mikopo

  1. S

    GE2020 Tundu Lissu kwenye mikutano yako ongelea suala la kurudisha Bunge Live, kurekebisha Makato ya Bodi ya Mikopo na suala zima la Mafao ya Wastaafu

    Kamanda Lissu; nakushauri,pamoja na mambo mengine, usisahau kuongelea mambo hayo matatu yanayogusa na kuumiza wananchi wengi wa nchi kama ulivyozungumzia suala la TRA na wafanyabiashara pamoja na swala la wafanyakazi kutoongezewa mishahara siku ya jana mkoani Morogoro. Awamu hii ya tano...
  2. J

    Nashauri serikali itoe mikopo kwa wahitimu kupitia HESLB

    Habari, Naishauri serikali kupitia bodi ya mikopo HESLB ianze kutoa mikopo kwa wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu. mkopo uwe wa fedha taslimu milioni tano 5,000000/=. Mkopo huo utolewe katika vigezo na mazingira yafuatayo: Kabla ya kuhitimu kila mhitimu atatakiwa kubuni wazo la mradi ambao...
  3. R

    HESLB na uombaji wa mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita

    Nadhani si haki bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuwalipisha/kuwalazimisha wanafunzi kuomba mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita. Point yangu ni kuwa: 1. Kama mtu amefeli, hana sifa za kuomba, kwanini alipe hizo 30,000 Tsh 2. Mkopo una vigezo, mfano Programu.. huwezi kujua...
  4. Utaratibu wa Mikopo midogo midogo kwa Bukoba Mjini- Wakopeshaji

    Nani mwenye kuwajua wakopeshaji Binafsi kwa Kagera? Kiwango kinachoanzia angalau 5m and above Tuwasiliane kuna jambo la joint
  5. HESLB: Hatujapunguza mikopo ya Wanafunzi. Tunatoa fedha za kujikimu kulingana na siku za masomo

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefafanua kuwa inatoa mkopo kwa Wanafunzi kulingana na siku za masomo kwa kila robo ya mwaka wa masomo Imeeleza kuwa kutokana na COVID19 siku za masomo za robo mwaka ya nne ya muhula wa masomo wa 2019/20 ambazo huwa ni 60 zimepungua kwa...
  6. Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha waandamana baada ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kukata pesa zao za kujikimu

    Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu- Arusha wakiandamana usiku huu kuishinikiza Bodi ya Mikopo Nchini HESLB kurejesha kiwango kilichosalia cha 510,000/= kwa mwaka huu wa masomo 2019/2020.
  7. T

    HESLB: Serikali imeanza kulipa Malipo ya robo ya nne ya Mwaka wa Masomo 2019/2020 kwa Wanafunzi 132,119 Jumla ya TZS 66.9 Bilioni

    Kama ilivyo kwenye sheria za bofi ya mikopo, kila mnufaika atapewa kiasi kinachoendana na siku alizokaa chuoni. Hapo awali kabla ya Corona, boom moja ilikuwa 505,000 hadi 520,000 lakini kwa mfumo huu itakuwa pungufu. Je, kama boom limepunguzwa, vipi kuhusu ada na direct cost? Vilipunguzwa...
  8. Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

    Tuusome kwa makini ili tupate mikopo inshallah ====== Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa mfumo wa uombaji wa mkopo kwa njia ya mtandao utakuwa wazi kwa siku 40 kuanzia Jumanne, Julai 21, 2020 hadi...
  9. S

    Wapinzani wakumbusheni Watanzania madhara ya wabunge wa CCM yakiwemo kubariki (makato makubwa ya Bodi ya Mikopo, kuunganisha Mifuko, kikokotoo kipya)

    Wapinzani na wadau wengine kwa ujumla,wakati tunaelekea katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa Raisi wabunge na madiwani,ni vyema mkawakumbusha watanzania madhara ya kuwa na wabunge wengi wa CCM Bungeni hasa ikitokea CCM inaridu tena madarakani Watanzania(baadhi yetu) tunakuwa wapesi...
  10. DENI LA TAIFA: Benki ya dunia yaitahadharisha Tanzania

    Benki ya dunia imeitahadharisha Serikali ya Tanzania juu ya ukubwa wa deni lake lililofikia trillion 47+ kwa rekodi mpaka mwezi Mei mwaka huu. Imetaja japo deni bado ni himilivu lakini Tanzania lazima iwe makini maana linaelekea kutokuhimilika Chanzo: Mwananchi ==== Licha ya Serikali...
  11. BBC: Tanzania kuingia uchumi mdogo wa kati wajipange, misaada na mikopo nafuu yote itakoma na haitapata misaada kama zamani na upendeleo wa kifedha

    Kwa furaha tunayofurahia ndio tujipange kwa sababu maumivu yanayokuja kwa kupanda daraja ni makubwa. 1. Misaada iliyokuwa inapata kama nchi maskini itakatwa 2. Mikopo iliyokuwa inasemwa nafuu itakuwa haipo tena. 3. Mikataba yenye unafuu wa kibiashara itakuwa tofauti ile dhana ya kusaidiwa...
  12. Bodi ya Mikopo ongezeni tozo walau ifike 20%

    Bodi ilianzishwa mwaka 2005 kwa lengo zuri kabisa la CCM ya KIKWETE kusaidia wanyonge. Wakurugenzi wengi walipita, Nyatega ambaye baadaye alitumbuliwa alikuwa mtu mzuri na pia alipata kashfa ya kuweka fedha hizo kwenye FIXED account kabla ya kuwapatia wanafunzi, maandamano hayakuisha na Kikwete...
  13. Huenda wanufaika wa Mikopo ya Elimu ya Juu waliokaa na madeni kwa muda mrefu kupatiwa mwarobaini wake

    Kumekuwa na wimbi la wakwepaji na kibaya zaidi wengine wanajisifu kwa kuweza kuwa mbali na mikono ya loanboard kwa miaka kadhaa Nilichokibaini kwa mkakati inayosukwa wakati huu sidhani kama kutakuwa na mwanya mpana wa kukwepa tena na huenda wanufaika wakwepaji wakasababisha hasira zikahamia kwa...
  14. Value Retention ya bodi ya mikopo ni msiba kwa watoto wa watanzania maskini

    wadau kwa masikitiko makubwa nasema value retension ya 6% ya kila salio baada ya makato ni shida kubwa sana kwanza wanufaika walilazimishwa kulipa asilimia kumi na tano wakakubali bado haitoshi wamewekewa 6% kila baada ya mwaka wa fedha kweli haki iko wapi. watu wa sheria wanajua makubaliano...
  15. Msaada maswala ya Mikopo Elimu ya Juu

    Mimi mwaka 2018 nilimaliza Kidato cha Sita na kuchaguliwa Mwenge University lakini sikuipenda kozi hivyo nilihairisha masomo na mkopo pia nilisitisha. Nliambiwa mwaka 2019 ningepewa mkopo kwa sababu niliuifadhi lakini haikua hivyo, nilipo riport loan board walinizngusha. Je, nikiapply tena...
  16. P

    Gharama ya "Processing fee" inayotozwa na ma-bank hapa nchini kwa waomba mikopo ni Wizi uliohalalishwa kisheria

    Huu ni wizi, hakuna jina zuri la kuita hii tozo Hebu fikiria unaenda kuomba mkopo ambao utaulipa na riba juu tena kubwa tu, pale bank wameajiri ma-afisa mikopo ambao kazi yao ni kutoa elimu na mikopo kwa wahitaji. Ukifika, Unapewa maelezo na form then unaambiwa ufatilie mwenyewe kila document...
  17. Hivi Bodi ya Mikopo itafungua lini dirisha la maombi ya mkopo?

    Mikopo kwa ajili ya wanaosoma shahada za kwanza (degrees) , Maana kuna wahanga wengi (mimi nikiwamo) , tumeacha masomo kwa sababu tumekosa fedha ya kujilipia ada , !! Msaada please kwa anaejua please ili tuandae (important documents) . Maana ule msemo unaosema " MTEGEMEA NDUGUYE UFA...
  18. Benki ya Exim yatangaza msamaha mikopo bil 160/-

    Benki ya Exim imetangaza msamaha wa zaidi ya Sh bilioni 160 wa likizo ya malipo ya mikopo kwa wateja wake wakubwa, wa kati na wadogo waliopo katika sekta zilizoathirika zaidi kiuchumi kutokana na athari za mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (Covid-19)...
  19. N

    Wanachuo wajazana ofisi za Bodi ya Mikopo Dodoma

    Katika hali ya kustaajabisha Leo June 1, 2020 mamia ya wanachuo kutoka vyuo mbalimbali mkoani Dodoma wameonekana wakisotea fedha zao za mkopo "Boom'' Hii imeleta sintofahamu maana Waziri wa Elimu ya Juu Mhe. Ndalichako alinukuliwa siku chache kabla ya vyuo kufunguliwa akisema kwamba mpaka sasa...
  20. NMB, rushwa ya Mikopo itakomeshwa lini?

    NMB ni benki inayoongoza kwa rushwa ya mikopo, yaani afisa mikopo wanataka uwape rushwa ili wa process mkopo wako. Yaani ni benki ya ovyo kabisa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…