mfanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ShesRise_1

    Je, Mfanyakazi Ana Haki ya Kukataa au Kuchagua Mfuko wa Hifadhi ya Jamii?

    Hello guys Nina jambo linanifikirisha, jambo lenyewe ni kuhusu mfuko wa hifadhi ya jamii Katika ofisi za umma na makampuni binafsi kuna utaratibu wa kuwasajili wafanyakazi wao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii na hili lina msingi wa kisheria Lakini mimi nataka kueleweshwa 1. Je kama mimi ni...
  2. Frank Wanjiru

    Mfanyakazi alieharibu mali za Bosi wake Mchina akamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Halidi Seleman Kalaghe (45), Mwendeshaji wa Mtambo wa Excavator kwa tuhuma za kuharibu mali za Kampuni ya ujenzi wa barabara baada ya kutofautiana na Mwajiri wake katika eneo la Mvumoni, Somangila, Kigamboni. Kwa mujibu wa taarifa...
  3. A

    KERO Malalamiko kuhusu Watumishi wa Manispaa ya Ilala cha kuninyanyasa, kutumia nguvu na kumchukua mfanyakazi wangu

    YAH: MALALAMIKO KUHUSU KITENDO CHA WATUMISHI WA MANISPAA YA ILALA CHA KUNINYANYASA, KUTUMIA NGUVU NA KUMCHUKUA MFANYAKAZI WANGU Mimi mmiliki/mwajibikaji wa ofisi iliyopo Ilala, nawasilisha malalamiko rasmi kuhusu tukio lililotokea katika ofisi yangu, ambapo kundi la watu takribani kumi waliodai...
  4. M

    Maboss kumbukeni kuhesabu stock, Mfanyakazi sio wa kumuamini sana, Mdogo wangu kaja kushtuka kapigwa Milioni 9

    Kuna kijana mdogo aliyekuwa amevutiwa na biashara ninazofanya, akaomba ushauri na mwongozo ili aanzishe duka lake. Kwa kuwa yeye ni mwajiriwa, alimuweka binti mmoja kusimamia biashara hiyo. Mwanzoni alikuwa akihesabu mzigo na kila kitu kilikuwa sawa; biashara ilikuwa inaenda vizuri. Lakini...
  5. mcTobby

    Mfanyakazi wa ndani alivyoua mtoto kizembe

    Mnamo Mei 2019, Adeleye, mama aliyekuwa mfanyakazi wa kulea watoto mwenye umri wa miaka 73 kutoka nchini Nigeria, alihukumiwa kifungo cha miaka 15 jela huko Prince George’s County, Maryland, Marekani. Adeleye alipatikana na hatia ya mauaji ya second degree muder na unyanyasaji wa mtoto wa...
  6. S

    Huduma mbaya Tanzania: Ni Ukoloni wa akili, si uzembe wa mfanyakazi

    Utangulizi: Tulipoishia mwezi uliopita, Mwezi uliopita, kama mtaalamu na mzoefu wa utoaji huduma (Customer Experience/CX), niliorodhesha dalili za huduma mbaya Tanzania: vitu kama"chenji na pipi," simu zisizopokelewa, majibu kama"Boss/mkubwa hayupo," na hadithi ya mgeni aliyeambiwa aende...
  7. Expensive life

    Walimu punguzeni mitihani mashuleni.

    Walimu hasa wa kike mnafosi wazazi wawalipie vikoba vyenu kwa gia ya mitihani ya kila siku. Au hawa watoto wetu siku hizi wamekuwa vilaza? Tofauti na sisi wazazi wao? Mbona technology imewarahidishia sana hawa watoto wa sasa, material wanapata kwa urahisi sana tofauti na sisi hapo nyuma.
  8. A

    KERO Mfanyakazi wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy yupo department ya Examination ana dharau sana kwa watu

    Habari kuna mfanyakazi mmoja wa Mwalimu Nyerere Memorial Academy yupo department ya Examination ana majibu ya dharau sana hasa kwa watu wanaoenda hapo wakiwa na uhitaji mbalimbali. Tulienda kufuata vyeti vyetu lakini alikuwa busy na kuchezea simu tukijaribu kumuuliza anakuwa mkali na hii si...
  9. jooohs

    Kati ya igunga au Tanga ni eneo gani linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi muda mrefu

    Kati ya Igunga na Tanga, ni eneo lipi linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi kwa muda mrefu? Tafadhali linganisha maeneo haya ukizingatia vigezo vifuatavyo: Maisha nje ya kazi (quality of life). Fursa za shughuli za kiuchumi na biashara. Utulivu na usalama wa mazingira. Upatikanaji wa huduma za...
  10. Equation x

    Je ni sahihi kumlipia nauli mfanyakazi wako mpya?

    Katika pita pita zangu mtandaoni, nikakutana na kijana anatafuta kazi. Nikamfanyia usaili kwa njia ya mawasiliano, ikaonekana nikimpachika sehemu fulani itakuwa si mbaya, ili yeye apate nami pia nipate. Baada ya maongezi mengi, nikamshauri aende akaripoti kituo cha kazi ambacho kipo mkoa...
  11. Traxtion

    Wanandoa wa couple mbili (watu 4) wakamatwa nchini Malaysia kwa kumnyanyasa mfanyakazi wa ndani kutoka Indonesia

    Wanandoa wa couple mbili tofauti nchini Malaysia, katika jimbo la Johor, wamekamatwa kwa tuhuma za kumshambulia kimwili mfanyakazi wa ndani kutoka Indonesia. Inadaiwa kuwa mwathiriwa alirekodi tukio hilo kwa siri mwaka uliopita, na baadaye video za unyanyasaji huo zilisambaa kwenye mitandao ya...
  12. Sakwe

    Fanya yote ila usiwe na mahusiano na mfanyakazi mwenzako kazini

    Wakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu. Sasa twende kwenye mkasa nimeshuhudia watu walio kuwa na mahusiano kazini kwa takribani mwaka na nusu hivi. Picha lina anza walipo anza ugomvi sisi kama wana taasisi tunajulishwa ni kama vile swala la familia lina hamia kazini basi valuvalu...
  13. Sacsosanct

    Mfanyakazi wa stationery/supermarket/n.k

    Kuna kijana Ana degree ya mechanical engineering yupo tu nyumbani. Wa kiume, miaka 23. Kazi yoyote atafanya Imuingizie Kakipato kadogo akachukue vyeti vyake na kupata na mtaji pia. Umri miaka 23, yupo Dar. Kimara. Ni mwaminifu sana na anajituma. Kama unaweza msaidia Karibu na Asante!
  14. Tutu kalundji

    Hongera sana mkuu wa shule ya sekondari Dkt. Nchimbi kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari halmashauri ya Bunda-mji

    Pongezi sana ndugu Ngassa Benard Mahangila kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari katika halmashauri ya mji wa bunda kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari ndani ya halmashauri. Nafikiri pongezi hizi zinastahili kabisa na hazina walakini. Kusimamia mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Nyasura...
  15. U

    PICHA: Huyu hapa mfanyakazi bora

    PPPC Yamtunuku Mwanaid Araba Tuzo ya Mfanyakazi Hodari 2025|2026 == Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimempongeza Mwanaid Araba, Afisa Mwandamizi Msimamizi wa Fedha, kwa kuchaguliwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa mwaka 2025|2026. Menejimenti na watumishi wa kituo hicho...
  16. A

    KERO Ewe mfanyakazi, usije kurogwa kukopa mkopo wa "Nipe Boost" wa Bayport, utajuta!

    Narudia kuwaonya kama rafiki yenu, ndugu wa karibu.. usije kurogwa kukopa huo mkopo wao kama utakuwa na shida sana na ikakulazimu kukopa mara 100 bora uuze hata kitanda chako au godoro.. Huu mkopo ujue kwamba riba yake inaongezeka kila siku.. unaweza kukopa laki mbili ukikaa mwezi mzima...
  17. Zee la madawa

    Kama unataka kufilisika kibiashara fanya au ajiri mtu kutoka kanda ya ziwa

    Hii kanda ina watu wa ajabu sana sijui hawana utu au kukosa elimu na maarifa au nini aisee nachoka mimi yaani kama unataka kufilisika au biashara yako kwenda na maji basi ajiri mtu kutoka shinyanga, Mwanza, Geita au simiyu aisee najuta kwanza wao kukuibia ni suala la kawaida tu kwao au kukuroga...
  18. GoLC

    Nifahamisheni utaratibu wa kukokotoa mshahara wa mfanyakazi kwa siku

    Habari wakuu. Utaratibu rasmi wa kukokotoa mshahara kwa siku ni upi? Kuna mvutano umetokea sehemu na jibu likakosekana. Kwenye sheria za kazi kuna kifungu kinachozjngumzia idadi ya siku ambazo mfanyakazi anapaswa kufanya kazi kwa mwezi?
  19. H

    Mfanyabiashara ukifunga camera na hata ukitaka ushinde hapo 24/7 mfanyakazi akiamua kuiba ataiba tu

    Kwa wafanyabiashara ambao hamjui vile mnaibiwa na wafanyakazi hata kama mmefunga camera. Iko hivi, mteja akifika dukani atachagua vitu anataka, wakati wa kufanya malipo mfanyakazi asiyekuwa mwaminifu atamwambia gharama yake halisi mfano 200K kisha atamwambia anaweza kulipia 20K na risiti...
  20. jamaikatz

    Ulisha wahi kutongoza/tongozwa na bosi wako au mfanyakazi mwenzako?

    Ulisha wahi kutongoza/tongozwa na bosi wako au mfanyakazi mwenzako ?? Tuambie ilikuwaje ? Mimi binafsi nilisha wahi kumtongoza bosi wangu wa kike kilichofuata nilipoteza kazi
Back
Top Bottom