mikopo

  1. Kwanini wajasiriamali wanapewa mikopo isiyo na riba, lakini wanafunzi wabebeshwa mizigo ya madeni?

    Serikali kupitia Halmashauri inatoa mikopo kwa ajili ya vikundi vya wajasiriamali na mikopo hiyo haina riba wakati ni kwa ajili ya biashara, maana yake wanufaika wanapata faida, lakini mikopo inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kwa ajili ya wanafunzi (ambao kwa sasa hawana uhakika wa ajira...
  2. A

    KERO Mfuko wa Pembejeo Taifa (AGTF) unachelewesha mikopo kwa waombaji

    Waziri wa kilimo anakila haja ya kukazia macho taasisi ya Mfuko wa pembejeo taifa. Kwa utaratibu wa kuomba mkopo ni lazima uwambatanishe andiko la mradi ambalo linaelezea mpango mkakati wa ombi lako na namna utarejesha mkopo huku ukisema muda wa kuanza mradi na muda wa kurejesha. Sasa kwa...
  3. Kushtaki Kampuni za Mikopo (Microfinance)

    Habari wanaJF? Nimekuwa nikipokea meseji (sms) nyingi sana za Vikampuni vya mikopo mara kwa mara. Yaani kwa siku unaweza kutuniwa msg tatu mpaka tano. Nimewasiliana na hizi Microfinance kwa namba zao zinazotumika kutuma sms wengine wanajibu tutakuondoa wengine wananyamaza kimya. Je! Kuna namna...
  4. Benki ya dunia yarejesha mikopo Uganda, baada ya miaka miwili iliyopita nchi hiyo ilipopitisha sheria dhidi ya watu wa LGBTQ

    Benki ya Dunia imesema inaondoa marufuku ya mikopo kwa Uganda ambayo ilikuwa imeweka miaka miwili iliyopita wakati nchi hiyo ilipopitisha sheria mpya dhidi ya watu wa LGBTQ. Mnamo 2023, Uganda ilipiga kura na kuidhinisha moja ya sheria kali zaidi za kupinga mapenzi ya jinsi moja duniani...
  5. N

    Bilioni 240+ Zatolewa kwa Wananchi Kupitia Mikopo ya asilimia 10– Je, Wewe Umewahi Kunufaika?

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kutoa kipaumbele kwa maendeleo ya wananchi kwa vitendo, hususan kwa kuwainua kiuchumi kupitia mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri isiyo na riba. Mikopo hii imetolewa kwa makundi maalumu ya...
  6. Serikali kupitia bodi ya mikopo kama mmeshindwa kuwahudumia hawa watoto ni bora mkasema ili watafute option nyingine

    Unaenda mwezi wa pili huu wanafunzi ambao wanawaita wanufaika wa HESLB hawajaingiziwa accommodion and meals fund,na isitoshe 90% ya hao walipewa 10 to 40% kwa ajili ya tuition fees hivyo wanategemea meals na accommodation ili wajazie ada. Mpaka sasa wanafunzi wengi wamekwama kulipa ada kwa...
  7. Kulikoni bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Hadi sasa hela za,matumizi ni Dana Dana leo wiki napika ugali then ule uji nilitumia kusongea ugali ndio nafanya mchuzi WATANZANIA wako na mioyo ya huruma msaada jamani
  8. Bodi ya Mikopo yasema changamoto ya mifumo ya Kibenki imechangia 'Boom' kwa Wanavyuo kuchelewa

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mwanafunzi na Mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kudai wamecheleweshewa fedha za kujikimu (Boom) kwa wiki mbili sasa, ufafanuzi umetolewa. Hoja ya awali hii hapa ~ Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu...
  9. Bodi ya mikopo elimu ya juu(HESLB)

    Habari wanajukwaa, Naomba kuuliza kwa anayefahamu kama bodi ya mikopo inatoa mkopo kwa wanafunzi wa shahada ya udhamili(postgraduate students)?
  10. C

    Watumishi wa UMMA kuweni makini na mikopo ya muda mrefu pamoja na baadhi ya taasisi

    Habarini za wakati huu! Kumekuwa na utitiri wa taasisi nyingi za ukopeshaji zikiwalenga watumishi wa umma, wakitumia njia mbalimbali kuwarubuni watumishi kukopa ktk taasisi zao huku wakijinadi kuwa mikopo yao ni ya riba nafuu halafu unapata ndani ya masaa 24. Ingawa sijajua wanatoa wapi...
  11. Wabobevu wa mikopo naomba msaada wenu hapa

    Wakuu heshima yenu. Nipo nafanya process za kukopa mkopo mdogo wa miezi sita tu maana Nina jamu ya chapu hapa. Lakini Cha ajabu naambiwa sifa zangu ni mbaya..... msg hii hapa "Dear customer, you have a negative status in credit bureau. please clear your previous loan to qualify for ......."...
  12. HESLB na NIDA kushirikiana kuwatambua waombaji mikopo kupitia NIN

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) leo Ijumaa Mei 16, 2025, wamefanya kikao na waandishi wa habari katika ofisi za HESLB Kanda ya Mashariki zilizopo Dar es Salaam kwa lengo la kuutarifu umma kuhusu kuanza kushirikiana kuwapatia namba...
  13. Serikali Itaendelea Kutoa Mikopo kwa Vikundi vya Wanawake

    SERIKALI ITAENDELEA KUTOA MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE. Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema serikali kupitia Halmashauri za mkoa wa Mwanza inaendelea kutekeleza jukumu la utoaji wa mikopo kwa vikundi vya wanawake waliokidhi vigezo kwa kuzingatia Sheria, taratibu...
  14. M

    Mwenye uelewa na simu za mikopo

    Wakuu habari yenu Naomba mwenye uelewa wa teknolojia ya namna ya kufanya biashara ya kukopesha simu . Nataka kufanya hii biashara ila nashindwa pa kuanzia. Natanguliza shukran
  15. PreGE2025 Serikali kuanzisha mfuko wa 'Samia Innovation Fund' wenye thamani ya Tsh. bilioni 2.3 kutoa mikopo nafuu kwa wabunifu

    Serikali inatarajia kuanza utekelezaji wa mfuko wa Ubunifu wa Samia “SAMIA Innovation Fund” wenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.3 utakaotoa mikopo nafuu kwa wabunifu kwa lengo la kuendeleza na kubiasharisha ubunifu pamoja na kutoa fursa za ajira kwa watanzania kupitia kazi za ubunifu. Waziri wa...
  16. K

    Ada ya kuomba mkopo wa vyuo, wasipoupata mkopo HESLB muwe mnawarudishia wanafunzi hela zao

    Habari Wana Jamii,Sina maneno Mengi ni hii bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu. Huu ni mwaka wa pili mwanangu anaomba mkopo anakosa!Cha ajabu anapoomba,lazima atoe mchango wa mkopo,ambao unaenda na haurudishwi!Ifikie wakati ukikosa urudishiwe hiyo hela ya maombi au kama unaomba kwa mara...
  17. Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi

    Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi 143 ya utamaduni na sanaa.
  18. Mwanza: Takukuru yaokoa milioni 700 kwenye utoaji wa mikopo ya asilimia kumi

    Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza kwakushirikiana na wadau wa kamati ya uhakiki ya Wilaya ya Nyamagana wameokoa kiasi cha shilingi milioni 700 kwenye mikopo ya vikundi inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa mwaka...
  19. Palamagamba Kabudi: Wasanii wamepatiwa mikopo zaidi ya TSh. 5 Bilioni na Rais Samia

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Rais Samia ameweka mazingira wezeshi kwa Wasanii nchini kwa kuwapa mitaji ya kuboresha kazi zao ambapo katika uongozi wake amefufua mfuko wa Utamaduni na Sanaa uliokuwa umekufa kwa zaidi ya miaka 10 na kipindi...
  20. T

    Mikopo ya mtandaoni: Soma chat za mdaiwa na mdai madeni

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…