miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Traxtion

    Pwani: Mganga Rashid ahukumiwa kifungo cha miaka 60 kwa kosa la kumlawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Kipolisi Rufiji, imemhukumu Rashid Mussa Mkapunda (38), mganga wa kienyeji na mkazi wa Kitongoji cha Churwi, Kijiji cha Mlaleni, Kata ya Tambani, kifungo cha miaka 60 jela baada ya kupatikana na hatia ya kubaka na kumlawiti mwanafunzi wa kike mwenye umri...
  2. M

    Michael Sanft, wakili aliyemtetea aliyetiwa hatiani kwa mauaji ya Tupac 'Keffe D', amekutwa amefariki

    Michael Sanft, wakili wa utetezi wa Marekani aliyemwakilisha Duane "Keffe D" Davis aliyetiwa hatiani kwa mauaji ya Tupac Shakur, amekutwa amekufa nyumbani kwake huko Las Vegas, Nevada, akiwa na umri wa miaka 55. Chanzo cha kifo chake hakijabainishwa, ingawa ripoti za awali zinaonyesha kuwa...
  3. N

    Jana tarehe 06 Novemba, 2026 saa 9 mchana nimembadilishia mwanangu wa miaka miwili jina la Dunstan

    Yaani nimemshukur Mungu sana kwamba mwanangu Innocent bado ana miaka miwili na hivyo nilivyoanza kumwita Innocent tangu jana na kuliacha jina la Dunstan tayari ameshalipokea na wanafamilia wote wamepokea kwa asilimia 100 uamuzi wangu. Dunstan litabaki kuwa jina baya sana kwangu mimi. Akina...
  4. K

    Miaka minne Jela inalenga nini?

    Itawezesha kuidhoofisha au kuiua kabisa CHADEMA? Itampa Samia ahueni ya kutawala bila ya usumbufu? Itaifanya CCM kubaki madarakani bila ya hofu ya kuondolewa kwa nguvu Kwa bahati mbaya, matamanio yote hayo ni hewa tupu. Ukombozi wa taifa hili hauwezi tena kuvurugwa na kundi la watu waovu...
  5. I

    Kilifi, Kenya: Paul Mackenzie afungwa miaka 200 jela kwa mauaji ya watu 191 - Shakahola

    Mhubiri tata Paul Nthenge Mackenzie amehukumiwa kifungo cha jumla cha miaka 200 gerezani kutokana na mauaji ya watu 191, wakiwemo watoto 190, katika mkasa wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi. Hukumu hiyo imetolewa Ijumaa, Novemba 6, 2026, na Jaji Diana Kavedza wa Mahakama Kuu ya Mombasa. Mahakama...
  6. C

    Mchungaji nchini kenya ahukumiwa kifungo cha miaka 200 kwa kusababisha vifo vya watu 191

    Mahakama nchini Kenya imemhukumu mchungaji Paul Mackenzie kifungo cha miaka 200 jela baada ya kupatikana na hatia ya kusababisha vifo vya watoto 190 na mtu mzima mmoja kupitia ibada ya kufunga kula chakula. Mackenzie amehukumiwa kifungo cha miaka 100 kwa kila moja ya makosa 183 ya kuua kwa njaa...
  7. L

    Kwa kanuni Na Sheria za Magereza Maana Yake Lissu Atakaa Gerezani kwa Miaka 2 na Miezi 6. Soma hapa Ukokotoaji wake

    Ndugu zangu watanzania, Kabla Sijaleta Andiko Zuri juu ya Hukumu ya Tundu Lissu hapo Baadaye kidogo ningependa kusema ya kuwa Lissu kaonewa huruma sana na kupewa miaka michache sana Gerezani. Kwa Sababu kwa kanuni na sheria za vifungo vya wafungwa kwa upande wa Uhesabuji wa miaka inakokotolewa...
  8. The Burning Spear

    Wakikata rufaa tu kesi inaenda miaka 2 mbele halafu hukumu tena ya miaka 4 uchaguzi 2030 anaukosa.

    These things have been planned. Uchochezi hapo sasa na report ya jaji chande na lila zitaletwa mahakamani. Kesi itapelekwa kwa mwendo wa kinyonga lengo kuu uchaguzi 2030 upite CCM ni watu katili sana. NB Rostam alishawahi kusema huwezi kupata haki katika mahakama zetu hizi zinazofuata maelekezo
  9. O

    Msiba Wamkumba Gachagua Tena: Dada Yake Mkubwa Eunice Nyangari Afariki Akiwa na Miaka 77

    Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, ameomboleza kifo cha dada yake mkubwa, Eunice Nyangari Gachagua, aliyefariki Alhamisi, Novemba 5, 2026, akiwa na umri wa miaka 77 katika eneo la Naro Moru, Kaunti ya Nyeri. Katika taarifa ya familia aliyoitoa Ijumaa, Novemba 6, Gachagua alisema...
  10. Ndagullachrles

    Aliyembaka Mwanafunzi wa Kidato cha tatu huko Moshi aenda jela miaka 30

    Kutoka Dawati la Habari ofisi ya RPC kilimanjaro Mahakama ya Wilaya ya Moshi imemhukumu Daniel Samwel Njakava, maarufu kama 'Kelvin', mwenye umri wa miaka 23 na mkazi wa Pasua, kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kumbaka mwanafunzi wa kidato cha tatu mwenye umri wa...
  11. R

    Mwanaharakati wa Demokrasia Hong Kong ahukumiwa miaka 10 jela

    Mwanaharakati maarufu wa demokrasia nchini Hong Kong, Joshua Wong, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela siku ya Alhamisi kwa kosa la kushirikiana na mataifa ya kigeni. Tayari ametumikia karibu miaka sita gerezani, na alitimiza umri wa miaka 30 mwezi uliopita. Kiongozi huyo wa zamani wa...
  12. A

    DOKEZO Wanafunzi wa DIT wa darasa la BT23LS hatujapata mkopo mwaka wa mwisho kutokana na HESLB kutambua tunasoma miaka mitatu badala ya minne

    Wanafunzi wa DIT wa darasa la BT23LS tunakabiliwa na changamoto ya kutopangiwa mikopo kwa mwaka wetu wa mwisho wa masomo (2026/2027). Changamoto hiyo inatokana na tofauti ya muda wa masomo unaotambuliwa na HESLB na ule unaotumika chuoni. Mfumo wa HESLB unatutambua kuwa tunasoma programu ya...
  13. IIT MWASISI OS

    Kuna watu wana mioyo ya chuma! Jamaa amemaliza miaka 28 akitembea kwa miguu duniani kote bila kupanda boti wala ndege

    Alikamatwa Darien Gap, akakutana na Dubu Siberia, kaogelea hadi Uingereza: Huyu ndiye Karl Bushby, mtu mwenye uthubutu mkubwa zaidi duniani! Je, unaweza kuvumilia miaka 28 ukiwa mbali na familia kwa ajili ya ndoto yako? Fahamu kisa cha Karl Bushby, mtu aliyetembea kwa miguu kutoka Chile hadi...
  14. U

    Mhubiri mtata Nigeria, Yahaya Masussuka, aliyepinga hadithi za Mitume mohamed na kusisitiza kuwa quran tukufu inatosha auawa kwa kupigwa risasi

    Mhubiri mtata nchini Nigeria, Yahaya Ibrahim Masussuka, mwenye miaka 47, amepigwa risasi na kuuawa na watu wenye silaha waliomvamia nje ya nyumba yake katika Jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria. Tukio hilo pia liligharimu maisha ya msaidizi wake. Masussuka alijulikana sana kwa msimamo na...
  15. E

    Nini kinapelekea utofauti wa miaka ya kuhitimu shahada ya uuguzi na ukunga Tanzania ikiwa vyombo husika vinaelekeza miaka 4?

    Kwa Tanzania kada ya Uuguzi na Ukunga ngazi ya Shahada(Degree) inasomwa miaka 4 ukiongeza mmoja wa intership,lakini kwa masikitiko ni kwamba kuna baadhi ya vyuo sitavitaja vinatoa iyo shahada kwa miaka 3 wengine miaka 2.5 Ni kwanini Baraza la Uuguzi na Ukunga(TNMC) limeshindwa kusimamia hii sera...
  16. Ex Spy

    CHADEMA shtukeni, kuna mkakati wa kumhukumu Lissu kifungo cha miaka 5, hadi 2031

    Endapo taarifa hizi toka vyanzo vya ndani ni za kweli; basi tuna safari ngumu sana kuelekea mbele. Johari ametoa maelekezo kwa Ndunguru kuwa watumie reference ya Kesi ya Hatibu Gandhi na wenzake (inayojulikana kama Hatibu Gandhi and Others v. Republic, Criminal Appeal No. 3 of 1986) ili...
  17. O

    Waititu Apewa Kifungo cha Miaka 13 au Faini ya KSh21 Milioni Katika Kesi ya Ufisadi wa KSh588 Milioni

    Aliyekuwa Gavana wa Kiambu, Ferdinand Waititu, amehukumiwa kifungo cha miaka 13 gerezani au kulipa faini ya jumla ya KSh21 milioni katika kesi ya ufisadi na utakatishaji fedha za umma zenye thamani ya KSh588 milioni. Hukumu hiyo ilitolewa Jumatatu, Novemba 2, 2026, na Jaji Harrison Barasa wa...
  18. Eli Cohen

    Kwa sisi tuliosoma Haifa tunasema ile press ya Lema ilikuwa ni gear na clutch ya talaka ya ndoa ya miaka mingi. Huko mbeleni atamtambulisha mke mpya

    Nafikiri ngara23 Nyani Ngabu na Mshana Jr wamenielewa
  19. Manyanza

    Miaka mitano iliyopita ulikuwa unaamini nini ambacho leo kimebadili mtazamo wako?

    Kadiri tunavyokua, tunakutana na watu tofauti, tunaingia kwenye mahusiano, tunajenga urafiki, tunapitia changamoto na kujifunza mambo ambayo wakati mwingine hubadilisha kabisa namna tunavyoutazama ulimwengu. Huenda miaka mitano iliyopita uliamini kwamba mapenzi ya kweli yanatosha kudumisha...
  20. Ndagullachrles

    ACP Mwanyasi aongoza maofisa wa polisi K'njaro kutoa pole msiba wa ajuza wa miaka 120

    Habari Kutoka Dawati la habari polisi Kilimanjaro Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Polisi Jamii kwa kushirikiana na Dawati la Jinsia na Ulinzi wa Mtoto, limetembelea familia ya marehemu Elizabeth Yohana Simba na kutoa pole kufuatia kifo chake akiwa na umri wa miaka 120, katika...
Back
Top Bottom