mikopo

  1. T

    Mikopo ya mtandaoni: Soma chat za mdaiwa na mdai madeni

  2. PreGE2025 Serikali yajipanga kuongeza mikopo ya wanafunzi wa stashahada

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali imejipanga kuongeza wigo wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati vinavyotoa stashahada lengo ni kuongeza idadi ya wataalamu. Utoaji wa mikopo katika ngazi za stashahada kwa wanafunzi wa ngazi hiyo ya elimu...
  3. Kampuni za mikopo online zimerejea kwa kasi kubwa

    Hawa watu benki kuu iliwaondoa Cha ajabu wamerejea kwa Kasi sana.
  4. Hivi Mikopo ya Hazina kwa Watumishi wa Umma inachukua Muda gani Kupewa?

    Wasalam mabibi na mababu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, Toka mwezi March tarehe 24 kulitoka tangazo la mikopo ya Hazina isiyo na Riba kwa watumishi takriban Halmashauri Nyingi Tu Nchini, Dirisha la kuomba kupitia Hazina Portal liliwekwa mpaka Tarehe 5 April. Baada ya hapo kukawa na...
  5. Riba ya Mikopo ya Tanzania na Kenya

    Katika kujisomea kwangu mambo ya uchumi. Naona sasa ni rahisi kukopa kenya na kuja kuwekeza Tanzania. Riba yao ni nafuu kuliko ya kwetu. Kwa hari hii sisi tutaendela kuwa chini kiuchumi. Serikali na BOT fanyeni mpango mpunguze Riba ili wananchi wakope pesa na wawekeze. What is the CBK base...
  6. Nitoe wito kwa umoja wa mataifa kuiwekea vikwazo serikali ya Tanzania na jeshi la polisi na kusitisha mikopo au misaada yoyote

    Ripoti za ndani ya nchi zisizokuwa na shaka zinaonesha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma katika mamlaka na kuna ukamataji na utekaji wa wale wanaopigania haki na kukemea wizi na rushwa kwa serikali ya Tanzania na kuhamasisha uchaguzi wa haki kuelekea uchaguzi mkuu. Nitoe wito kwa umoja wa...
  7. Bodi ya mikopo

    Havi bodi ya mikopo human wanawakopesha wazazi au watoto. Kwa maoni yangu wazazi ndio wanakopeshwa maana ni wao walitakiwa kuwagharimia watoto wao. Niishauri serikali itafuta namna ya kuwadai wazazi fedha hizo na sio watoto kama wanavyofanya sasa ivi
  8. A

    DOKEZO KERO Halmashauri ya Buchosa toeni mikopo kwa Vikundi vilivyojisajili, mbona mmeishia kutoa kwa Viongozi wenu tu?

    Kuna tatizo kwa Vikundi katika Halmashauri ya Buchosa vina malalamiko kuhusu ile mikopo ya Asilimia 10 kwa vijana, kuna vikundi vimeomba mkopo tangu Julai 2024, hela zilitoka na zikaenda kwa Viongozi wa juu wa Halmashauri lakini upande wa pili wameshindwa kutoa mikopo hiyo kwa vikundi husika...
  9. Serikali kuongeza umri, sifa ya kupata mikopo ya Asilimia 10 ya Halmashauri

    Naibu Waziri ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeongeza umri wa ukomo katika mikopo ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya ndani ya Halmashauri kwa vijana kutoka miaka 35 hadi 45 ili kuweza kufikia vijana wengi zaidi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo wakati wa akijibu...
  10. Ushahidi kuhusu kampuni za mikopo mtandaoni

    Habari wana JF, Ngoja nisonge kwenye mada, kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni nilikumbwa na changamoto iliyohitaji fedha ya haraka. Basi katika pita pita zangu nikaangukia kwenye kampuni za mkopo mtandaoni ambazo ni PesaX pro na Zimacash. Nilikopa na kulipa kwa wakati. Baada ya hapo...
  11. Mbunge Sylvia Sigula: Mifuko ya Mikopo ya Serikali Haijafika kwa Walengwa

    MBUNE SYLVIA SIGULA: MIFUKO YA MIKOPO YA SERIKALI HAIJAFIKA KWA WALENGWA Mbunge wa Viti Maalumu, Mhe. Sylvia Sigula amesema Serikali imefanya kazi kubwa katika kuanzisha mifuko mbalimbali ya kutoa mikopo, lakini asilimia kubwa ya mikopo hiyo haifiki kwa walengwa na asilimia kubwa ya watu hawana...
  12. Zanzibar Inavyonufaika na Mikopo, Misaada na dhamana Kupitia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    SMZ INAVYONUFAIKA NA MIKOPO, MISAADA NA DHAMANA KUPITIA SJMT Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Zanzibar inanufaika na fedha zitolewazo na Wadau wa maendeleo kupitia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT). Mhe. Khamis...
  13. A

    DOKEZO Rushwa katika mchakato wa mikopo ya 10% ya halmashauri mkoani Mbeya

    Kumekuwa na vitendo vya kudai rushwa kunakofanywa na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya ili waweze kupitisha vikundi vya vijana kupata mkopo wa 10% Inayotolewa na halmashauri. Hili jambo lipo katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya hapa mji mdogo wa Mbalizi. Maafisa maendeleo katika...
  14. Tuna mengi ya kujifunza Burkinafaso

    Rais wa Burkinafaso Bwana Ibrahim Traore ameamua kuwaongezea mshahara walimu na madaktari nchini kwake Burkina Faso huku akiwa ameshusha mishahara ya wabunge wa nchini humo. Maoni ya mdau: Yaani kaangalia kaona wabunge wanachukua pesa za bure bila kufanya kazi, hizo pesa bora nikawaongezee...
  15. Mikopo ya awamu ya tano matumizi yanaonekana, Mikopo ya awamu hii ambayo ni mikubwa zaidi imetumikaje?

    Mikopo ya awamu ya Tano; Treni ya kisasa ya SGR Bwawa la umeme la Nyerere (JNHEP) Daraja la Kigogo - Busisi Tanzanite Bridge John Kijazi interchange Mfugale Flyover Ubungo Bus Terminal JK Nyerere international airport Terminal 3 Magufuli city - Dodoma Barabara za Mwendokasi - BRT Ikulu mpya -...
  16. S

    Benki Kuu (BoT) Arusha nani anailinda hii taasisi inayoitwa IVOJ inayotoa mikopo maeneo ya Kilombero!

    Kuna taasisi ipo pale Kilombero jijini Arusha jengo la Summit Centre inaitwa IVOJ inatoa mikopo. Taasisi tajwa ni zaidi ya kausha damu, riba ni kubwa sana, ukichukua Milioni moja unarudisha zaidi ya Milioni moja na laki 8. Mbaya zaidi na kinachodhalilisha wamekusanya kadi za benki za hao wateja...
  17. M

    Kero ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi za afya, Ongezeni mikopo

    ๐’๐š๐ฅ๐š๐ฆ๐ฎ ๐ณ๐š ๐ก๐ž๐ฌ๐ก๐ข๐ฆ๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฃ๐š๐ฆ๐ข๐ข ๐ฐ๐จ๐ญ๐ž ๐•Ž๐•’๐•Ÿ๐•’๐•—๐•ฆ๐•Ÿ๐•ซ๐•š ๐•จ๐•–๐•Ÿ๐•˜๐•š ๐•จ๐•’ ๐•ž๐•จ๐•’๐•œ๐•’ ๐•จ๐•’ ๐•œ๐•จ๐•’๐•Ÿ๐•ซ๐•’, ๐•™๐•’๐•ค๐•’ ๐•จ๐•’๐•๐•– ๐•จ๐•’ ๐•œ๐• ๐•ซ๐•š ๐•ซ๐•’ ๐•’๐•—๐•ช๐•’, ๐•ฅ๐•ฆ๐•Ÿ๐•’๐•ก๐•’๐•ฅ๐•’ ๐•”๐•™๐•’๐•Ÿ๐•˜๐•’๐•ž๐• ๐•ฅ๐•  ๐•œ๐•ฆ๐•“๐•จ๐•’ ๐•œ๐•’๐•ฅ๐•š๐•œ๐•’ ๐•œ๐•ฆ๐•๐•š๐•ก๐•š๐•’ ๐•’๐••๐•’ ๐•ซ๐•–๐•ฅ๐•ฆ. โ„๐•š๐•š ๐•Ÿ๐•š ๐•œ๐•จ๐•’ ๐•ค๐•’๐•“๐•’๐•“๐•ฆ ๐•ž๐•š๐•œ๐• ๐•ก๐•  ๐•ช๐•’ ๐•ค๐•–๐•ฃ๐•š๐•œ๐•’๐•๐•š ๐•™๐•’๐•š๐•ฅ๐• ๐•ค๐•™๐•š ๐•œ๐•ฆ๐•—๐•š๐••๐•š๐•’ ๐•ž๐•’๐•™๐•š๐•ฅ๐•’๐•›๐•š ๐•ช๐• ๐•ฅ๐•– ๐•ช๐•’ ๐•–๐•๐•š๐•ž๐•ฆ. โ„๐•’๐•ฅ๐•’ ๐•ฅ๐•ฆ๐•Ÿ๐•’๐•ก๐• ๐•ก๐• ๐•œ๐•–๐•’ ๐•ก๐• ๐•ค๐•™๐•  (๐•“๐• ๐• ๐•ž), ๐•š๐•Ÿ๐•’๐•œ๐•ฆ๐•จ๐•’ ๐•™๐•’๐•š๐•ฅ๐• ๐•ค๐•™๐•š ๐•œ๐•ฆ๐•ฅ๐•ฆ๐•Ÿ๐•š๐•ค๐•™๐•’ ๐•ž๐•’๐•™๐•š๐•ฅ๐•’๐•›๐•š...
  18. Taasisi za mikopo ESS

    Hivi naruhusiwa kuchukua mkopo kwa taasisi yoyote iliyoko ESS hata kama mkoani kwangu hakuna tawi lao?
  19. Wanufaika mikopo ya asilimia 10 watakiwa kuwa waaminifu kurejesha mikopo hiyo

    Katibu Tawala wa wilaya ya Meatu mkoani Simiyu Bw. Eliasa Mtarawanje amewasisitiza wanufaika wa mikopo ya 10% kuwa waaminifu kwenye kurejesha mikopo hiyo, Mtarawanje amesema hayo leo Machi 16, 2025 alipokutana na vikundi 42 vilivyonufaika na mikopo ikiwa ni katika kutekeleza maono ya Rais Dkt...
  20. Wajasiriamali mnaitwa kuchangamkia mikopo ya asilimia 10

    Wakati wimbi la mikopo ya kausha damu likiendelea kutikisa nchini, wajasiriamali wilayani Serengeti mkoani Mara wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo nafuu ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri. Hayo yamesema na Mwenyekiti Wa UVCCM Mkoa Wa Mara, Mary Joseph wakati akizungumza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ