mifugo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Nchingwea Vijijini wafugaji wanalisha mifugo kwenye shamba, ukiwakataza wanakushambulia

    Huku Nchingwea Vijijini kuna wafugaji wanaingia shambani na kulisha mifugo yao, ukiwakataza wanakushambulia, wameshaua watu kadhaa, watu hawana uhuru na mashamba yao na mazao yanaharibiwa na mifugo. Kwa taarifa za hivi karibuni inadaiwa madiwani wawili na wakulima kadhaa walijikuta wakiwa...
  2. Agro Mifugo

    Team ya Agro Mifugo

    Tunayofuraha kumtambulisha dakitari wa mifugo katika timu yetu ya agro mifugo, Agro Mifugo KILIMO NA UFUGAJI KWA MAENDELEO ENDELEVU Agro Mifugo
  3. Mifugo Planet

    Kabla ya kuanza kufuga,je unajua pa kumpata daktari wa mifugo?

    Wana JF Watu wengi wanapoamua kuanza ufugaji, huanza kwa kutafuta eneo, kujenga mabanda, kununua mifugo na kuandaa chakula. Lakini mara nyingi husahau kujiuliza swali muhimu: Mifugo yangu ikiugua, nitapata wapi msaada wa daktari wa mifugo? Ufugaji una changamoto nyingi za kiafya. Kuku wanaweza...
  4. Agro Mifugo

    Agro mifugo App

    Timu ya Agro Mifugo imezindua rasmi application yao Bora kwa ajili ya wakulima na wafugaji kwa kujua zaidi bonyeza Agro Mifugo
  5. Mkalukungone Mwamba

    Kenya yakabidhi Tanzania mifugo 11 iliyoibwa mpaka wa Ang'ata Barikoi

    Ang'ata Barikoi, Transmara Kusini, Kenya – Naibu Kamishna wa Wilaya ya Transmara Kusini, Stephen Emojong, akishirikiana na Kamanda wa Polisi wa Wilaya hiyo, Enrico Telewa Lyomu, wamekabidhi kwa mamlaka za Tanzania mifugo iliyookolewa na maafisa wa Kenya. Mifugo hiyo inayojumuisha ng'ombe sita...
  6. Mzee makoti

    Wauza pumba za mifugo

    Wakuu hawa wauza pumba ni kama wanafanya utapeli kwetu wafugaji!!! Yaani pumba unaenda kununua unakuta hazina hata chenga chenga! Ni mavumbi tu yasiyo na kitu! Na wengi hawajashtukia ili suala! Sijui Huwa wanazipeta kutoa chenga waziuze pekee.... Bongo Kila kitu usanii tu! Serikali ya kisanii...
  7. Ndagullachrles

    Utamaduni wa jamii ya Maasai wageuka jukwaa la kuimarisha amani na kupambana na wizi wa mifugo Siha

    Kutoka Dawati la Habari ofisi ya RPC kilimanjaro -7/11/2026 Ushirikiano kati ya jamii na Jeshi la Polisi umetajwa kuwa nyenzo muhimu katika kudumisha amani, kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji pamoja na kukabiliana na vitendo vya wizi wa mifugo, hususan katika maeneo yanayotegemea...
  8. Agro Mifugo

    About Agro Mifugo

    ABOUT AGRO MIFUGO Empowering Agriculture Through Technology and Innovation AGRO MIFUGO is an innovative agricultural technology platform designed to connect farmers, livestock keepers, fish farmers, agribusinesses, and agricultural professionals through digital solutions, artificial...
  9. Agro Mifugo

    AGRO MIFUGO GEN Z TALK

    🌾🔥 AGRO MIFUGO GEN Z TALK GEN Z, TUNAWEZA KUBADILISHA KILIMO NA MIFUGO! 🚜🐄 Nani kasema kilimo ni cha wazee? 😎 Kizazi chetu kina teknolojia, ubunifu na nguvu ya kufanya mambo makubwa. Kilimo na ufugaji si shughuli za kujikimu tu — ni biashara, ni fursa, ni future yetu! 💰🌱 Leo tunataka kusikia...
  10. Agro Mifugo

    AGRO MIFUGO ELIMIKA Kitabu cha ufugaji wa kuku

    Habari njema kwa wafugaji wa kuku na wanaotaka kuanza ufugaji wa kuku, Kitabu kipya kimeongezwa, agro mifugo elimika, tunayofuraha kukupa taarifa ya kuwa elimu yote kuhusu ufugaji wa kuku sasa inaipata kupitia AGRO MIFUGO, unaweza kukipata Kitabu hicho kupitia wasiliana na mchapishaji wetu Moja...
  11. Zack Abdul

    Mauzo ya nyama nje ya nchi yaongezeka kutokana na ubora wa mifugo

    Mauzo ya nyama nje ya nchi yameongezeka kwa kasi kutoka tani 1,774 mwaka 2020/21, hadi tani 13,745 mwaka 2023/24 na kufikia takriban tani 15,000 mwaka 2025/26, sawa na ongezeko la zaidi ya mara 8 tangu mwaka 2021. Oman ndiyo soko kubwa zaidi, ikinunua zaidi ya nusu ya nyama inayouzwa nje ya...
  12. Agro Mifugo

    AGRO MIFUGO STORY

    Kutoka kwenye kipaji cha ufundi hadi kuanzisha jukwaa la kidigitali kwa ajili ya Kilimo, Ufugaji na Uvuvi Nyuma ya Agro Mifugo Digital Platform kuna safari ya kijana mwenye kipaji cha ufundi, elimu ya taaluma ya wanyama na ndoto ya kuona teknolojia ikitumika kuleta mageuzi katika kilimo, ufugaji...
  13. Tlaatlaah

    Hivi kwanini Maboga na mbegu zake mijini ni chakula bora, adhimu na cha gharama, lakini vijijini ni chakula cha mifugo tu?

    Ni nini hasa kinafanya na kupelekea maboga na mbegu zake, yasiwe na thamani wala umuhimu sana vijijini na yawe na thamani sana mijini? Na vijijini, ni watu wachache sana hutumia maboga kama chakula, na mbegu za maboga kama miongoni mwa mboga za kula na ugali, mathalani unaweza kuandaliwa ugali...
  14. A

    DOKEZO Uendeshaji wa Shughuli za Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi – Wilaya ya Urambo uchunguzwe

    MALALAMIKO NA OMBI LA UCHUNGUZI YAH: OMBI LA UCHUNGUZI KUHUSU UENDESHAJI WA SHUGHULI ZA IDARA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI – WILAYA YA URAMBO Kwa heshima, Nawasilisha taarifa hii kwa mamlaka husika nikiomba kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kuhusu mwenendo wa kiutawala, matumizi ya...
  15. M

    Inakuwaje mifugo kuwa na bei kubwa hvi

    Short and clear Ipo hivi, ukitoa mambo mengine yote ninayoweza kufanya Kwa ajili ya kujipatia kipato na kuchangamsha akili basi ni ufugaji wa ngombe wa maziwa ,samaki, kuku na samaki na kilimo kiufupi nafurahia Sana kwenda mashambani na kukaa huko,inanisaidia Sana kupunguza stress, uchovu na...
  16. M

    Inakuwaje mifugo kuwa na bei kubwa hvi

    Short and clear Ipo hivi, ukitoa mambo mengine yote ninayoweza kufanya Kwa ajili ya kujipatia kipato na kuchangamsha akili basi ni ufugaji wa ngombe wa maziwa ,samaki, kuku na samaki na kilimo kiufupi nafurahia Sana kwenda mashambani na kukaa huko,inanisaidia Sana kupunguza stress, uchovu na...
  17. H

    Dkt. Mwigulu ahimiza ushirikiano wa kikanda kudhibiti magonjwa ya mifugo

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na FAO, Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH), Umoja wa Afrika, jumuiya za kikanda, na wadu wengine katika kuimarisha uwekezaji na mifumo ya kudhibiti magonjwa ya mifugo kwa lengo la kuchangia kutokomeza Sotoka ifikapo...
  18. Zack Abdul

    Mkakati Mpana Afya ya Mifugo Tanzania

    “Kwa sasa, mkakati wetu hauishii katika utoaji wa chanjo pekee. Tunaimarisha mifumo ya utambuzi na ufuatiliaji wa mifugo, ufuatiliaji wa magonjwa, uchunguzi wa magonjwa katika maabara, pamoja na huduma za mifugo. Kwa maana nyingine, tunawekeza katika kujenga na kuimarisha mifumo madhubuti...
  19. Carlos The Jackal

    Kwanini Ukamate?Utaifishe Mfugo? Uue mfugaji ,kisa Mifugo imeíngia Mbugani kula Nyasi/Majani wakati wa Kiangazi ?.

    Yaan Mfugaji aloingiza Ng'ombe , Mbuzi na Kondoo wake, kula Majani na Nyasi, kuhusu yeye Kuliwa na wanyama wakali atajijua mwenyewe . Kwann sasa Ukamate Mifugo yake?? Utaifishe?? Umuue hata Mfugaji??. Ila inapotokea Tembo kala Mazao ya wakulima, kavamia makazi ya watu ,kaua watu, aaahh hiyo...
  20. H

    Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni nyingine zinazohusiana na mifugo. Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani Simiyu. 📍Itilima - Simiyu. 📅 Septemba 14, 2026.
Back
Top Bottom