mfupi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mikopo Consultant

    Inawezekenaje kila anayeongea na 'The Chanzo' amefariki muda mfupi tu? Je, hiki chombo ni 'attachee' wa mfumo??

    Najaribu tu kuwaza kwa kina. Hiki chombo kinaonekana kuwa mkosoaji mkubwa wa utawala ila sijawahi kusikia mahala kwamba wameletewa shida yoyote na serikali. Halafu najiuliza, yale mahojiano na Mzee Alute Mughwai, yamefanyika haijapita wiki mzee akakata moto! Halafu hii ya juzi, wamemuibua yule...
  2. L

    Ndani ya Muda Mfupi Sanaaaa Lissu Kasahaulika ,Pambalu Kapuuuzwa. Vijana wa CHADEMA ni Lazma Wajifunze Kuacha Kufuata Mkumbo na kutumika Kuharibu Nchi

    Ndugu zangu Watanzania, Vijana wa CHADEMA ni lazma wafahamu kuwa usije kufanya vurugu ama kuvunja sheria kwa makusudi kwa kufikiri kuwa Utasaidiwa na mtu ukiingia kwenye Mkono wa sheria. Lazima ufahamu Mchuma Janga hula na wa Kwao. Ukivunja sheria utadonolewa wewe Kama wewe na kufikishwa...
  3. figganigga

    Samia Suluhu akiwa kwenye picha na viongozi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa COP31

    Yaani akisimama na watu unamtafuta kwa tochi. Kumbe wakina Msigwa wanamkuza.. Nionesheni bila kuzoom Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha na viongozi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), Antalya...
  4. U

    MTU mfupi kwenye gari anabidi kuendesha na sio kuendesha.

    MTU mfupi kwenye gari ni vyema akaendeshwa.
  5. Roving Journalist

    RPC Mara: Ni kweli Mwanafunzi wa Form 6 amefariki muda mfupi baada ya kuadhibiwa shuleni, tunawahoji Walimu 6

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Pius Lutumo akifafanua kuhutu tukio la Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro kufariki Dunia muda mfupi baada ya kuadhibiwa kwa viboko na Walimu wake. Shule hiyo ipo Bunda Vijijini mkoani Mara...
  6. L

    Mtoto Wa GSM Wa Katoro Alipata Zaidi Ya Billion 1.4 Ndani ya Muda Mfupi Kama Zawadi kwenye Send off Yake Lakini CHADEMA wanahenyeka hadi leo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika CHADEMA Imechokwa na watanzania,Imekatalika kwa watu,Imepuuzwa na wananchi ,Imesuswa na wote wenye akili Timamu na wenye kujitambua . CHADEMA Imepoteza Ushawishi kwa Makundi yote . Hakuna kundi wala rika wala Eneo utasema ndiko CHADEMA inakubalika ama ngome...
  7. Mshana Jr

    Upo hapa kwa muda mfupi sana

    wanadamu ni mafupi na yenye mahangaiko mengi, na hakuna jipya chini ya jua. Hapo utaona mambo matatu Mwanadamu, Maisha, na Mahangaiko. Tumesema hapo juu kuwa maisha ni mafupi sana, kwa uzoefu mdogo utaona kuwa umepitia utoto, baadaye ujana, na huenda kwa sasa wewe ni mzee. Kesho huenda ukawa...
  8. TheGreatest Of AllTime

    Hii video imejaribu kuelezea muhtasari mfupi wa hizi beef utumbo za humu JF 😁

    Mnatukanana kwa emojis na ID hewa za majina ya uongo😁
  9. Stability

    Tangia nizaliwe sijawahi kuona mdada anaependelea mwanaume mfupi zaidi yake basi hvyo hivyo wanaume wasihukumiwe kwa kupenda Makebo makubwa

    Tangia nizaliwe sijawahi kuona mdada anaependelea mwanaume mfupi zaidi yake basi hvyo hivyo wanaume wasihukumiwe kwa kupenda Makebo makubwa Kila mtu afe na tamaa zake.
  10. Hance Mtanashati

    Tetesi: Ndani ya muda mfupi, Zanzibar imetajirika ghafla ila Tanganyika chaliii

    Najiuliza huu utajiri wa haraka haraka zanzibar wameutolea wapi? Zanzibar elimu bure, matibabu bure kabisa hutoi hata mia, barabara zimejengwa kwa mfumo wa fly overs, viwanja vya ndege navyo vimepanuliwa. Wakati bara tukilalamika matibabu ya Figo ni gharama , kule Zanzibar ni bure kabisa. Ila...
  11. Roving Journalist

    Aweso: IRUWASA ikamilishe mradi wa muda mfupi ndani ya mwezi, Vijiji vya Luhindo na Lulanzi vipate maji

    Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iring (IRUWASA) kuhakikisha katika kipindi cha mwezi mmoja inatekeleza mradi wa muda mfupi kuhudumia Kaya zipatazo 23 zinazokosa maji katika Vijiji vya Luhindo na...
  12. S

    KWELI Ukimeza dawa na kisha ukatapika baada ya mfupi unapaswa kumeza tena, kutegemeana na dawa husika

    Wakuu nimekutana na hii concern ya mdau nikaona si mbaya nikiieleta hapa kupata ufafanuzi zaidi.
  13. Yoda

    Siku tukibahatika kupata uongozi makini tutaweza kubadilisha miji yetu ndani ya muda mfupi kama China

    Oneni jinsi Wachina ndani ya miaka 20 tu walivyobadilisha miji yao mfano wa Chongqing kutoka slums kama za tandale na kutokuwa na mpangilio hadi kuwa majiji ya hadhi sawa na ya West
  14. S

    KWELI Je, maji ya mvua huwa yanaweza kuharibika muda mfupi baada ya kukingwa kutokana na bakteria

    Wakuu Nimekuwa nikikutana na madai kwamba maji ya mvua huwa yanaharibika baada ya kuchotwa. Naomba kufahamu ni kwa nini maji ya mvua huwa yanaharibika baada ya siku kadhaa baada ya kukingwa,na pia huku mitaani kwetu tunayawekea chumvi kidogo kwa iman kuwa hayata haribika,je ni kweli chumvi...
  15. Waufukweni

    BAKWATA: Pongezi za ziada ziende kwa vyombo vya ulinzi kuhakikisha Amani na Usalama vilirejea ndani ya muda mfupi Oktoba 29

    Katibu Mkuu wa Bakwata, Alhaj Nuhu Mruma, akizungumza kwenye Baraza la Idd el-Fitri leo tarehe 21 Machi, 2026 jijini Dar es Salaam.
  16. RMK Freelancers Agency

    Case study: Matumizi yamepungua kwa 58.1% ndani ya muda mfupi

    True case study! “Nicas" (jina halisi limefichwa) alinitafuta mwezi uliopita kupitia JamiiForums baada ya kusoma baadhi ya threads zangu kuhusu personal finance na uwekezaji. Aliniambia ana malengo mawili: 1.Kupunguza matumizi na kuweka akiba zaidi 2.Kujifunza kuwekeza kwenye hisa za Dar es...
  17. Peter Dafi

    Ujumbe Mfupi wa Miaka 49 ya Siri ya ushindi wa CCM

    #dafitips Ujumbe wangu mfupi kwa maadhimisho ya Miaka 49 ya CCM https://youtu.be/D6wSTppiLiE?si=jq8mVBs9RbnrhbsJ Video 👆🏿👆🏿👆🏿 Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi ni ushahidi wa imani ya wananchi kwa Chama chao. Lakini ili CCM iendelee kushika Dola, lazima ibaki kuwa Chama cha kusikiliza watu...
  18. Inside10

    Chama cha Mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia Disemba 2025 hadi February 2026

    Chama cha mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia disemba 2025 mpaka February 2026 Mbunge Jenista Mhagama alifariki 11 Disemba 2025 Mbunge Halima Nassor alifariki 18 January 2026. Munde Tambwe alifariki tarehe 3 February 2026 Pole ziende kwa rais na chama chake.
  19. Mto wa mbu

    Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

    Hello guys Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika. Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza. Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation. Siongezi maneno but within...
  20. Sifi Leo

    Utabiri raisi ATAKAE tawala Tanzania kwa Muda mfupi Dr Samia or Magufuli?shekhe Yahaya njooo duniani!

    Magufuli alitawala miaka HAIJAWAI tokea Tanzania Mama Samia Suluhu hassani anaenda Mwaka WA 5 Sasa je Shekhe Yahaya alimtambilia nani kuwa raisi wa Muda mfupi? Je akilazimisha amzidi Magufuli Nini kitajili? Mbinguni kunani?
Back
Top Bottom