Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Halidi Seleman Kalaghe (45), Mwendeshaji wa Mtambo wa Excavator kwa tuhuma za kuharibu mali za Kampuni ya ujenzi wa barabara baada ya kutofautiana na Mwajiri wake katika eneo la Mvumoni, Somangila, Kigamboni.
Kwa mujibu wa taarifa...