Limpopo, Afrika Kusini — Mchungaji Christ Penelope, mwanzilishi wa Seven Fold Holy Spirit Ministries, amekuwa gumzo baada ya kuhusishwa na njia isiyo ya kawaida ya kuwaombea waumini wanaotafuta uponyaji.
Inadaiwa kuwa wakati wa ibada hiyo, mchungaji hukaa juu ya uso wa muumini na kumjambia...