mchungaji msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    BAK Mwabukusi, Mchungaji Msigwa, Masikio ya HECHE yanawahitaji sana hasa katika kipindi hiki ambacho Wauaji wa Oktoba 29 Wanapambana kulikua Chama!!.

    Mnaowajibu Mkubwa sana , nyinyi ninawaelewa vizuri, Ukuu wa Akili zenu ni hazina kwa Chama. Mara chache niliofanikiwa Kuzungumza nanyi kama mdogo wenu, nimegundua Akili zenu ni Uhalisia wa maono na Principles za Mwenyekiti TUNDU LISSU. Ni wakati wa kumkumbatia Mh HECHE, HECHE anahitaji kua...
  2. R

    Mchungaji Msigwa aongoza Sala Mahakamani Hukumu Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu

    Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, ameongoza Sala Mahakamani leo Novemba 6, 2026 ikiwa ni siku ya hukumu ya kesi ya Uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Antipas Lissu. Fuatilia updates za hukumu leo UPDATES: Yanayojiri Mahakamani kwenye Hukumu ya Kesi ya Uhaini dhidi ya...
  3. R

    Busara za Mchungaji Msigwa kwa Rafiki yake Lema: MAHAKAMA YA UMMA NA MAHAKAMA YA DHAMIRI

    MAHAKAMA YA UMMA NA MAHAKAMA YA DHAMIRI- kwa rafiki yangu Godbless Lema. Rev Peter Simon Msigwa Ndugu na rafiki yangu Lema, baada ya kuzungumza na vyombo vya habari, ninaona sasa umesimama mbele ya mahakama mbili muhimu sana katika maisha ya mwanadamu: Mahakama ya Umma na Mahakama ya Dhamiri...
  4. R

    Mchungaji Msigwa amwaga mboga CCM

    Msikilize kama una MB za kutosha
  5. R

    Mchungaji Msigwa tells police: The evils that you did to Tanzanians on 29th October, 2025 will haunt you to the grave

    Ujumbe wa Mchungaji Msigwa
  6. R

    Busara za Mchungaji Msigwa kwa mtangazaji Aloyce Nyanda

    Aloyce Nyanda unaweka mjadala mahali pasipo sahihi. Swali halipaswi kuwa: “CHADEMA ibadili msimamo gani ili Lissu aache kuteseka?” Swali sahihi ni: “Kwa nini Serikali inamtesa Lissu kwa sababu ya msimamo wa kisiasa?” Kumhurumia Lissu ni jambo la kibinadamu, lakini kuitumia huruma hiyo...
  7. Mwanamwana

    Mchungaji Msigwa: Watanzania tumshukuru Dkt. Nchimbi, 'ametusanua'

    Mchungaji Peter Msigwa, aliyedai kwamba hotuba ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi imewaamsha Watanzania kuwa licha ya kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia ilani yake ya uchaguzi 2025/30 imeweka suala la upatikanaji wa Katiba Mpya kuwa miongoni mwa mambo yake ya msingi katika...
  8. Nyani Ngabu

    Hata wao walishindwa kuzuia tabasamu lao!

    Kuna mambo huwa hayazuiliki. Huwa yanakuja tu au yanatokea tu kiasili. Mapema leo wakati Mchungaji Msigwa anasalimiana na Mheshimiwa Lissu, maafande wa Magereza walishindwa kuzuia tabasamu kwenye nyuso zao. Achana na maneno yangu. Picha huongea maneno zaidi ya elfu. Jionee mwenyewe. Naamini...
  9. Waufukweni

    Mchungaji Msigwa: Kinachomponza Tundu Lissu ni Akili. Mmeamua kufungia Akili yake ndani ya Gereza

    Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hapaswi kulazimishwa kuomba msamaha ili aachiwe huru, akisisitiza kuwa hana kosa linalohitaji msamaha. Soma: Mchungaji Msigwa: Niliishauri CCM imuachie Lissu haikunisikiliza Akizungumza na waandishi wa habari...
  10. Waufukweni

    PostGE2025 Mchungaji Msigwa: Mauaji ya Oktoba 29 ni ya kihistoria, kuna maiti hazijaonekani, kuna maiti hazikuzikwa

    "Katika nchi yetu mauaji haya ya nini, ni ya kihistoria. Hatujawahi kupata shida kama hii. Ni mauaji makubwa, makubwa sana. Haya mauaji yaliyotokea ni makubwa sana, kuna maiti hazionekani, kuna maiti hazikuzikwa, kuna watu wengine walienda Mochwari wakiwa hai, kuna mambo ya ajabu ya hovyo...
  11. Waufukweni

    Mchungaji Msigwa: Sikujua kama Watu walikuwa wamekasirishwa sana, mimi kuhama kutoka CHADEMA kwenda CCM

    Mchungaji Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chadema kwa miaka 10 (2010/20), alijiunga na CCM Juni 30, 2024 kabla ya kutangaza kurejea rasmi Chadema Mei 23, 2026 amesema; "Mimi sikujua kwamba watu walikuwa wamekasirishwa sana na kitendo cha mimi kuhama kutoka Chadema kwenda CCM...
  12. Waufukweni

    Mchungaji Msigwa: Naiona CCM ikiondoka Madarakani kama haitajirekebisha

    "CCM naiona inaondoka madarakani. Kama mmenisikiliza vizuri hayo mambo ninayoyazungumza ni ya msingi sana. Eh, nimesema labda sikusema mwanzoni, Roman Empire ilikuwa na jeshi kubwa sana lilikuwa litifu sana, lakini Roman Empire haikuanguka kwa sababu ya kushambuliwa kutoka nje. Ilianguka yenyewe...
  13. Waufukweni

    PostGE2025 Mchungaji Msigwa: Najutia kwenda CCM, bora ningefanya maamuzi tofauti

    Mchungaji Msigwa ameonesha kujutia uamuzi wake wa kujiunga na CCM, akisema kuwa bora angefanya maamuzi tofauti. Akizungumza katika mahojiano Juni 2, 2026, Msigwa ameeleza kuwa uamuzi wake wa awali uliathiriwa na hisia na kile alichokiita “ego,” hali iliyomfanya kufanya maamuzi ambayo sasa anaona...
  14. Carlos The Jackal

    MH LISSU atafurahi na atakua Wakwanza Kumpokea Mchungaji Msigwa kwa Furaha, vifijo na Ndelemo!!

    Na wahakikishia, hata itokee Leo hiii Lissu Yuko Nje, HATUA YA KWANZA NI KUKUTANA NA PETER MSIGWA !!.
  15. L

    Mchungaji Msigwa aliondoka CHADEMA kwa kukosa Cheo na anaondoka CCM kwa kukosa Cheo na anarudi CHADEMA kusaka Cheo

    Ndugu zangu Watanzania, Ambacho Hamkijui Ni Kuwa Mchungaji Peter Msigwa aliondoka CHADEMA kutokana na Kukosa Cheo cha Uwenyekiti Wa kanda ya Nyasa baada ya kudondoshwa na kugaragazwa vibaya na Sugu. Alipoona Amekosa Cheo Mkononi Mwake akaamua kutimua Mbio kali sana Kuja CCM kwa matarajio ,imani...
  16. R

    Mchungaji Msigwa arusha jiwe gizani: Kuanguka kwa dola ni pale MTAWALA anapozidi nguvu mamlaka za Katiba na sheria,. nepotism and the like

    "Busara” za mchungaji Msigwa. Ziite utakavyo lkn kuna sense aliloliandika. Ameandika Mch. Peter Msigwa Historia inaonyesha: mataifa mengi duniani hayakuanguka kwanza kwa sababu ya vita au mapinduzi bali , Yalianza kudhoofika taratibu pale ambapo mamlaka isiyo rasmi inaanza kuogopwa kuliko...
  17. R

    Mchungaji Msigwa: Tujikumbushe kidogo

    "Ukweli ni Kuwa dereva wa Daladala anaweza kusimama na kukupakia mahali ambapo hakuna kituo cha Daladala. Lakini dereva huyo huyo atakataa kukushusha mahali ambapo hamna kituo cha Daladala. Hii inathibitisha watu wanakuhitaji pale tu wanapofaidika na wewe, Changamka."
  18. Waufukweni

    Mchungaji Msigwa: Ukisema ninasubiri uteuzi unanitukana

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amesema kuwa thamani yake kama binadamu haijawahi na haitawahi kutegemea vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa. Akizungumza katika mahojiano na mtangazaji Neema Msafiri wa Msafiri Online, Msigwa amejibu mapigo kwa wale wanaodai kuwa...
  19. R

    Jamani Mchungaji Peter Msigwa yuko wapi?

    Nilitegemea awe kwenye kampeni kuikàndia Chadema, simsikii! Yuko wapi?
  20. The Watchman

    PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Tulilalamikia miradi mikubwa haigusi maisha ya watu huku chini, Rais Samia amefuata nyayo za waasisi wa taifa

    Wakuu Akiwa sehemu ya ujumbe wa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla anayeendelea na ziara ya kikazi kwenye mikoa ya Kanda ya Kaskazini, Kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Babati, mkoani Manyara ameeleza...
Back
Top Bottom