mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Mfumo wa SIS unatumiwa na Wakuu wa Shule kujaza wanafunzi hewa ili wapate hela

    Mfumo wa SIS (School Information System) unatumika na Wakuu wa shule kujaza wanafunzi hewa (walioacha shule/kufukuzwa/wasioripoti) wote wanawekwa na hawaondolewi kwenye mfumo ili wapate hela nyingi kupitia mfumo wa FARRS. Wengine wanaenda mbali zaidi, wanawachangisha wazazi michango ya walimu...
  2. Matatizo katika mfumo wa kuomba passport.

    Sijui ni Mimi tu au na wengine wanapata hii changamoto? Kwa upande wangu mfumo mzima wa kujaza online unasumbua. Mtu akijaza taarifa step one, akifika step ya 2 akajaza, inamrudisha step one. Ni kwanini, ni matatizo ya mfumo au ni Nini?
  3. Dkt Dorothy Gwajima, Unafanya vizuri sana ila katika kulinda Maadili, jenga Mfumo wenye mzizi imara, hata utakapotoka Mfumo uishi!!

    Hivi vyeo vinaondoka. Kuna kuhamishwa Kuna kustaafu/kustaafishwa Tunapoelekea Tanzania ya 2050 suala la Maadili lazima tulitizame kwa picha hiyo !! Leo unapambana sana kudeal na Matukio ya mmojamoja na makundi , ni jambo zuri, ila Mama, fikiria Leo ukitoka utaacha nini kama kielelezo kwenye...
  4. Mfumo wa kukata tiketi za SGR online uko chini (haufanyi kazi) kwa zaidi ya saa 20 sasa

    Najaribu kukata tiketi ya treni ya SGR lakini tangia jana usiku mfumo haufanyi kazi ,nilitegemea nikiamka nitakuta mfumo umerekebishwa ila cha ajabu mpaka wakati huu hali bado ni ile ile na TRC hawajatoa tamko lolote mpaka sasa. Hili shirika linafikirisha sana kuhusu uendeshaji wake 🚮
  5. D

    DOKEZO Halmashauri ziangalie Vijana wanaojitolea Vituo vya Afya, wanafanyakazi nzuri lakini wana hali ngumu

    Kuna changamoto kuhusu utekelezaji wa mikataba ya watumishi wa afya chini ya TAMISEMI iliyotolewa mwaka 2025, ambapo baadhi ya watumishi wanalipwa kiasi cha shilingi 100,000 kwa mwezi, huku kukiwa na malalamiko kuhusu kutokuwepo kwa usawa katika malipo ya kazi za ziada (overtime). Baadhi ya...
  6. Mfumo wa maisha utakudaganya, uone hauna maono.

    Leo nataka nifungue ukurasa mpya.. Katika maisha yangu, nimekuja kuona ya kuwa ile dhana ya kufikiri kuna mtu anaona maono na kuelewa malengo yako, hayupo essentially. Yaani kwa ulimwengu huu wenye distractions zisizo na ukomo sahau kabisa, kuja kupata mtu wa kutengeneza nae vision.. Mtu...
  7. Responded CBE: Suala la matokeo ya Wanafunzi wa 2018/19 na 2019/20 kutowekwa katika mfumo wa NACTVET, linashughulikiwa

    Hoja ya awali ~ Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa katika Mfumo wa NACTVET YAH: UFAFANUZI KUHUSU MATOKEO YA WANAFUNZI KUTOPANDISHWA KWENYE MFUMO WA NACTVET TAREHE: 20/10/2026 Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Kampasi ya Dodoma, kimeona taarifa iliyosambazwa kwenye...
  8. C

    KERO Tunahamasisha ulipaji wa Kodi kupitia mfumo wa TAUSI au tunawakatisha tamaa wanaotaka kulipa?

    Nina dukuduku ambalo ningependa kulifikisha kwa wahusika na kuanzisha mjadala mpana kuhusu ufanisi wa mifumo yetu ya kidijitali katika utoaji wa huduma za umma. Wiki hii nzima nimekuwa nikijaribu kutuma maombi ya kupata leseni mpya ya biashara kupitia mfumo wa TAUSI, lakini kila ninapojaribu...
  9. A

    KERO NMB mmeshindwa ku-handle mfumo wenu, kila siku changamoto, hadi lini hii kero?

    NMB KUNA CHANGAMOTO ZA KUKATA PESA ZA WATEJA BILA TAARIFA WAMEKATA KIASI CHA 180K BILA TAARIFA KAMILI Balansi yangu ilikuwa Shilingi 720,000 lakini asubuhi yake nilipocheki ili niweze kutoa nikakuta salio linasoma Sh 540,000 na hakuna muamala wowote niliofanya, nikawapigia simu, wanasema...
  10. Mfumo wa kuvundika matunda yaive kwa wakati mmoja (fruits ripening chamber)

    Kwenu wataalamu, Ukiacha njia ya asili ya kuvundika ndizi kwa kuchanganya na parachichi ili kuachialia gas ya ethylene inayoharakisha mchakato wa ndizi mbichi kuwa ndizi mbivu, nimeona kuna reefer container ambazo ndizi huwekwa na kupuliziwa hiyo gas ya ethylene na kufanya ndizi ziive kwa wakati...
  11. M

    Mnaowaza serikali (CCM) kupinduliwa muache kuota ! Jeshi ni mali ya Ccm, Hakuna Backup ya serikali nyingine na hakuna mfumo wa majimbo.

    1. JESHI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA Njia mojawapo ya kawaida ya mapinduzi ya serikali ni jeshi kuingilia siasa na kuiondoa serikali iliyopo madarakani kwa kutumia nguvu. Kwa mfano walichofanya kina Ibrahim Traore wa Burukina Faso. Hata hivyo, katika muktadha wa Tanzania, Baada ya...
  12. I

    Mfumo wa kieletronic wa ajira Zanzibar (zanajira)Tokea Jumatatu mpaka leo haufungukii jee wahusika hawalioni hili?

    Mfumo wa kieletronic wa ajira zanzibar (Zanajira)Kuanzia tarehe 12 mpaka leo haufunguki na wala hauruhusu mtu aingie ktk account yake jee wahusika hawalioni hili?
  13. CCM inatumia mfumo wa Frog boiling effect kuendesha nchi

    Frog boiling effect au boiling frog syndrome ni maelezo ya dhana ya kisaikolojia kuwa binadamu anaweza kuvumilia jambo baya akifanyiwa kwa taratibu (awamu kwa awamu) kuliko jambo hilohilo akifanyiwa kwa ghafla kwa wakati mmoja. Maelezo ya dhana hiyo yanaonesha kuwa kuna chura aliwekwa Kwa...
  14. R

    Minyonyaji haiwezi kukubali change, ndiyo maana haitaki Katiba MPYA na mfumo mzuri wa uchaguzi

    Hili ni kweli. Minyonyaji iliyoshiba ndiyo michawa inaogopa Katiba moya. Msikilize Mwalimu Nyerere
  15. M

    KERO Kwanini katika mfumo wa Sekretarieti ya ajira ikitangazwa kazi ya astashahada mwenye shahada anaambiwa hana sifa?

    Kuna changamoto katika mfumo wa ajira. Baadhi ya watu wamesoma kozi tofauti katika ngazi ya cheti na diploma, lakini nafasi za kazi zinapotangazwa kulingana na kozi walizosoma katika ngazi ya cheti, mfumo unawakatalia kuomba kwa madai kuwa hawana sifa zinazohitajika. Nashauri mfumo uruhusu...
  16. Mfumo wa kisasa wa

    Marekani: Kikosi cha 1 cha Jeshi la Wapanda Farasi kimeanza kupokea magari ya mapigano ya M2A4E1 Bradley yenye Iron Fist, mfumo hai wa ulinzi uliotengenezwa na Mifumo ya Elbit ya Israeli. Magari hayo yanapelekwa Fort Hood, Texas, kulingana na CTech. Elbit anasema mfumo huo umeundwa kuzuia...
  17. KUNA WATU HAWAJUI KUWA WANAWEZA KUPATA MFUMO WA KUSIMAMIA BIASHARA BURE KABISA! 😳

    KUNA WATU HAWAJUI KUWA WANAWEZA KUPATA MFUMO WA KUSIMAMIA BIASHARA BURE KABISA! 😳 Rafiki yangu mmoja siku moja aliniambia anatafuta mfumo wa kusimamia biashara yake, lakini mifumo aliyokuwa anaiona ilikuwa ya kulipia na bei zake zilikuwa ghali sana kwake. Nikamuuliza, “Kaka, unafanya biashara...
  18. S

    Ni wazi malori ndio chanzo cha ajali nyingi nchini; suluhisho la kutatua msongamano wa malori barabarani ni hili hapa, kama kweli serikali iko serious

    Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara. Sasa basi suluhisho ni nini? Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
  19. K

    Annaandika Bagonga: Mfumo wa tiketi unahujumiwa na wenye mabasi

    SGR: HII NI HUJUMA YA WAJALUO AU MTANDAO TU?! Tarehe 7/10/2026 nimefika Airport Dsm ili kuruka kwenda Dodoma. Nikakosa ndege. Nikaamua kuchukua SGR kwenda Dodoma. Nikiwa na Afisa mzito wa serikali tukaamua kutafuta tiketi mtandaoni. Kwa treni zote toka DsM kwenda Dodoma zimeonyesha NO SEAT...
  20. Je kuna changamoto yoyote katika mfumo wa SGR

    Habari, Naomba kufahamishwa kama kuna changamoto yoyote katika mfumo wa SGR mana nashindwa kuingia kwenye mfumo. Nashukuru
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…