mifugo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Kamati ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhia kufungwa shughuli za uvuvi Ziwa Tanganyika

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeridhia kupumzishwa kwa shughuli za uvuvi katika Ziwa Tanganyika. Ziwa hilo linatarajiwa kufungwa kutokana na makubaliano ya nchi nne zinazotumia ziwa hilo huku baadhi ya wabunge wakionesha kutoridhika na hatua hiyo.
  2. Ugonjwa gani huu uliowapata kuku?

    Wataalamu naombeni msaada huu ugonjwa naona ni mgeni kwangu vifaranga wanavimba macho na midomo alafu sio kama ile coryza uvimbe wake ni mgumu hautoi chochote ukibinya na sio kwamba hii ni ndui na ni vifaranga wote wa umri huu, msaada please kwa anaeufahamu huenda ni mpya. picha zake hizi👇
  3. N

    USHAURI KWA WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI

    Naomba kutoa ushauri wangu kwa waziri wa Mifugo na Uvuvi kuhusu upungufu wa samaki ziwa victoria , Tanganyika na ziwa Nyasa . 1. Umuhimu wa uvuvi. Kama tunavyofahamu uvuvi ni biashara kubwa sana kwa wakazi wa pembezoni mwa maziwa yote makuu , nchi zingine hadi kwenye mito, Tanzania tuna bahati...
  4. PreGE2025 Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo yaridhishwa kasi ya Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach mkoani Geita ukifikia asilimia 91

    Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach uliopo mkoani Geita umefikia asilimia 91 huku Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikisema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mwalo huo. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Deodatus Mwanyika amesema mkandarasi aliyejenga mwalo huo anastahili kupewa kazi...
  5. Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi aagiza kufuta umilikishaji wa mashamba yanayokodishwa kwa wafugaji kutoka nje ya nchi

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti ameiagiza Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Kufanya tathmini ya mashamba ya Serikali ya mifugo yaliyokodishwa kwa wawekezaji na wakiwabaini waliokodisha mashamba hayo kwa wafugaji kutoka nje ya nchi wavunje Mikataba na kufuta umilikishaji wa...
  6. K

    Tetesi: Biashara ya vyakula vya mifugo

    Wadau mimi ni rai wa tanzania. Naishi ktk mkoa mmoja miongoni mwa mikoa ya tanzania Lengo la kuja katika jukwa hili nikutaka kuomba ushauri maana naamini humu kuna wadau wengi wenye dondo ktk maswala ya biashara. Nina miliki usafiri aina tajwa hapo juu lkn naona km mambo hayaendi kivile nilitaka...
  7. TANROADS Songwe walia mifugo kuharibu barabara

    Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Songwe umeonyesha wasiwasi wake kuhusu uvamizi wa hifadhi za barabara unaofanywa na wafanyabiashara ndogo ndogo (machinga) pamoja na changamoto ya mifugo kupitishwa kwenye barabara, hali inayosababisha uharibifu wa miundombinu hiyo. Taarifa hiyo...
  8. Tulitumia mate kujua mifugo ilipo

    Sasa sijui ilikuwa ni Imani tu au lah! Ukipoteza mifugo hasa porini unaweka mate kwenye kiganga Cha mkono Kisha unayachapa kwa kidole yanaruka yatakaporuka mengi ndo huko huko inaelekea. Ili kuhakikisha unageuka pande mbili mashariki na kaskazini au kusini unarudia kila upande unachapa Mara...
  9. Anahitajika mtu mwenye familia kusimamia mifugo (ng'ombe) Iringa, Malangali kijijini

    Wakuu habari za nyakati hii, nashukuru kwa mliojitokeza kwenye matangazo yangu ya awali ila kwa leo nina uhitaji na mtu wa kusimamia Ng'ombe mkoani Iringa, kijiji cha Malangali, nyumba ya kuishi ipo tayari na chakula kipo pia sharti tu awe ni mtu na familia yake ili wakifika wafanye makazi ya...
  10. R

    Ajira: Anahitajika Dr wa mifugo

    Anahitajika kijana (miaka 22-26) daktari wa mifugo mwenye cheti au diploma kutoka chuo kitachotambulika na serikali kwa ajili ya kusimamia Shamba la mifugo kama Bata, mbuzi, ngo'mbe na ngamia. Shamba lipo mkuranga, kata ya Bupu. Atakayebahatika kupata nafasi anatalazimika kukaa Shambani. Shamba...
  11. K

    DOKEZO Mnada wa Mifugo Bariadi - Simiyu, mapato mengi yanaishia mifukoni mwa Wakusanya Mapato

    Kama kuna sehemu uongozi wa Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Bariadi na vyombo vya kiuchunguzi wanatakiwa kutupia macho sana ni hili eneo la mnada wa mifugo Bariadi, unaopatikana kwenye eneo la Halmashauri ya Mji wa Bariadi, Mtaa unaitwa KIDINDA. Kwenye huu mnada wetu ambao kwa wiki unafanyika mara...
  12. A

    DOKEZO Changamoto ya usimamizi wa michango ya fedha za wanachuo, Chuo cha Mifugo Kikulula

    Chuo cha Mifugo Kikulula kimekuwa na tabia ya kupokea pesa za wanachuo kwa ajili ya bima ya afya lakini usimamizi wake una changamoto kubwa. Mara kadhaa msimamizi anayepewa hilo jukumu amekuwa akila hela za michango, hivyo kuleta usumbufu kwa wahitaji wanapotaka kupatiwa huduma za afya Vile...
  13. Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024. Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji...
  14. G

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo umeongezeka kwa kiasi kikubwa Tanzania chini ya serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024. Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji ya...
  15. A

    KERO Machinjio ya Manispaa ya Moshi hayana hadhi kiafya kwa Mifugo na Wakazi maeneo yanayoizunguka

    Muda mwingi mifugo wanakaa juani. Hakuna kivuli cha kuwakinga na jua, ama eneo maalumu la kulishia. Wanakaa pamoja na kuficha vichwa kwa kujikusanya pamoja, kukwepa makali ya jua. Pia, mfereji wa maji taka toka machinjioni umeziba na upo wazi kwa miaka na miaka. Eneo la kuchinjia halina...
  16. KERO Mifugo inagoma kunywa maji yanayotoka Bwawa la Swaswa (Dodoma) lakini yanatumika kumwagilia mbogamboga

    Dodoma inazidi kukua kwa kasi, baadhi ya vinavyochangia ukuaji huo ni uwepo wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tangu Mwaka 2007 na Serikali kufanya maamuzi ya kuwa Makao Makuu kwa vitendo. Ukuaji huu wa kasi umesababisha ongezeko la mahitaji ya ardhi kwa ajili ya makazi na biashara, huku baadhi ya...
  17. Mwana FA amwakilisha Waziri Abdallah Ulega Kongamano la Utamaduni wa Kiislam mkoani Lindi

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, anayejulikana kama Mwana FA, alikuwa mgeni rasmi kwenye Kongamano la Utamaduni wa Kiislamu lililofanyika jana Oktoba 27 mkoani Lindi, akimuwakilisha Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya...
  18. I

    KWELI ARV's zinatumiwa na baadhi ya wafugaji kunenepesha mifugo

    Nahitaji kufahamu taarifa inayosambaa kwamba dawa za ARV zinatumika kunenepesha mifugo.
  19. TMDA yatoa tahadhari kuhusu taarifa ya Dawa za ARV'S kutumika kunenepesha mifugo

    TAHADHARI YA MATUMIZI HATARI YA DAWA ZA KUFUBAZA MAKALI YA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV'S) KUNENEPESHA MIFUGO 1. Mamlaka imepata taarifa juu ya uwepo wa baadhi ya wafugaji wanaotumia vibaya dawa za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARV's) ili kunenepesha mifugo yao. 2. TMDA inapenda kukemea...
  20. J

    Je, Vyombo vya Dola vimezidiwa na "Genge la Watekaji"?

    Maaskofu wameuliza swali; Je, watekaji wamevizidi nguvu vyombo vya Dola? Kwanza tuangalie watekaji wanamiliki nini? 1. Magari ya kifahari, LAND CRUISER, NISSAN n.k., na plate no. za TANZANIA ambazo wanaweza kuvuka hata mpakani mwa nchi na nchi bila shida. 2. Silaha nzito za kivita wanazoweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…