mikopo

  1. Waliokosa mikopo elimu juu wapewa matumaini

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha Serikali imesema kuwa wanafunzi waliopunjwa na wale waliokosa mikopo inayotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), wataipata kwa sababu kilichokwamisha ni mfumo. Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Ole...
  2. Awamu ya pili: Wanafunzi 11,378 wa mwaka wa kwanza wapewa mkopo

    Maoni BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa orodha ya awamu ya pili yenye jumla ya wanafunzi 11,378 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya Sh bilioni 35 kwa mwaka wa masomo 2019/20. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru jana...
  3. Bodi ya mikopo imetoa Batch ya pili tayari.

    Wakuu salamu, bodi ya mikopo tayari imetoa majina ya waliopata mkopo awamu ya pili leo ijumaa tarehe 25/10/2019, ili kuona jina lako kama umepata mkopo nenda kwenye akaunti yako uliyoitumia kuombea mkopo utapata majibu kama umepata mkopo awamu ya pili au hujapata.
  4. M

    Wangapi mko tayari kuchangia gharama ya kesi ya kuomba kurekebishwa Sheria ya Mikopo?

    Wadau, Naitwa Fredrick Mboma. Ni Mjasiriamali. Kuna sheria ndogo mpya inayoitwa Microfinance (Non-Deposit Taking Microfinance Service Providers) GOVERNMENT NOTICE NO. 679 Published On 13/9/2019 (nimeiambatanisha) Ni miongoni mwa sheria mbovu kabisa ambazo zimetungwa kusimamia sekta husika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…