milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Operation Kisiwani Gana: DC Ngubiagai na Mbua wasema wamefutilia mbali nyavu haramu za shilingi Milioni 73

    Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Cde. Christopher Ngubiagai, ameongoza operesheni ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya shilingi milioni 73,615,000. Shughuli hiyo ilifanyika mnamo Juni 18, 2026, katika Kisiwa cha Gana kilichopo Kijiji cha Kamasi, Kata ya Ilangala, ikiwa ni sehemu ya...
  2. M

    Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Siku zote jambo usilolijua ni usiku wa Giza, sikuwahi amini Wala sikuwahi kuelewa kitu kinaitwa URAIBU , ila sasa nimejua kwa vitendo Nini maana ya URAIBU Nilikua nikisikia neno KAMARI , lakini sikujua kama Kuna siku nitakua MRAIBU WA kamari. Nimeshuhudia kwenye maisha yangu kwa vitendo ...
  3. funaku

    Hili la msaada wa milioni 900 za DIPD kwa Chadema ni kashfa kubwa isiyofunikika

    Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za kisiasa.ni aibu kubwa sana. Ni heri Kubakia na wazalendo wa C.C.M waliojenga chama chao kwa kushawishi...
  4. Mwanamwana

    Mnyika: Hapi analeta propaganda, milioni 900 zilikuwa za mafunzo

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amekanusha vikali madai kuwa Shilingi Milioni 900 zilizotolewa na wafadhili zitatumika kufadhili maandamano ya mwezi ujao, akisisitiza kuwa kauli hizo ni propaganda za uongo zinazosambazwa na kada wa CCM, Ally Hapi. Mnyika ametoa ufafanuzi huo leo Jumatano...
  5. peno hasegawa

    Sakata la Milioni 800 za Wananchi: Kilio Chaibuka Ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi Kusuasua, IGP Aombwa Kuingilia Kati

    Kwa heshima kubwa, tunaiomba Serikali kupitia Jeshi la Polisi Tanzania na hasa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuchukua hatua za haraka kuhusu malalamiko yanayoendelea kujitokeza juu ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Wananchi wa Itumbi pamoja na...
  6. Roving Journalist

    Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe: Milioni 10 itatumika kuboresha madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi

    Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imetoa ufafanuzi kuhusu uchakavu wa madarasa ya Shule ya Msingi Kibisi iliyopo Kata ya Kyimo kwa kueleza kuwa kuna kiasi cha Tsh. Milioni 10 kimetengwa kwaajili ya maboresho. Hatua hiyo inakuja baada ya Mwananchi kuhoji kupitia JamiiForums.com kuwa...
  7. Dalali_wa_kimataifa

    Inauzwa, Goba maghorofani,bei milioni 570m

    FOR SALE Price Tsh 570m Sqmt 900 full title deed GOBA MAGHOROFANI 4bedrooms Karibu na lami Mtaa Mzuri Sanaa 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #houseforsale #realestate #goba #daressalaam #tanzaniatiktok
  8. DogoWaNjombe

    Manispaa ya Kibaha yatoa Tsh. Milioni 991.5 kwa Makundi Maalum

    KIBAHA, Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi milioni 991.5 kwa vikundi 51 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2025/2026, hatua inayolenga kuongeza fursa za kiuchumi, kupanua biashara na kupunguza umaskini kwa...
  9. A

    HOJA Nimetapeliwa Milioni 5 na Tapeli wa Forex, watu wajihadhari. Mamlaka zichukue hatua

    Kuna tatizo la watu hawa wanaojifanya matajiri kupitia Forex na kuigiza maisha ya kifahari? Ukweli ni kwamba kuna mmoja alituaminisha sana. Mimi na rafiki yangu tukachanga shilingi milioni 5 na kumtumia, tukisubiri faida kama alivyotuahidi. Baadaye akaunti yake ya Instagram ikatoweka ghafla...
  10. Denis Gregory

    Ushauri wako ni hatua kwangu Biashara gani ya kimkakati kwa mtaji wa Milioni 30

    Habari za muda huu waheshimiwa, Salam. Kabla ya yote, nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa maoni mtakayokwenda kuandika hapa, nami nitayachakata kwa uhalisia. Asante sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina kiasi cha Tsh Milioni 30,000,000 ambacho kiko tayari kwa ajili ya...
  11. Waufukweni

    FIFA imeidhinisha mgao wa Tsh. Trilioni 1.9, kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutolewa katika historia ya mashindano hayo

    FIFA World Cup 2026 imeidhinisha mgawanyo wa fedha wa dola milioni 727 (Tsh. Trilioni 1.9) kwa ajili ya mashindano hayo, ambao ni mkubwa zaidi katika historia ya michuano hiyo. Kati ya kiasi hicho, dola milioni 655 zitatolewa kama zawadi kwa timu 48 zitakazoshiriki, ikiwa ni ongezeko la...
  12. G

    Huku gharama za maisha zikizidi kupanda, serikali haramu yaipa serengeti boys Tsh Milioni 500.

    Kuna vitu vinasikitisha sana. Watanzania tulifanya makosa sana kuwaacha hawa manyangau wawe wazima 29 Oktoba. Hakuna wanalojali kuhusu wananchi zaidi ya kujiamulia na kuila nchi yetu tu. Fikiria, pamoja na gharama za mafuta kupanda kunakopelekea maisha kuwa magumu, hakuna jitihada zozote...
  13. M

    Rais Samia awazawadia Serengeti Boys, U17 milioni 500

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imetoa zawadi ya sh. milioni 500 kwa Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) kwa kufanikiwa kutinga hatua ya fainali ya mashindano hayo na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa. Dkt. Mwigulu amesema hayo...
  14. M

    Is it worth it kununua Brevis milioni 6 na kuigeuza kutumia mfumo wa gesi kwa mizunguko ya town ?

    Gari ni Brevis Kwa hali ya sasa ilivyo mafuta yapo juu sana, watu wengi wanayauza kwa bei ya kutupa hata milioni 5 lqkini kupata clean kidogo inaweza kuwa milioni 6 Makadirio ya kufunga gesi ni Milioni 2 Makadirio ya Service yanaweza kuwa milioni 1 Kwa hio gharama zote zinakuwa MILIONI 9 Is...
  15. K

    Kampuni ya Amsons Group ya Tanzania inahusishwa kuinunua Oryx kwa Dola Milioni 250

    Kampuni ya Amsons Group yenye makao makuu yake nchini Tanzania, inaripotiwa kuwa katika mazungumzo ya hatua ya juu ya kuinunua kampuni ya Oryx Energies katika dili linalokadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 250 (Zaidi ya shilingi bilioni 650 za Kitanzania), kwa mujibu wa taarifa kutoka...
  16. M

    Kipato chako kwa mwezi hakizidi Milioni 1, Mafuta kwa siku si chini ya elfu 20, Bro ! endelea kulinda Brand, soon utaanza kula vitumbua na Mo Chungwa

    Ukisikia gari ni liability basi ndio hii Mafuta yamepanda bei, kuna watu wamo matabaka flani ya kiuchumi ambayo bei za mafuta zimewaathiri sana bajeti zao lakini bado wanakaza kulinda brandi Bei za mafuta zimefanya hata wenye ist, Vitz , Premio, n.k. kutumia 20K kila siku, Sasa imagine mtu...
  17. Zack Abdul

    Chadema: Wanachama 403,083 vs. Milioni 7 wa CCM

    Hebu tumalize propaganda na uongo wa Chadema, Hivi chama kilicho moyoni mwa Watanzania 70M ndio hiki chenye wanachama halali LAKI NNE na ELFU TATU NA THEMANINI NA TATU (403,083) kwamjibu wa Database rasmi ya Chadema inayotunza taarifa za wanachama? Peter Msigwa ni mwanachama wa mwisho...
  18. R

    Prof. Mbarawa: Abiria waliotumia usafiri wa anga waliongezeka na kufikia Milioni 6.81

    Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amebaisnisha mafanikio ya sekta ya usafiri wa anga kwa kipindi cha kuanzia Julai 2025 hadi Machi 2026, ikionyesha ukuaji mkubwa wa idadi ya abiria na usafirishaji wa mizigo nchini. Akizungumza bungeni leo Mei 13, 2026, Prof. Mbarawa amebainisha kuwa...
  19. DogoWaNjombe

    Yanga yapigwa faini Sh Milioni 30 kwa kutumia nyumba ya mtu kuwa chumba cha kubadilishia nguo

  20. Roving Journalist

    Festo Sanga: Ndani ya Ligi Kuu Bara kuna Wachezaji wanalipwa Laki 2 wengine wanalipwa Milioni 50

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameshauri Wizara ya michezo kupitia BMT wapitie na wapendekeze kima cha chini cha mishahara ya wachezaji kwenye Ligi mbalimbali nchini hususani Ligi kuu. Amesema "Kuna baadhi ya Wachezaji wanapokea laki 4 , laki 3, Million 1 na wengine wanapokea Milioni 10, 20 hadi...
Back
Top Bottom