mifugo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Tunauza Mashine YAKUCHAKATA CHAKULA CHA MIFUGO YOYE

    KARIBUNI MIFUGO PLUS Mashine ya kutengeneza chakula cha kuku, samaki, na mifugo mbalimbali km, sungura,ngombe, mbuzi ngurue Mashine Zipo chake Pia zipo kwenye Of Baada ya Lak 4 Njoo Oficini Lipia Kwa Bei ya 380 Ujanja Kuwai wateja wangu PIGA SIM 0612323330
  2. M

    Tunauza chopa mashine karibuni mifugo plus

    Karibuni mifugo plus Tunauza chopa mashine ni mashine yakuchakata chakula cha mifugo mifugo yoye zipo kwenye ofa ofa baada ya lak 4 utalipia Bei laki 380 mashine ziko chache sana maboss zangu Piga sim chapu 0612323330
  3. M

    Wavu imara kutoka Mifugo Plus

    Tunauza Wavu kutoka Mifugo Plus Karibuni Sana Tupigie sim number 0612323330 Tukuletee Mpaka ulipo
  4. Usumbufu wa paka mpaka kwenye kitimoto, serikali shughulikieni

    Serikali fanyeni mpango wa kuhasi paka wa Bar ili kuwapunguza, wamekuwa wengi sana mpaka kero, kuna paka leo kaniparua kiwiko cha mkono anataka nimpe kitimoto kwa lazima! hii haikubaliki.
  5. M

    Daktari wa mifugo

    Habari zaa mudaa huu....Mimi ni DAKTARI WA MIFUGO nipo Dar es salaam Kwa mtu atakayehitaji ushauri wa kidaktari karibunii sana,ofisi ipo Tegeta azania ila tunafika popote ulipo.Tunahudumia wanyama wote mbwa,paka,ng'ombee,mbuzi,kuku,kondoo,sungura Kwa mawasiliano:0684918177
  6. Tupeane connection kwenye biashara za mifugo kama ng'ombe na mbuzi

    Wadau hamjambo nyote Wafanya mishe za biashara za mifugo haswa mifugo kama mbuzi na ng'ombe tupeane fursa mbalimbali ziizoko kwenye biashara hio. Na je swali la ziada Yale maduka ya kuuza dawa za mifugo tu hua tunaziitaje? au ndio AGROVET... Na Kama Kuna thread zilishaanzishwa kwa kuelezea...
  7. J

    Mwaka 2020 kwenye Kila Vizazi hai Vya Mifugo 100 Mifugo 27 ilikufa Mwaka 2024 Vifo Vimepungua hadi Mifugo 12 tu,Tunamtaka Samia Tena.

    SASA, KATIKA KILA VIZAZI HAI VYA MIFUGO 100 MIFUGO 12 TU HUFA KUTOKA MIFUGO 27 MWAKA 2020 KUTOKA NA SABABU MBALIMBALI. Rais Samia amepunguza kwa 225% Vifo vya Mifugo vitokanavyo na magonjwa mbalimbali Kwa kuanzisha mipango ya kutoa ruzuku ya mbegu na madawa(chanjo) Kwa Wakulima | Wafugaji...
  8. M

    Namna bora ya kunenepesha, kukuza mifugo na kuifanya iwe na afya bora kwa gharama nafuu

    Mfugaji unatamani kuona mifugo yako ikiwa na afya njema, imara, yenye nguvu na yenye uzalishaji wa Hali ya juu Huku ukitumia gharama nafuu ya chakula ama ulishaji? mifugo plus tumekuletea PROMASS EXTRA PROMASS EXTRA ni protein asilia iliyo Bora zaidi inayo tokana na mazao ya wanyama hasa wa...
  9. Hakuna tena ubabaishaji kwenye utengenezaji wa feed formulas kwa ajili ya mifugo

    Hakuna tena haja ya kutengeneza vyakula vya mifugo usovyojua matokeo yake kwenye ulishaji,mchawi computer,cha msingi unapaswa kujua ingredients zinazotakiwa kwenye utengenezaji wa vyakula vya mifugo,pia ujue viwango vya viini lishen Vya ingridient mojamoja kama...
  10. M

    Huduma bora kwa mifugo yako

    Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya,Leo napenda kuwaletea huduma bora kwa mifugo yako ambayo husaidia kuongeza uzalishaji kwenye shamba lako la mifugo. 🔴HUDUMA ZINAZOTOLEWA: ✅ Uhimilishaji kwa nguruwe ✅ Matibabu ya wanyama ✅ Chanjo ✅ Upasuaji ✅ Ramani za mabanda ✅...
  11. M

    Huduma ya chanjo kwa mifugo yako

    Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya napenda kutoa somo zuri sana kuhusiana na utoaji wa chanjo kwa magonjwa hatari kwa mifugo yako. Kuna aina nyingi za chanjo ambazo tunawapatia mifugo yetu kuepuka hatari ya mlipuko kwenye shamba la mifugo. Kuna aina nyingi za chanjo mfano...
  12. M

    Huduma bora kwa mifugo yako

    👉Habari za muda huu wafugaji, natumaini nyote ni wazima .napenda kuwaletea huduma bora kwa mifugo yako; ✅ Huduma Bora kwa Mifugo: 1. Utoaji wa Dawa za Minyoo (Deworming): - Kuzuia na kutibu minyoo ya ndani na nje. 2. Chanjo (Vaccination): - Kuzuia magonjwa hatari kama chambavu...
  13. Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa mnamo tarehe 16.06.2025 majira ya saa 21.05hrs huko katika Kijiji cha Mwamishari, Kata ya Mwamishari, Tarafa ya Kimali, Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu ilitokea ajali ambayo ilihusisha gari aina ya Scania ambalo lilikuwa...
  14. Natoa huduma ya kutengeneza pellets kwa ajili ya mifugo kama kuku na nguruwe

    Habari za kazi Nina mashine ya kubadilisha chakula cha mifugo cha ungaunga kuwa katika mfumo wa pellets ambazo ufanisi wake unajulikana katika ulishaji wa mifugo,pia huduma ya kuchanganya cha mifugo kuanzia 1000kg kwa saa pia inapatikana kwa kutumia Mixer.Huduma hizi zinapatikana Mbeya japo...
  15. M

    HUDUMA BORA KWA MIFUGO YAKO🐂🦮🐕‍🦺🐖🐓🐔

    Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya.napenda kumshukur mungu kupata nafasi hii kwenu.kwa majina naitwa dr gilliard nimebobea katika masuala ya matibabu ya wanyama.. Leo napenda kuwaletea huduma bora zitolewazo kwa wanyama Kama mbwa, ng'ombe mbuzi, nguruwe,kuku,paka,na kondoo n.k...
  16. Kwa zama hizi tulizopo urithi wa mashamba na mifugo umeshapitwa na wakati , kwa sasa mtoto wako kama hajui teknolojia ataendelea kuwa mtumwa .!

    Dunia ya Leo wanaomiliki bidhaa za kiteknolojia ndo wanamiliki ukwasi. MTU Kama mirradayo , diamond n.k Max Melo Ili uwafikie sijui unabidi ufuge mbuzi wa ngapi na ulime heka ngapi Dunia inashuhudia economic transformation kubwa Sana.
  17. Chanjo ya mifugo kitaifa ni Mei

    CHANJO YA MIFUGO KITAIFA NI MWEZI MEI Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa Kati ya Mwezi Mei na Juni 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ngombe 19,099,100. Aidha Jumla ya...
  18. Askari wanne wa TANAPA washikiliwa kwa tuhuma za kumuua mfugaji aliyengiza mifugo katika hifadhi

    Askari wanne wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Kurwa Igembe anayedaiwa kuingiza mifugo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wilayani Mbarali.
  19. RC Mbeya aagiza kukamatwa wafugaji wote waliolisha mifugo mazao ya Mwananchi, asema mama anunuliwe chakula mwaka mzima

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Zuberi Homera, ameagiza Jeshi la Polisi wilayani Mbarali kuwakamata wafugaji wote wanaodaiwa kuingiza mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima na kuharibu mazao. Dkt. Homera alitoa agizo hilo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Chimala, ikiwa...
  20. Biashara ya AGROVET (KUUZA PEMBEJEO ZA KILIMO NA MIFUGO)

    Habari wa WADAU Naitwa Mr. t Nilikuwa ninawazo la kuanzisha biashara ndogo ya agrovet Kuuza pembejeo za kilimo na mifugo mtaji wangu ni 2.5 m hapo nihela ya mzigo tu. Dhumuni langu Nini. 1.kuna wadau humu wanajua ABC's za izi biashara A)chimbo la bidhaa B)mambo ya vibali ila ningetamani kuanzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…