mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    CBC Kenya: Kila Mzazi Anapaswa Kuelewa Nini Kuhusu Mfumo Huu?

    Mfumo wa elimu wa Competency-Based Curriculum (CBC), unaojulikana pia kama Competency-Based Education (CBE), ulianzishwa nchini Kenya mwaka 2017 kuchukua nafasi ya mfumo wa zamani wa 8-4-4. Mfumo huu unalenga kumsaidia mwanafunzi kupata maarifa, kukuza vipaji na kujifunza ujuzi anaoweza kutumia...
  2. J

    Mfumo gani wa kiuchumi unaweza ondoa mfumo wa Kidigitali? - Huu mfumo umewatajirisha watanzania wengi sana.

    ๐—™๐—ฅ๐—ข๐—  ๐—ฃ๐—”๐—ฌ๐— ๐—˜๐—ก๐—ง๐—ฆ ๐—ง๐—ข ๐— ๐—”๐—ฅ๐—ž๐—˜๐—ง๐—ฆ: ๐—๐—˜, ๐—จ๐—ž๐—จ๐—”๐—๐—œ ๐—ช๐—” ๐— ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฃ๐—ข ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐——๐—œ๐—๐—œ๐—ง๐—”๐—Ÿ๐—œ ๐—จ๐—ก๐—”๐—ญ๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ง๐—›๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—œ ๐—š๐—”๐—ก๐—œ ๐—ก๐——๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—จ๐—–๐—›๐—จ๐— ๐—œ ๐—ช๐—” ๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—”? ๐˜”๐˜ธ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข 2025 ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช๐˜ฑ๐˜ฐ ๐˜บ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ต๐˜ถ ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ข๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ณ๐˜ข (๐˜—2๐˜‰) ๐˜ฏ๐˜ค๐˜ฉ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข๐˜ญ๐˜ช๐˜ง๐˜ช๐˜ฌ๐˜ช๐˜ข ๐˜›๐˜ก๐˜š ๐˜ต๐˜ณ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช 37.52 ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฑ๐˜ช๐˜ต๐˜ช๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข๐˜ญ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช 2.30, ๐˜ด๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ต๐˜ข๐˜ฌ๐˜ณ๐˜ช๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฏ ๐˜ข๐˜ด๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข 16 ๐˜บ๐˜ข ๐˜—๐˜ข๐˜ต๐˜ฐ ๐˜ญ๐˜ข ๐˜›๐˜ข๐˜ช๐˜ง๐˜ข. ๐˜ž๐˜ข๐˜ง๐˜ข๐˜ฏ๐˜บ๐˜ข๐˜ฃ๐˜ช๐˜ข๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข๐˜ณ๐˜ข...
  3. A

    KERO EWURA kuna changamoto ya mfumo wa utoaji leseni zao kama hizi za electrical installation

    Kero yangu ni kuhusu EWURA na mfumo wa utoaji leseni zao kama hizi za electrical installation, kwa jinsi teknolojia ilivyokuwa tunaona taasisi zingine wanatoa leseni zao baada ya muda mchache unafanya malipo kwenye Mtandao na kuipata lakini wao wanatumia siku 40 hadi 60 ukiuliza wanasema ni...
  4. O

    Mkenya Abuni Mfumo wa Afande Unaopiga Kelele Simu Inapoibwa

    Mtaalamu wa teknolojia nchini Kenya, Eliud Gilisho, amebuni mfumo mpya unaoitwa Afande, unaolenga kukabiliana na wizi wa simu kwa kuwezesha simu iliyoibwa kupiga kelele, kufuatilia eneo ilipo na kurekodi picha za video zinazoweza kusaidia kumtambua mwizi. Ubunifu huo umetokana na tukio la mwaka...
  5. A

    KERO Naomba msaada, majina yangu kwenye kanzidata ya chuo kuna herufi hazijamalizika hivyo nashindwa kukamilisha usajili

    Habari wanajamii, Naomba msaada na ushauri kuhusu changamoto ninayokutana nayo wakati wa kufanya usajili wa chuo. Vyeti vyangu vya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita (nakala halisi) vinaonyesha majina yangu matatu kwa usahihi likiwemo jina CHRISTOPHER Vilevile, ninapoangalia taarifa zangu...
  6. Wamejaa kwenye mfumo maskini yao

    Tukio la kukamatwa kwa watu wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya limeripotiwa katika eneo la Mwenge. Kwa taarifa za awali, watuhumiwa hao wamekamatwa wakiwa na kiasi kikubwa cha dawa zinazodaiwa kuwa za kulevya. Tukio hilo limeibua mjadala kuhusu biashara haramu ya dawa za...
  7. Tech 7 zitakazobadilisha maisha yako moja kwa moja

    Miaka 5 ijayo (2026 - 2031) dunia haitaenda pole pole. Kitaalamu, tunakwenda kwenye miaka ya AI kufanya kazi badala ya kuongea tu. Hizi ndizo tech 7 zitakazobadilisha maisha yako moja kwa moja: 1. AI Agents - AI itakufanyia kazi, sio kukujibu tu Sasa hivi unaniuliza, nakujibu. Miaka 5 ijayo...
  8. Kwa wewe ambae una uwakala wa fedha, unatumia mfumo gani wa kufunga hesabu yako kila siku?

    Kwa wale mnaoendesha biashara za uwakala wa fedha (M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, HaloPesa n.k.), mnatumia mfumo gani kurekodi na kufunga hesabu zenu za kila siku? Nimekuwa nikiwaza na kuumiza kichwa maana mambo siyaelewi kabisa naomba nilizie humu kwa wadau wenye biashara ya uwakala nyie...
  9. Kwa mchezo wa leo timu za tanzania mjipange sana na usm alger sio watuwazuri....ukijaa kwenye mfumo kha

    AISEE NIMEANGALIA HII TIMU SIJAJUA ATAKUTANA NA SIMBA AMA YANGA SIJAANGALIA ILA WATAKAOKUTANA NAO JAMAN WAJIPANGE HAWAJAMAA HAWANA HURUMA KABISA WAKO LAMA COMO YA ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น KILA LA KHERI USM ALGER
  10. Shirika la Posta Tanzania: Tunaomba radhi kwa changamoto iliyojitokeza katika mfumo wa Namba za Huduma kwa Wateja

    Shirika la Posta Tanzania linaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza kutokana na changamoto ya kimfumo inayoathiri upatikanaji wa huduma za simu kupitia namba 0735 008 008. Wakati jitihada za kushughulikia changamoto zikiendelea, unaweza kuwasiliana nasi na kupata huduma kupitia namba zifuatazo...
  11. M

    Kosa la kuruhusu kuficha majina ya asili ya kiafrika limewapa wahamiaji nafasi kubwa ya kupenya serikalini, jeshini, utawala na hata kuwa majasusi

    Utaratibu wa kubadilisha majina kuwa ya kigeni ni tishio kubwa kwa usalama wa taifa. Kurasimisha mifumo ya majina ya Magharibi au Kiarabu, kama vile George Jackson David Aisha Muhammad Nurdin Uhuru Baraka Amani Judith Christopher Benard Salehe Abdul Ally kunafuta utambulisho wa asili na...
  12. M

    Ni mwaka wa tatu na majukumu yamemzidi bado karidhika na mshahara ule ule! Chunguza vizuri kashaudukua mfumo wa biashara yako

    Na ndio sababu kubwa huwa inawafanya wafanyakazi wengi madukani ama kwenye makampuni kuacha kazi wakishaona bosi anaweka mifumo ya kubana mianya
  13. UDSM: Mfumo wa ARIS3 wa Maombi ya Vyumba Haufanyi Kazi Siku ya Room Shopping, Namba za Msaada Hazipatikani. Uwazi Unahitajika

    Wakuu, salaam. Leo naleta jambo linalowagusa wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuhusu zoezi la Room Shopping 2026/27 lililotangazwa na DARUSO kupitia Wizara ya Maji, Makazi na Mazingira. Ratiba iliyotangazwa: 3 Novemba: COICT Hostels, saa 4:00 asubuhi 4 Novemba: Magufuli na...
  14. Ngao vital points - maeneo thaifu kupiga katika mfumo wa ngao

    Vital points au range areas ni somo la sayansi ya mwili, somo ambalo linamfanya mpiganaji wa ngao awe na uwezo au uelewa wa kumdhibiti adui, kumlemaza adui, kumshinda adui au kumuua adui kwa muda wa sekunde 3 - 5 . Maeneo ya shabaha ni 1. The eyes 2. The nose 3. The side of the neck 4. The...
  15. Mfumo wa kujaza CELFORM kwa wanafunzi na wazazi mfumo haufunguki wiki nzima sasa tunaweza nini kama taifa

    Halafu mkiambiwa mna ma IT wasio na uwezo mmewajaza humo maofisini mnatuteka na kutupa kesi za uhaini . Watoto wanalala kwenye internet cafe kusubiri mfumo
  16. B

    Msaada katika Mfumo wa ESS UTUMISHI katika kipengele cha E-TRANSFER

    Kwa muda sasa ushapata mtu WA kubadilishana nae kituo cha kazi tena mikoa tofauti kipengele cha incoming request hakifunguki kwa wote hata sasa ukiingia inakuletea AN UNEXPECTED ERROR OCCURRED Jamani tunaomba marekebisho ya mfumo yazingatiwe kwa wakati, kwani mfumo huu ni kwa taifa zima...
  17. H

    Unapata changamoto katika kutengeneza mfumo wa kusimamia simu zinazotolewa kwa mkopo?

    Moja ya changamoto zinazowakabili developers wanaotengeneza mifumo ya kusimamia device kama simu zinazotolewa kwa mkopo, ni usimamizi wa technology inayowezesha mifumo yao kuwasiliana na device ya mteja moja kwa moja. Kwa mfano, kampuni inapompa mteja simu kwa makubaliano ya kulipa kwa awamu...
  18. Mikoa yote kutumia mfumo wa e-Ardhi ifikapo Juni 2027

    Na Mwandishi Wetu Serikali imepanga kuhakikisha mikoa yote nchini inatumia mfumo wa kidijitali wa usimamizi na umilikishaji wa ardhi, e-Ardhi, ifikapo Juni 2027. Hatua hiyo inayolenga kurahisisha upatikanaji wa hati za ardhi na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi. Katibu Mkuu wa Wizara...
  19. Mfumo wa democracy haufai kwa Africa

    Ndugu zangu tuzinduke kwenye huu usingizi mzito, tumeshalala kwa kipindi kirefu sana sasa ni muda sahihi wa kuvuta shuka na kutupilia mbali Fikra na Tamaduni zote zilizotokana na Wazungu. Tuanze mwanzo kila kitu kiwe chetu. Kitu cha kwanza kuking'oa kiwe mfumo wetu wa Utawala huu mfumo wa...
  20. M

    Kuna ukweli kiasi gani Zanzibar inasuka mpango wa muda mrefu wa kuendelea kushika mamlaka hata Rais ajae akija kutokea Tanganyika?

    Kuna ukweli kiasi gani katika madai kwamba Zanzibar inaweka mfumo wa kisiasa na kiutawala ndani ya Tanganyika unaoweza kuiwezesha kuendelea kushikilia mamlaka kwa miongo kadhaa ijayo, hata pale ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapokuwa anatoka Tanganyika? Je, huu ni mkakati wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ