mfululizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANESCO tunaomba radhi kwa kukosekana huduma ya umeme mikoa ya Mbeya na Songwe kufuatia ajali ya miundombinu ya umeme

    Shirika la umeme Tanzania TANESCO linaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kutokana na kukosekana kwa huduma ya umeme katika mikoa ya Mbeya na Songwe kufuatia ajali ya miundombinu ya umeme mkoani Mbeya. Aidha tunawaomba wateja wetu uvumilivu wakati wataalamu wetu wakiendelea na juhudi za...
  2. F

    Wizara ya Maji imefanikiwa kuhakikisha maji hayatoki Jiji la mwanza siku ya tano mfululizo bila taarifa yoyote

    TANESCO pamoja na mapungufu Yao,wao wamefanikiwa kwenye utoaji taarifa,wakatapo umeme, wataarifiwa wateja kupitia namba zao za simu. Jambo hili,mamlaka ya Maji nchini hawana habari nalo, utatumiwa meseji ya kudaiwa maji na utapigiwa ulipe deni, ila wakikata maji,hawatoi taarifa yoyote maana...
  3. R

    Kukatika umeme Arusha siku mbili mfululizo, TANESCO mnajielewa kweli?

    Jana mmekata umeme siku nzima. Leo tena alfajiri mmekata. Hamjui kwamba kuna watu wanapata riziki ya kila siku kwa kutegemea uwepo wa umeme? Mnakata mchana wote mnarudisha usiku. What kind of engineers have you employed? Hamuwezi kufanya rationing angalau watu wapate umeme kwa masaa sita wakati...
  4. A

    DOKEZO Wanafunzi wa DIT wa darasa la BT23LS hatujapata mkopo mwaka wa mwisho kutokana na HESLB kutambua tunasoma miaka mitatu badala ya minne

    Wanafunzi wa DIT wa darasa la BT23LS tunakabiliwa na changamoto ya kutopangiwa mikopo kwa mwaka wetu wa mwisho wa masomo (2026/2027). Changamoto hiyo inatokana na tofauti ya muda wa masomo unaotambuliwa na HESLB na ule unaotumika chuoni. Mfumo wa HESLB unatutambua kuwa tunasoma programu ya...
  5. Sitakula wala kunywa kwa siku tatu mfululizo kuanzia 26/10/2026-29/10/2026 kumuunga Tundu Lissu mkono kwenye mgomo wake

    Mpendwa wetu Tundu Lissu ametangaza mgomo wa kula na kunywa kushinikiza kutimizwa haki zake kama zilivyoamriwa na mahakama. Sasa jeshi la Magereza Tanzania wameendelea kumnyima haki ya kuongea kwa faragha na mawakili wake. Hivyo basi nami kwa kutambua kwamba mtetezi wa wanyonge anapita kwenye...
  6. Z

    Lissu anaogopa kunyongwa ndio maana anajitetea siku tatu mfululizo

    Jamani heshimuni sheria, tuache ulopokaji. Kilicho mpoza ni ulopokaji bila kujali madhara na matokeo ya maneno yake.. Naamini hadi na kwa jinsi alivyo henya atakuwa amejifunza na hadi sasa anajutia matendo na maneno yake. Ila sikuzote lazima tufahamu kuwa "sheria ni msumeno" unakata mbele na nyuma.
  7. P

    DOKEZO Mwalimu wa S/M Kimandafu ya Halmashauri ya Wilaya ya Meru amfukuza darasani mwanafunzi wa darasa la 5 siku 2 mfululizo

    Shule ya msingi Kimandafu iko Halmashauri ya wilaya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha. Mwalimu moja wa shule hiyo aitwaye Stella Gunda jana asubuhi mida ya saa 2 alimfukuza darasani mwanafunzi wa darasa la 5 aitwaye Angel Frank Mbise kwa kumwambia "ondoka sikutaki ktk kipindi changu"...
  8. binadamu walikua wanalala mara mbili, badala ya masaa 8 mfululizo tunayoshauriwa sasa

    Kuamka saa 9 usiku (3 a.m.) si tatizo. Ni mabaki ya mfumo wa kale wa usingizi uliowahi kuwa wa kawaida kwa binadamu. Kabla ya wazo la kisasa la kulala saa nane mfululizo, usiku wa binadamu ulikuwa umegawanyika katika sehemu mbili. Mwanahistoria Roger Ekirch ameonyesha kupitia zaidi ya...
  9. Nini kipo nyuma ya pazia mfululizo wa misukosuko ya Chadema?

    Katika siasa, mara nyingi matukio makubwa huanza kama ishara ndogo, lakini zenye ujumbe mzito uliojificha ndani yake. Kwa kipindi cha takribani mwaka mmoja sasa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimekuwa kikikabiliwa na mfululizo wa matukio mbalimbali hasa misukosuko ya kisiasa na...
  10. Huenda Dkt. Mwigulu Nchemba akawa waziri mkuu kwa awamu tatu mfululizo kabla hajawa Rais wa JMT 2040-2050

    Hili liko wazi na kila mTanzania na mdau wa JF anashuhudia. Dr. Mwigulu kwa sasa ni waziri mkuu katika ngwe ya pili na ya mwisho ya uongozi madhubuti sana wa Dr. Samia Suluhu Hassan. Na pasinashaka yoyote, Dr. Mwigulu Nchemba, atakuwa waziri mkuu katika vipindi viwili katika ngwe za uongozi wa...
  11. Ni mimi pekee naona huduma za mitandao zinasumbua?

    Ni mimi pekee naona au ni kama miaka miwili hivi mfululizo huduma za mitandao zimekuwa mbovu, sio internet, sio calls. Au ni haka kasmart kitoch kangu ndio jau?😁
  12. GE2025 Octoba 30 ya damu. Nilishuhudia maiti zikitelekezwa njiani siku tatu mfululizo

    Sikuwahi kudhani kuwa itafika kipindi mimi nitoke nikutane na maiti nirudi mchana nikute bado zipo nirudi jioni nikute bado zipo na kesho yake bado nikutane nazo. Hiki ndicho nilichoshuhudia mimi. Nilikuwa kila nikitoka napishana na maiti mbili zilizotelekezwa njiani kunazia tarehe 30 jioni...
  13. GE2025 Nyuzi mfululizo za kubeza, kutisha na kukatisha watu tamaa dhidi ya kutoka badala ya kutiki Oct 29 zinachefua na kukera sana

    Wiki ya pili sasa kuelekea October 29 kumeibuka mfululizo wa nyuzi nying za ajabu ajabu za watu wanaojiona ni wazee wa busara wakibeza, kutisha na kukatisha tamaa raia wanaopanga au kuhamasisha kutoka na kupaza sauti kwa maandamano dhidi ya mfumo dhalimu na kandamizi wa haki. Utitiri wa hizi...
  14. Simba ikishinda leo hii Adhabu nipate kwa wiki mbili mfululizo

    Kama kawaida Yanga tunaenda mchukua mwali wetu tujimwaye mwaye naye msimu huu wote. Leo ndo tunakabidhiwa mwali. Naweka hili bandiko hapa. Simba ikitokea leo ikamfunga Yanga niwe banned kwa wiki 2 mfululizo. Najua kuna watu wanaweza jiua kwa kukosa nyuzi zangu za kuelimisha hapa jukwaani...
  15. GE2025 Polepole aliwahi kusema CCM itatawala miaka 70 sioni hili likitokea hata miaka 5 ijayo

    Uchaguzi wa 2020 ulikuwa uchafuzi na mpaka Leo uchaguzi ule ni maarufu Kwa jina la uchafuzi. Uchaguzi huu wa 2025 mpinzani mkuu na chama chake mmewafanyia hila na kuwaweka ndani ili mgombee peke yenu matokeo yake uchaguzi umedharauliwa. Hizi ni hatua za mwisho za kuitamatisha CCM kwani...
  16. S

    Yanga wamebeba ubingwa mara nne mfululizo, msimu huu wamechukua makombe yote hapa Tanzania na kisha wakatufunga mechi zote, Simba hatuna Wazee

    Wazee wetu walioshiba makande wameendelea kuongeza mgogoro ndani ya timu yetu, hawaoni shida ndani ya timu yetu, wanaona kufika fainali kombe la losers ni mafanikio makubwa ndani ya timu yetu. Yanga ameshabeba ubingwa mara nne na nilivyomsikia Injinia kule Kigamboni akisema kuwa wanapanga...
  17. Je, Mfululizo wa sintofahamu unaendelea kuibuka CCM ndio nyakati za anguko kubwa kwa CCM na serikali yake?

    Ni dhahiri shairi kuwa kuna fukuto kubwa linaendelea ndani ya chama tawala ambalo ni kero kubwa kwa wanachama wao wengi. Jambo la kufurahisha na kutia moyo ajenda kubwa ya chama kikuu cha upinzani CHADEMA ya No reform no election imeingia kwa kasi ya mwendo wa Ngiri katika jumba la kijani...
  18. Picha: Kinachoendela Kenya kinatisha, Gen Z wapanga kuandamana kwa siku 7 mfululizo

    Hawa Gen Z wanateketeza nchi yao na hashtag yao ya #RutoMustGo
  19. Uongozi wote wa Mzee Hassan Dalali Simba SC Kitakwimu Yanga SC ilifungwa mfululizo na zaid ya mara 5 yao, angalieni Takwimu zenu vizuri

    Siku nyingine muwe mnawaambia hao Waandishi wenu walio katika Payroll zenu wajikite zaidi katika Data and Research Journalism ili wenye Akili kubwa tusiwafharau na tusiwaone Wapumbavu. Imeisha hiyo.....!!!!!!
  20. Nimeipongeza Yanga SC kutufunga Simba SC na kwa mara ya 5 Mfululizo, ila nasikitika kuona huu Ukweli wa Kitakwimu umefichwa ili Kuikandamiza Simba SC

    Bado GENTAMYCINE naendelea Kuipongeza Yanga SC kwa Kutufunga hivi juzi (na kwa mara ya Tano mfululizo) na Kutwaa Ubingwa wa NBC Premier League ila kwa KUJIAMINI kabisa ninapingana na Watu ambao kwa AGENDA zao au kwa ama KUTOKUJUA wamekuwa wakisema kuwa Yanga SC imeweka Rekodi ya Kuifunga Simba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…