ya juu ya kuinunua kampuni ya Oryx Energies katika dili linalokadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 250 (Zaidi ya shilingi bilioni 650 za Kitanzania), kwa mujibu wa taarifa kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…