mfungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    Wakati Nelson Mandela akipewa 466, Tundu Lissu apewa 623 na ya Mfungwa

    Dhahabu na chuma lazima moto uhusike. Na mbegu ili iiote lazima ufukiwe kwanza.. Lissu atatoka jail akiwa mpya.. Mwanasiasa na Mwenyekiti wa chama kikuu cha siasa Tanzania Tundu Antiphas Mghwai Lissu mfungwa mwenye namba 623/2026 kaanza maisha rasmi ya Gerezani. 623 logo ya utetezi wa...
  2. Sifi Leo

    Siasa bhana!,Magufuli ni hayati,Lissu ni Mfungwa gerezani, Samia ni Rais,Nchimbi,Polepole hawajulikani waliko,ndungaih ni hayati.

    Kutafakari pamoja Lissu aliyenusurika kuuwa na utawala wa Magufuli na Samia leo yupo jera kwa kosa la uchochezi, dhidi ya utawala wa Samia, ili hali Magufuli kaisha bakia fuvu. Najiuliza Samia anataka AAMBIWE neno gani na Lissu? Asante kwa kushindwa kumuua? Leo yule lopo lopo, wa utawala wa...
  3. Alloyce PR

    Mfungwa kunyolewa nywele.

  4. The Palm Beach

    Jambo hili linaibua maswali muhimu kuhusu haki za mfungwa ikiwemo haki ya mahabusu kupata huduma ya kiroho. Kwanini Magereza wamzuie Askofu Mapunda?

    ============== Jambo hili linaibua swali zito kuhusu haki ya mfungwa ya kuwasiliana na viongozi wa dini na kupata huduma ya kiroho akiwa kizuizini. Ikiwa Askofu Edward Mapunda alizuiwa kumtembelea Tundu Lissu kwa sababu hakuwa na kibali cha Kamishna wa Magereza, Basi jambo la msingi ni kuweka...
  5. Zakaria Maseke

    Utaratibu wa mfungwa aliye gerezani kubadilishiwa adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii

    Uchambuzi wa kisheria kuhusu utaratibu wa mfungwa kubadilishiwa adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii: Mwandishi: Zakaria Maseke (Mwanasheria) (0612275246/0754575246) Makala hii inachambua utaratibu wa kisheria wa kubadilisha adhabu ya kifungo cha gerezani kuwa huduma kwa jamii...
  6. Carlos The Jackal

    Hata yule Mfungwa wa Kike kumbe naye ni ASKARI !! Haya Majama yanayomzunguka Samia ni Majinga ,yanafanana Kila kitu

  7. G

    Maigizo ya “MFUNGWA WA SAMIA”

    Hii nchi ya ajabu sana na hatujui lengo la haya maigizo ya yule mfungwa hususani wa kiume yanamaanisha nini. Binafsi, namfahamu yule jamaa na kama kuna mtu wa Newala anaweza akawa anamjua yule jamaa. Yule jamaa wa kiume sio mfungwa na hajawahi kufungwa popote. Namjua na anaishi Newala...
  8. Mshana Jr

    Namna ya kumfanya mfungwa afunguke

    1. Kumwagiwa maji baridi Sana 2. Kuwekwa kwenye chumba chenye mziki full blast 3. Kuwashiwa taa zenye mwanga mkali Sana Hizo hatua tatu zikifanyika na bado haongei hupewa mateso mengine makali zaidi
  9. Mshana Jr

    MUGABE: Mfungwa aliyekuwa Rais msomi kuliko marais wote duniani

    Inaelezwa kuwa alikuwa ndiye Rais aliyekuwa na elimu kubwa kuwazidi Marais wote duniani alikuwa ni Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Mugabe alizaliwa 21 February 1924 kule Kutama, Southern Rhodesia (Zimbabwe) miezi michache baada ya Southern Rhodesia kuwa koloni la Uingereza. Watu wake...
  10. G

    Kuboresha miundombinu mazingira gerezani hakuondoi kiu mfungwa kuwa huru , maendeleo makubwa ya kwanza yaliletwa na wakoloni lakini tulidai uhuru

    Watawala wengi wanashindwa kulielewa hili Makuburu walijenga miji mkubwa Sauth lakini bado walikataliwa Gadafi aliwapa Hadi huduma bure lakini alishindwa kujua wakati wa kuwapa uhuru wakamtoa
  11. Program Manager

    Ile Drama imeisha. Kuachiliwa hivi karibuni

    Hivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile kupotezeana muda tu. Director ashapewa maelekezo na wachora script kwamba asiendelee kuongoza mchezo Ili...
  12. R

    Mfungwa wa mauaji aachiwa huru baada ya kukaa jela miaka 38 kwa mauaji ya Diane Sindall 21 baada ya ushahidi wa DNA kuthibitisha kuwa hakuhusika

    Sio wote walio magereza wana hatia. Uingereza: Peter Sullivan alihukumiwa kwenda gerezani kwa kosa la kumuua mfanyakazi wa bar ( barmaid) Diane Sindall mnamo 1 August 1986. Ushahidi wa DNA umeneosha kuwa hakuhusika Peter Sullivan has murder conviction quashed after 38 years in jail Hearing...
  13. U

    Marwan Barghouti: Kwanini mfungwa huyu anahusishwa na mpango wa amani wa Israel na Hamas?

    Barghoit anasadikiwa kuwa ndio Mandela wa Palestina. Habari kamili: Mwanasiasa wa Kipalestina, Marwan Barghouti, kiongozi wa vuguvugu la Fatah ambaye kwa sasa anazuiliwa katika jela ya Israel, ni mhusika mkuu katika makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas. Katika mpango huo...
  14. Nyanda Banka

    Vijana tujiajiri, kataa kuwa mfungwa

    Kuna watu wanapata pesa nyingi na hawapo katika mfumo rasmi wa ajira Ni kweli kuwa wazazi, ndugu na jamaa wanatamani upate ajira serikalini wakiaamini ndiyo njia sahihi ya kufanikiwa katika maisha yako jambo ambalo sio la kweli moja kwa moja na hii yote ni kutokana na ile dhana ya uoga wa...
  15. A

    DOKEZO Afisa Mtendaji Kata ya Kyengege anaendelea na majukumu yake huku akiwa anatumikia adhabu ya kifungo

    Habari ndugu zangu Wana JamiiForums, ninaomba kusaidiwa suala hili 1) Hivi Sheria za nchi zinaruhusu mfungwa kuendelea na wadhifa wake kazini au ni huku Kwetu Iramba tu? Ninaleta mada hii kutoka kata ya Kyengege wilaya ya Iramba mkoa wa Singida. Katika kata yetu Afisa Mtendaji wa Kata...
  16. Mto Songwe

    Ndoa ni gereza ila hakikisha usiwe mfungwa

    Mabinti oleweni sehemu zitakazowapa furaha ya maisha usitazame pesa tu kwamba akiwa nazo akuoe basi hakuna shida yoyote. Tambua pesa haiwezi tibu kila kitu ukikosa furaha mahali ulipo ndoa hiyo hugeuka gereza. Vijana wa kiume nanyi msioe wala kuishi kwenye ndoa kwa sababu mwanamke anapika...
  17. Jaji Mfawidhi

    Lulu hakumuua Kanumba, toka mahabusu Mpaka Mfungwa wa nje!

    DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012 Mahakama Kuu ya Tanzania ilimhukumu kifungo cha miaka miwili jela, Elizabeth Michael ‘Lulu’ baada ya...
  18. MK254

    Video: Mtanzania aliyefungwa miaka 10 Iran kisa kafuata huko mambo ya dini

    Muhimu hii iwafikie wafia dini wa JF ambao hupenda sana kuabudu watu wa Iran na Uarabuni.... kuvaa kwako kanzu na kuotesha ndevu ili ufanane na wale haitoshi, ukiingia kwenye anga zao wanakuua, walimuua Mtanzania mmoja na kumtesa mwenzake. https://youtu.be/PC0e170GSug?si=ZHbPD25IF4W7Cz_h
  19. L

    Iringa: Maria Ngoda aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala aachiwa huru na Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza. Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa...
  20. James Hadley Chase

    TLS kumsaidia aliyefungwa Miaka 22 kisa nyama ya Swala

    CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa wameanzisha kampeni ya kumsaidia kisheria mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa na Mahakama ya Mkoa wa Iringa kifungo cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria. Hukumu hiyo ilitolewa...
Back
Top Bottom