Elizaphan Ntakirutimana
Elizaphan Ntakirutimana (Mchungaji mwandamizi wa zamani wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Rwanda): Alihukumiwa kifungo cha miaka 10 jela mwezi Februari 2003 na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa ajili ya Rwanda (ICTR) kwa kosa la kusaidia na kuwezesha mauaji ya kimbari...
Mnaowajibu Mkubwa sana , nyinyi ninawaelewa vizuri, Ukuu wa Akili zenu ni hazina kwa Chama.
Mara chache niliofanikiwa Kuzungumza nanyi kama mdogo wenu, nimegundua Akili zenu ni Uhalisia wa maono na Principles za Mwenyekiti TUNDU LISSU.
Ni wakati wa kumkumbatia Mh HECHE, HECHE anahitaji kua...
Mahakama nchini Kenya imemhukumu mchungaji Paul Mackenzie kifungo cha miaka 200 jela baada ya kupatikana na hatia ya kusababisha vifo vya watoto 190 na mtu mzima mmoja kupitia ibada ya kufunga kula chakula.
Mackenzie amehukumiwa kifungo cha miaka 100 kwa kila moja ya makosa 183 ya kuua kwa njaa...
MAHAKAMA YA UMMA NA MAHAKAMA YA DHAMIRI- kwa rafiki yangu Godbless Lema.
Rev Peter Simon Msigwa
Ndugu na rafiki yangu Lema, baada ya kuzungumza na vyombo vya habari, ninaona sasa umesimama mbele ya mahakama mbili muhimu sana katika maisha ya mwanadamu: Mahakama ya Umma na Mahakama ya Dhamiri...
Mchungaji Mondo Mugisha ameibua mjadala mpya kuhusu kifo cha mfanyabiashara na aliyekuwa mpenzi wa Zari The Bosslady, Ivan Semwanga, baada ya kudai kuwa bilionea huyo hakufariki dunia kama ilivyoripotiwa mwaka 2017, bali bado yuko hai na amejificha.
Kupitia video iliyosambazwa kwenye mtandao wa...
Huyu ni mama MCHUNGAJI, na hutoa neno la mungu lakini Kuna mambo ambayo huwashangaza watu, muonekano wake na picha zake ikizingatiwa kajaaliwa shepu MAFISI hoiiii, na UDENDA kuwashuka tu
Katika moja ya video clip inayotembea kwa kasi ni namna mtangazaji na mchungaji kutokea Kenya walivyoingia kwenye mabishano makali wakati mtangazaji akitaka kujua kwa nini Mapepo ushika maskini pekee, na si matajiri. Na akaenda mbali na kusema watu hao hao ndio ushikwa na mapepo kila jumapili.
Mahakama moja nchini Kenya inatazamiwa kutoa uamuzi katika kesi ya mauaji ya halaiki inayomhusisha mhubiri wa dhehebu la mwisho wa dunia (doomsday), Paul Mackenzie.
Mackenzie na wafuasi wake 29 wanakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya watoto 191.
Dhehebu lake linadaiwa kuwalazimisha watoto kufa...
Moja ya mijadala iliyokuwa na maoni mbalimbali ni hii video clip ya Mchungaji mmoja nchini Tanzania akisema kuwa Baba au Mwanaume ndio anapaswa kutoa Baraka na si Mama.
Watu wengi wameunga mkono na wengine kupingana nae.
Wengine walienda mbali na kurejea visa mbalimbali kwenye biblia
Mwanzo...
Mchungaji na viongozi wengine wawili wa kanisa la St Abraham Assemblies of God, linalojulikana kama Sayuni, wamekamatwa baada ya watoto wanne kudaiwa kuunguzwa kwa maji moto wakati wa ibada ya kufukuza pepo wabaya.
Kwa mujibu wa taarifa, watoto hao walipata majeraha makubwa ya kuungua baada ya...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwachelewesha. Watanzania tumezoea kuchangiana wakati wa shida na raha na utamaduni huu tumedumu nao tangu enzi za mababu zetu hadi sasa.
Pamoja na ukarimu uliopo miongoni mwa watanzania, eti mchungaji huyu hapa chini anapinga kabisa mambo...
Mchungaji wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Mtaa wa Kinyerezi, Mchungaji Maotola Lumbe, amemshukuru Waziri Mkuu na Serikali kwa msaada walioutoa baada ya wanakwaya wa kanisa hilo kupata ajali eneo la Bahi, ikiwemo kuwezesha waliokuwa wakihitaji matibabu zaidi kusafirishwa hadi Dar es Salaam...
Limpopo, Afrika Kusini — Mchungaji Christ Penelope, mwanzilishi wa Seven Fold Holy Spirit Ministries, amekuwa gumzo baada ya kuhusishwa na njia isiyo ya kawaida ya kuwaombea waumini wanaotafuta uponyaji.
Inadaiwa kuwa wakati wa ibada hiyo, mchungaji hukaa juu ya uso wa muumini na kumjambia...
Mume ni mmoja, lakini ana wake wawili: mke mkubwa na mke mdogo. Mke mkubwa aliokoka. Baada ya mume wake kusikia mafundisho ya Injili, alimwacha na kukimbia, akamuacha kanisani.Baadaye, alipooa mke mwingine, huyo mke naye akaokoka.
Anafanya kazi katika eneo lake, anachanga na anashiriki katika...
MCHUNGAJI Mstaafu wa kanisa la Pentecostal Holiness Mission ( PHM), Samwel Mwahalende, ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Harvest Mission cha Texas, Marekani, ikiwa ni kutambua mchango wake wa muda mrefu katika kulitumikia Kanisa na jamii.
Akizungumza muda...
Je Gwajima amelambishwa asali?
Je Gwajima amepata vitisho ?
Je Gwajima ameona aliokuwa anawatetea sio watu sahihi ni heri ajiunge na wenzake wana ccm kujichotea mali za uma nk?
Hatujamzoea hivi , au kuna mahali wamembana kaona akifanya fyoko watamfilisi ikiwezekana kumbambikia kesi?
Jasusi...
Aloyce Nyanda unaweka mjadala mahali pasipo sahihi. Swali halipaswi kuwa: “CHADEMA ibadili msimamo gani ili Lissu aache kuteseka?” Swali sahihi ni: “Kwa nini Serikali inamtesa Lissu kwa sababu ya msimamo wa kisiasa?”
Kumhurumia Lissu ni jambo la kibinadamu, lakini kuitumia huruma hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.