mfupi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Ushauri mfupi na muhimu kwa CCM na Samia

    Nawashauri CCM na Samia kusitisha uchaguzi, kupendekeza iundwe serikali ya mpito ikiongozwa na jaji Warioba, kuwaomba radhi watanzania na kutubia ili mambo yaishe. Mmeshindwa, mmekataliwa na mmeona wenyewe. Shukrani kama mtasikiliza na kuzingatia ushauri huu mfupi na muhimu katika wakati huu...
  2. Winston sigara wamewezaje kukamata soko la bongo ndani ya muda mfupi namna hii?

    Hii kampuni Haina hata miaka SITA sokoni lakini imefanikiwa kuwapoteza wakongwe kama kina sport na embassy na kina safari chap kwa haraka..sawa inawezekana bei ikawa rafiki kwa wengi lakini hata marafiki zangu maboss TU wame switch kutoka sport OG mpaka Winston.
  3. Ebu jaribu kukomenti uchambuzi mfupi mfupi kulingana na hii picha

    Mimi nitaanza: "Rafiki wa kweli ni Nafsi yako"
  4. U

    Je, ni sababu zipi zilizosababisha kampeni ya No Reforms No Election kupungua nguvu na kupoteza mvuto ndani ya kipindi cha muda mfupi ?

    Wajuzi wa sayansi ya siasa karibuni
  5. U

    Sabato imeanza baada ya jua kuzama Leo, ni siku maalumu iliyobarikiwa na Mungu kuliko siku nyingine, Niwaombe mjiweke safi kuipokea na kuiheshimu

    Ni siku bora kuliko siku nyingine ikiwamo siku ya Jumapili na ni kwa mujibu wa maandiko Exodus 20 hivyo usije na ubishi wako. Happy Sabbath all
  6. M

    TBS hamuoni mabati ya rangi yanavyopauka ndani ya muda mfupi? Standard hamna?

    Unanunua bati lililopakwa rangi lakini ndani ya muda mfupi lishapauka vibaya. Sisi wananchi hatuwezi kutambua kwa kuona mabati ya rangi original.Wala bei sio kigezo cha kujua kwamba haya mabati ya rangi ni original au fake. Kampuni zote zikitengeneza mabati ya rangi zinatakiwa zifuate standard...
  7. M

    Leo nimeweza kumwona mmasai mfupi

    Aisee katika pita pita zangu Leo nimemwona mmasai mbili kimo,nahisi hata wale wenye ulamavu wa ngozi wapo pia
  8. Nauza Wazo la Kampeni Litakalokufanya Upendwe na Jimbo Lako Ndani ya Muda Mfupi!

    Najua wagombea wengi wa ubunge kwa sasa wanahaha kutafuta mbinu mpya za kuvutia wananchi na kupata upendo wa kweli katika majimbo yao. Usihangaike tena nina wazo la kipekee, la kisasa na la haraka litakalokuweka mbele ya wote! Unatafuta njia ya kugusa mioyo ya watu na kuwa gumzo kwenye jimbo...
  9. Namna Israel ilivolemaza Iran kwa muda mfupi

    🇮🇱 Uwezo wa Jeshi na Ujasusi wa Israel: Sababu ya Mafanikio Dhidi ya Iran kwa Haraka Iwapo Israel ingeweza kuangamiza uongozi wa kijeshi wa Iran na wanasayansi wa nyuklia ndani ya masaa machache tu, hiyo haingekuwa bahati mbaya bali ni matokeo ya: Miaka ya maandalizi ya kimkakati Uwezo mkubwa...
  10. K

    Utekaji ni biashara tusishangae IGP kuwa Billionea kwa muda mfupi

    Kwa walio onyeshwa account ya IGP ya CRDB yenye zaidi ya billion moja wakati Polisi wenzake wakiwa maskini msishangae. Pesa nyingi sasa zinatumika kwa kubana wapinzani na uhuru. Ili kufanikisha hayo hawa viongozi wa usalama wanamiradi ya kipigaji isiyo na mbele wala nyuma. Kwa ufupi hii...
  11. Wakatoliki Tanzania kwa Uwingi na Ushawishi wao wakiamua Samia na CCM yake ianguke Madarakani ni jambo la muda mfupi tu

    Hata CCM na Samia wake wakisema Waungane na Walutheri, Waanglikana, Wasabato, Walokole (TAG) na Waislamu Shia na Simu bado hawatatimia Idadi Kubwa ya Wakatoliki waliopo nchini Tanzania. Na wenye Akili tunajua kuwa Tanzania Kihistoria ipo chini ya Himaya ya Katoliki (Vatican) hasa Kimaamuzi na...
  12. Uzi mfupi nikimalizia kuhusu aina za Staking kwenye cryptocurrency

    Flexible Staking, hizi huwa faida ndogo na risk ndogo kwa kuwa unaweza kutoa muda wowote unaotaka. Sio lazima uweke kufikia siku zote za plan hiyo ya investment. Locked Stakings, Hizi mara nyingi huwa na faida kubwa na risk kubwa. Katika hizi ukichagua plan ya kuwekeza kwa mwaka 1 basi hutaweza...
  13. R 4 za Samia na ufafanuzi wake mfupi

    Kila siku tunaambwa R nne za rais. Kwanza, sijui kama anazijua vilivyo hata wale waliomzunguka. Pili, sioni zikifanyiwa kazi. Tatu, sioni zikitafsiriwa kupitia elimu ya urais kwa umma. Nne, ni kamba za kawaida za kisiasa aka usanii. Nazo, waweza kuziona hivi japo hawasemi. Reform kwao ni...
  14. PreGE2025 Sasa hakuna tena kikwazo cha Lissu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni suala la muda mfupi sana

    Ni suala la muda mfupi tu hata hawa wanaomtesa Tundu Lissu kama vile Lissu ametia sumu kwenye ziwa Victoria ili watu wote wanaokunywa maji ya ziwa hilo wafe watakuwa upande wake baada ya kuona matendo makuu ya Mungu. Mungu alisema jambo 2017, 2021 lakini watu hawajasikia sauti yake . Atasema...
  15. Mke wa jamaa angu na kijeba kingine wanatoka guest.

    Nipo hapa nje ya guest nimesimama kwakujifucha, mke wa jamaa angu aliingia ndani humu mda mrefu Sana . Saiv ndo anatoka Ila sijui nifanyaje. Ipo hivi ... Toka zamani Sana Me nilikua nimesha amua kuokoka, Yan in short niliamua kua sintokua mtu wa toto's siku zote tukiwa tunakua... Ila jamaa...
  16. R

    Badala ya kutumia *106# kuangalia namba zilizosajilowa kwa NIDA ni bora kutumiwa ujumbe mfupi kila namba mpya inaposajiliwa ili kupunguza wahuni.

    Kumekuwa na michezo ya kusajili line bila idhini ya mwenye kitambulisho, umeenda kusajili laini unaambiwa rudia tena kuweka vidole kumbe nyuma ya pazia kuna namba imesajiliwa bila idhini yako, wehalifu wengine wanaweza kutunza alama za vidole kusajili bila wewe kuweka vidole. Namba hizi...
  17. TANGAZO LA KAZI YA MUDA MFUPI - MWANZA

    Nafasi: Wasaidizi wa Kukusanya Data za Wateja Eneo: Mwanza Mjini Muda wa Kazi: Mwezi Mmoja Mwisho wa Maombi : 27-02-2025 CollectTech Limited inatangaza nafasi za muda kwa vijana wanaoishi Mwanza Mjini kwa ajili ya kazi ya kukusanya data za wateja. Sifa za Mwombaji: • Awe mkazi wa Mwanza...
  18. Nimetoka kumzika mshauri wangu wa afya alieniambia nitakufa muda mfupi kwa kumix energy drink na K Vant

    Habari Wakuu. Binafsi sijaleta mada hapa kama njia ya kutetea watu kuishi maisha yanayohatarisha afya zao. Ila nakumbusha tu kwamba hapa JF kufikia 20100, wote hatutakuwepo pasipo kujali wanaolinda Afya na wasiolinda. Binafsi mimi napenda kuishi katika maisha yanayonipa furaha ila licha ya...
  19. Kupe, mdudu anayeweza kumfilisi mfugaji ndani ya muda mfupi

    Kupe ni wadudu wanaoonekana kuwa ni wadogo lakini wanaweza kusababisha kushuka kwa uchumi wa wafugaji kwa kiwango cha juu endapo hawatadhibitiwa kwa wakati. Pamoja na kuwepo kwa aina mbalimbali za kupe, kupe wa rangi ya kahawia ni wabaya zaidi. Hii ni kwa sababu kupe wanabeba vimelea...
  20. K

    Mkombozi kwa wenye matatizo ya shimo la choo kuja baada ya muda mfupi.

    Mashine unayoiona hapo itakupa suluhisho lakudumu nautasahau kabisa kuhusu tatizo hilo. Kwa maelezo njoo inbox. 0743815045
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…