Wana jukwaa , hawa "Ninja" wapo likizo na sasa naona ni wakati wa sisi wazazi kuwakumbuka walimu na kuombea likizo iishe haraka! Imagine, sisi tunakaa na watoto wetu nyumbani kwa siku chache tu tunaanza kuchoka, walimu wao wanakaa nao karibu kila siku! Sasa naanza kuelewa kwa nini walimu...
ELITE HOME TUITION tumefungua rasmi usajili wa huduma za HOME TUITION kwa likizo hii!
Mzazi, huu ndio wakati sahihi wa kuwekeza kwenye elimu ya mtoto wako. Badala ya kutumia likizo yote kucheza na kutazama televisheni, mpe nafasi ya kujifunza, kukuza vipaji, kuongeza uwezo na kujiandaa kwa...
JANGA JUU YA JANGA: KUFUNGA SHULE MIEZI MIWILI BILA VIBOKO WALA VIPIMA MIMBA NI BOMU LINALOSUBIRI KULIPUKA!
Habari wakuu wa Jukwaa la Elimu na Jamii kwa ujumla,
Kumekuwa na mabadiliko makubwa sana katika sekta yetu ya elimu na malezi ya vijana wetu nchini. Hata hivyo, ukiunganisha matukio matatu...
Ninaomba kuwasilisha suala hili zito la ukiukwaji wa haki za binadamu na sheria za nchi unaoendelea hapa Wilayani Kyela ili liweze kuwafikia viongozi wakuu wa TAKUKURU, Jeshi la Polisi, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, pamoja na watetezi wa haki za binadamu...
Mbinu hii ni mchanganyiko wa ‘Underpass’ + ‘Overpass’ , kupata kitu ninachokiita ‘HYBRID FLYOVER’.
Kwanini mbinu hii inapunguza gharama za ujenzi na muda wa ujenzi kwa 99%
1.) Kwa sababu kifusi kinachochimbwa wakati wa kuandaa ‘Underpass’ ndio hicho hicho kinatumika hapo hapo kutengeneza tuta...
Kocha wa zamani wa Harambee Stars, Benni McCarthy, ameelezea wasiwasi kuhusu kutolipwa kwa mishahara ya benchi la ufundi la timu ya taifa, akisema anaamini FIFA na CAF hatimaye zitaingilia kati suala hilo.
Kocha huyo raia wa Afrika Kusini amesema kuwa yeye pamoja na wasaidizi wake hawajapokea...
Ndugu zangu watanzania,
Kabla Sijaleta Andiko Zuri juu ya Hukumu ya Tundu Lissu hapo Baadaye kidogo ningependa kusema ya kuwa Lissu kaonewa huruma sana na kupewa miaka michache sana Gerezani.
Kwa Sababu kwa kanuni na sheria za vifungo vya wafungwa kwa upande wa Uhesabuji wa miaka inakokotolewa...
Eneo ni Kigamboni soweto. Itapendeza kama utakuwa unakaa maeneo ya karibu na kigamboni soweto. Kazi ni kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa kumi jioni. .
Awe na upendo na uzoefu wa kulea mtoto.
DM for more info
Habari,
Kampuni ya Lalex Industries Ltd inapenda kuwatangazia Nafasi za "INTERNSHIP" kwa Nafasi kama zilivyo kwenye Tangazo lililoambatishwa.
Karibuni sana
Katika mikoa niliyo tembea hapa Tz mbeya ni kiboko...
Ndo maana kuna makanisa mengi sana, wale jamaa ni wachawi vibaya mno.
Baada ya kumaliza chuo nilienda mbeya kujitafta hiyoo ilikuwa mnamo 2021... Nilikuwa na marafiki zangu huko. Tulipata mchongo private sector.
Tukapanga vyumba sehemu...
Takribani tiketi 782,000 zilizonunuliwa kwa ajili ya huduma za treni ya Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) nchini Tanzania hazikutumika kati ya Januari na Septemba 2026, kwa mujibu wa takwimu zilizowasilishwa bungeni.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) liliuza tiketi milioni 7.64 katika...
Mimi ni mkazi wa Kinondo, Mabwepande. Katika eneo langu tumekaribia kutimiza wiki mbili bila maji. Kinachoumiza zaidi ni kwamba bado tunasubiri zamu, halafu hata zamu ikifika baadhi yetu hatupati huduma. DAWASA itueleze: mgao huu una mwisho lini, na maji yatafika lini kwa wale ambao zamu zao...
Wahitimu wa Kozi ya Basic Driving katika chuo cha IFDC kilichopo Ikwiriri, Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani. Chuo hiki kilianzishwa kwa juhudi za Mbunge na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, na kinatambulika na VETA.
Changamoto yangu ni kwamba tangu tumalize kozi hiyo, takribani miezi saba...
Kitendo cha kusubiri NSSF kwa mda wa zaidi ya miezi mitano , unaweza kuingia kwenye mikopo humiza kwasababu ya njaa nililiyopitia. Tuwaheshimu wastaafu wanapitia mengi wakati wa kusubiri hayo mafao mpaka kuyapata. Wastaafu wanateseka sana..
Mnamo mwishoni mwa mwezi Februari 2026, uongozi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Southern Highlands kilichopo Iyela-Mbeya uilitangaza kuwa wanahitaji Madaktari wa upasuaji wa Kinywa na Meno kwa ajili ya kufundisha wanafunzi wa Stashahada ya Utabibu wa Kinywa na Meno (Diploma in Clinical...
Kuna Wafanyakazi wa Shree Hindu Hospital Arusha ambao wamekuwa wakifanya kazi zao kama kawaida lakini wamekaa miezi miwili bila kulipwa mishahara.
Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba wanapoulizia malipo yao, baadhi huambiwa, “kama hutaki kufanya kazi, acha kazi.” Hali hii inawaweka wafanyakazi...
Anonymous
Thread
arusha
bila
hospital
kulipwa
miezimiezi miwili
mshahara
wafanyakazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.